Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

HGL, HGK anakuwaje ye na namba tofauti Ili Hali geography Ina hesabu
 
Kwamagu nadhani labda walikosea kitu kingine, sio hesabu Magu kwenye hesabu alikuwa vizuri.
Truth be told, JPM was doing his homework! Huwezi kukaa kwenye taasisi ile nyeti, then utegemee tu kupewa ripoti na kuimeza na kuitema nzimanzima. Ndiyo maana alikuwa akirudia tena na tena kwamba ^wanadanganya sana kwenye ripoti zao.^
 
Haupo makini tatizo, baada ya mimi kuuliza
Ndo wadau wamejaribu kufafanua hizo figure.
Sasa wewe ndo kilaza kumbe.

Hao waliofafanua Ina maana walielewa, basi Na Mimi nilielewa
 
Duh! Sasa ulikuwa na sababu zipi za msingi za kuendelea kunikosoa na kusema nime-spin wakati tayari nilishasema nili-overlook figure ya Behaviourist, na kwamba nilikosea kumkosoa? Nini kilianza kati ya mimi kukiri nilikosea kumkosoa na wewe kung'ang'ania kwamba na-spin?

Wewe ndo una-spin kwa sababu nilisema wazi nilikosea kumkosoa mleta mada! Spin yako ukadai nimesema SIMPLY 14, nami nikakuambia nimesema SIMPLY 14 kwa sababu niliweka in terms of QUADRILLION! Sasa nilicho-spin hapo ni kipi?! Seems hata wewe ulikuwa hujui kwamba 14K Trillion = 14 Quadrillion vinginevyo usingesema nime-spin! Kimsingi figure aliyoandika mleta mada ni ile ile niliyoandika mimi lakini nili-overlook 14K aliyoiandika in terms of trillions, nikaichukulia kama 14 plain in terms of trillions! Sasa spinning ipo wapi hapo?
 
HGL, HGK anakuwaje ye na namba tofauti Ili Hali geography Ina hesabu
Hahahahahahahahahahahahahahahahhahahaha!!! Kaka tuache masihata bhana! Wala sisemi kwa lengo la kukashifu bali nafahamu namba sio field yao, and there's nothing wrong with that!!
 
Nani alikuwa na jeuri ya kumpangia mwendazake. Nitajie mmoja nani ntakuonesha nguzo ya umeme inayozaa papai

Na unaweza kuniambia ni lini na wapi mwendazake aliyasema hayo?
Alisema mwenyewe, kamati kuuwalimchokea wakati aliposhinda Kura ya kuteuliwa kugombea uraisi kwa tiketi ya ccm, angekuwa mwendazake yupo ikulu hasinge mchagua Mama kuwa makamu wake sema walimchomekea wakati ana presha ya kuteuliwa na chama , magufur angekuwa yupo ikulu angepelekewa jina la makamu wa rais ange kataa hasinge Kubali na hakubali vimemo
 
Naona wewe ^uli-overlook,^ ila hukukosea! Hatari na nusu!

Huo ni uchaguzi wa kwanza. Vipi awamu ya pili ambapo yeye ndo alishakuwa jiwe na hakukuwa na wa kumpangia. Kwanini hakumpiga chini mama akatupa makamu mzuri?

Pili hujasema hayo maneno aliyasema lini na wapi?
 
Nani alikuwa na jeuri ya kumpangia mwendazake. Nitajie mmoja nani ntakuonesha nguzo ya umeme inayozaa papai

Na unaweza kuniambia ni lini na wapi mwendazake aliyasema hayo?
Tafuta video yake mkutano mkuu mwenyewe kwa kinywa chake alitamka makamu wa raisi aliyekuwa ana penda kufanya nae kazi alimtaja kabisa Hussein mwinyi
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahhahahaha!!! Kaka tuache masihata bhana! Wala sisemi kwa lengo la kukashifu bali nafahamu namba sio field yao, and there's nothing wrong with that!!
Hapana, nimeshangaa kuandika namba kwa ufasaha kwamba yahitaji Hadi usome hesabu kwA kiwango cha shahada hahahahahahaha

Nafikiri kuna tatizo mahari, hata kama umesoma HKL, KLF, HKG hujui hesabu za kawaida Basi kuna tatizo
 
Tafuta video yake mkutano mkuu mwenyewe kwa kinywa chake alitamka makamu wa raisi aliyekuwa ana penda kufanya nae kazi alimtaja kabisa Hussein mwinyi
Awamu ya Pili ya uongozi wake angeweza na alikuwa na nafasi ya kufanya hivyo. Kwanini hakufanya?

Unajua Kikwete aliwahi kufanya hivyo? Unajua Dr. Shein alikuwa makamu wake wa awamu ya kwanza, awamu ya Pili akamteua Dr Bilal na Dr. Shein akaenda kuwa Rais wa Zanzibar??

Unajua?
 
Kweli hawa Marais wachunguzwe vizuri. Kuna mmoja aliowahi kusema rais Saddam wa Kuwait halafu akasema who are you
 
Uchaguzi ujao nafasi ya VP asimikwe mtu makini, competent na anayejielewa bila kuconside jinsia yake au uzanzibari/ubar

Essentially VP ni President in waiting na hatuwezi tena kupachika jiwe au kivuli chochote ili kutick box. Kifo cha Magufuli liwe somo zuri kwetu sote.
 
Truth be told, JPM was doing his homework! Huwezi kukaa kwenye taasisi ile nyeti, then utegemee tu kupewa ripoti na kuimeza nzimanzima. Ndiyo maana alikuwa akirudia tena na tena kwamba ^wanadanganya sana kwenye ripoti zao.^

Yes, kiongozi mkuu kwanza kabisa lazima wewe kama wewe uwenauwezo mkubwa kuchambua na kuelewa kila unacholetewa na wasaidizi.

Mzeebaba hata waliokuwa wanampelekea tarifa nadhani walikuwa wanajikagua mara kumikumi ili kujiridhisha.
 
Sasa Mkuu kama Wasomi wenyewe wa CCM ni akina Dr.Musukuma unatarajia nini
 
Yes, kiongozi mkuu kwanza kabisa lazima wewe kama wewe uwenauwezo mkubwa kuchambua na kuelewa kila unacholetewa na wasaidizi.

Mzeebaba hata waliokuwa wanampelekea tarifa nadhani walikuwa wanajikagua mara kumikumi ili kujiridhisha.
Mbona hata huyo Mzee baba alikuwa mwongo tu, kwani si amewahi kusema siku ina masaa 48?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…