Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Pole sana mzee, ahahahaha wabbbaya hao!Kuna boda boda ameniibia simu yangu, hapa niko jf kwa kubahatisha mpaka nitakaponunua simu tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mzee, ahahahaha wabbbaya hao!Kuna boda boda ameniibia simu yangu, hapa niko jf kwa kubahatisha mpaka nitakaponunua simu tena.
Ziwe Elfu 1, yaani 1,000,000,000 x 1000 = 1,000,000,000,000
Bilioni 1 ina sufuri 9, wakati Trillion 1 ina sufuri 12!
Basi tunarudi kule kule kwenye makorogesheni ya namba! NI sawa, ni Trillion 14K ambayo ndo hiyo 14 Quadrillion.UMEMSOMA VIZURI? HIZO NAMBA UMEZIONA? Ameandika trilioni 14,000 na wala siyo trilioni 14. Trilioni 14,000 = trilioni 14,000,000,000,000,000.
^kwa sababu hii ni zaidi ya trilioni 14,000 kwa fedha za Kitanzania.^
Ukweli usiopingika ni kwamba hata Rais mwenyewe hajui FOR REAL Tanzania ina akiba kiasi gani. Hiki kiwango cha makosa hakivumiliki wala kuhurumika, kwa taasisi muhimu na nyeti kiasi hicho--tena kuhusu fedha! Ingekuwa ametaja kimakosa idadi ya sangara wa Ziwa Tanganyika, wala isingekuwa nongwa sana.Sasa basi Ina maana Samia alishindwa kutofautisha hyo tofauti.
Mpaka aseme Ana akina ya dola bilioni 6,000?.
Badala ya kusema Ana dola trilioni 6?
Haiwezi kuwa Dola Billion 6,000 wala Dola Trillion 6! Jibu ni NDIYO, ama alikosea yeye, au ni kama alivyosema Mleta Mada inawezekana waliomwandikia walikosea! Hiyo itakuwa Dola Milion Elfu 6, yaani Dola 6000 Million, sawa na Dola 6 Billion! Dola Trillion 6 ni MINGI MNO SANA, na hatuna hiyo pesa! Lakini Dola Million 6000, ni pesa ya kawaida!Sasa basi Ina maana Samia alishindwa kutofautisha hyo tofauti.
Mpaka aseme Ana akina ya dola bilioni 6,000?.
Badala ya kusema Ana dola trilioni 6?
Hakuna popote niliposema trilioni 14.Unaweza kunionyesha ni wapi nimesema trilioni 14?Umemnukuu sawa aliposema "billion elfu 6000" lakini Billion Elfu 6 ni pesa mingi mno, na sio Trillion 14 ulizosema wewe! 14 Trillion kuna zero 12, wakati Dola Bilion Elfu kutakuwa na zero 15 ambayo itakuwa almost 14 QUADRILLION na sio TRILLION
Hiyo ni aina ya uandishi. Simply mama amekosea tu kusoma lakini uandishi upo sahihi. Ila angetakiwa apewe taarifa mapema maana aina hiyo ya uandishi hautumiki hapa TZ. Kosa linaenda kwa aliyeandika hiyo hotuba.
Nilichokushangaa tu ni kwamba umemkosoa Behaviourist , bila kujua wewe ndiye mwenye shida ya hayo ^makorogesheni ya namba.^ Awali hukusema 14k bali simply 14. See the difference? Don't spin. Huu ni mwaka mpya wa kukubali makosa na kujirekebisha. If we don't do that, then we are done!Basi tunarudi kule kule kwenye makorogesheni ya namba! NI sawa, ni Trillion 14K ambayo ndo hiyo 14 Quadrillion.
Point yako hapa ni nini mkuu?Kukosoa , kuonesha makosa katika kazi iliyofanywa na mtu mwingine, ni miongoni mwa kazi rahisi duniani .
Taz.
"Katika kipande hiki cha video Rais anadai kuwa nchi ina akiba za fedha za kigeni kiasi cha dola za kimarekani 6253 bilioni Kitu ambacho siyo sahihi wala siyo kweli kwa sababu hii ni zaidi ya trilioni 14,000 kwa fedha za Kitanzania."
Hamna, hicho kiwango kinaweza kuwa sawa, na kama amedanganya basi hata JK na JPM walikuwa wanadanganya kwa sababu kwa miaka kadhaa sasa Foreign Reserves, kwa data zilizopo haijawahi kushuka $4 Billion!! Sasa ukichanganya na haya matozo pasua kichwa, siwezi kuona ajabu kufikisha $6 Billion kwa sababu hata hizo $4 Billion ilikuwa enzi za JKUkweli usiopingika ni kwamba hata Rais mwenyewe hajui FOR REAL Tanzania ina akiba kiasi gani. Hiki kiwango cha makosa hakivumiliki wala kuhurumika, kwa taasisi muhimu na nyeti kiasi hicho--tena kuhusu fedha! Ingekuwa ametaja kimakosa idadi ya sangara wa Ziwa Tanganyika, wala isingekuwa nongwa sana.
Hatulaumu kwa sababu imeanza leo.Tunalaumu kwa sababu wanapotosha wananchi.Lakini hata wakati wa Magufuli walikuwa wanakosea hivyo tusilaumu kama vile imeanza leo
Hakuna nilipo-spin labda kama na wewe ndo unataka ukosee rasmi!! SIJAKOSEA namba zangu lakini nilikosea kumkosoa Behaviourist ! Nilisema simply 14 and not 14K kwa sababu niliweka in terms of Quadrillion na sio Trillion! Sasa kama ningeweka 14K wakati nimeweka in terms of quadrillion, hapo ndipo ndo ningekuwa nimekoseaNilichokushangaa tu ni kwamba umemkosoa Behaviourist , bila kujua wewe ndiye mwenye shida ya hayo ^makorogesheni ya namba.^ Awali hukusema 14k bali simply 14. See the difference? Don't spin. Huu ni mwaka mpya wa kukubali makosa na kujirekebisha. If we don't do that, then we are done!
Umemnukuu sawa aliposema "billion elfu 6000" lakini Billion Elfu 6 ni pesa mingi mno, na sio Trillion 14 ulizosema wewe! 14 Trillion kuna zero 12, wakati Dola Bilion Elfu kutakuwa na zero 15 ambayo itakuwa almost 14 QUADRILLION na sio TRILLION
Unazungumzia kitu tofauti kabisa. Nadhani urejee kwenye posti ya mwanzoni, then tuliza akili, utaelewa.Hamna, hicho kiwango kinaweza kuwa sawa, na kama amedanganya basi hata JK na JPM walikuwa wanadanganya kwa sababu kwa miaka kadhaa sasa Foreign Reserves, kwa data zilizopo haijawahi kushuka $4 Billion!! Sasa ukichanganya na haya matozo pasua kichwa, siwezi kuona ajabu kufikisha $6 Billion kwa sababu hata hizo $4 Billion ilikuwa enzi za JK
Kinachotia kichefuchefu na kukasirisha ni kwamba alieandaa hotuba hii alipaswa kuihariri kisha kumpa Rais.Rais nae alipaswa kuihariri hotuba yake ndipo apande nayo hewani.
Haiwezi kuwa Dola Billion 6,000 wala Dola Trillion 6! Jibu ni NDIYO, ama alikosea yeye, au ni kama alivyosema Mleta Mada inawezekana waliomwandikia walikosea! Hiyo itakuwa Dola Milion Elfu 6, yaani Dola 6000 Million, sawa na Dola 6 Billion! Dola Trillion 6 ni MINGI MNO SANA, na hatuna hiyo pesa! Lakini Dola Million 6000, ni pesa ya kawaida!
Nimeandika trilioni 14,000 na wala siyo trilioni 14👇Ebu Soma maelezo yako hayo.
Kama hamna trilioni 14.
Ndo maana nikasema mbona hyo hesabu siielewiiView attachment 2065328
SIJAKOSEA CHIFU! Post yangu ya mwanzo ni hii hapa chiniUnazungumzia kitu tofauti kabisa. Nadhani urejee kwenye posti ya mwanzoni, then tuliza akili, utaelewa.
Unaona hapo nimeandika 14 QUADRILLION! Sasa kama ningeandika 14,000 QUADRILLION, hiyo ingekuwa ni 14 Sextrillion na sio 14 Quadrillion! Ndo maana nimesema, usipoangalia, nawe utajikuta unaanza kuandika makorogesheni1Sasa Chifu mbona hata wewe mwenyewe unajichanganya?
Dola Billion 6000 ni = $6000x1000,0000,000 = $ 6 Trillion ambayo ni karibu na 14 QUADRILLION na sio 14 TRILLION uliyoisema wewe! Unaona sasa mambo ya namba yalivyo magumu? Mkosoaji nae anakosea!!! Tuache namba ziitwe namba!!!
Tukirudi kwenye hoja, bila shaka alitaka kumaanisha Dola Milion 6000 ambayo ni 6000x1000,000 = $6 Billion, ambayo ndiyo italeta hiyo 14 Trillion unayoisema! Hiyo figure inaweza kuwa sahihi! Kwa kawaida, Foreign Reserves yetu inakuwa in terms of Billion USD, na uchumi unataka uwe na akiba ya Foreign reserve inayoweza kutosheleza at least 6 months. Fuatilia hata wakati wa JPM na JK, ilikuwa haijawahi kupungua USD 4 Billion.