Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Kile kimama ni hovyo mnoo.
Kinapenda sana msesereko tu.
Hata kukariri hakiwezi sembuse kufikiri hivyo kinapewa kisome hotuba hivyo hivyo, na kutapika vitu vya ajabu.
Ila mie nampenda hayo ni error ndogo, hatupaswi kushupalia, inaonyesha namna gani mama kafanikiwa kiuongozi, hivyo tunakosa ajenda zenye nguvu/mashiko!
 
Jana tu nilisema aache kusoma hotuba ,,Taifa linaserereka kama gari bovu
Halafu anasoma akiwa anaangalia karatasi moja kwa moja na kupekuwa ukurasa mmoja baada ya mwingine; ile hotuba ya madeni ilikuwa na kurasa zipatazo tisa kulingana nilivyoona anazipekua. Ni kweli kuwa watu wengi husoma hotuba zao, lakini siyo kwa kusoma moja kwa moja bila kuwa na eye contact na audience. Afadhali atafutiwe teleprompter au awe asisitizwe kuwa anasoma key points tu huku facts zote kwa kila item iliyoko kwenye hotuba anakuwa nazo kichwani.
 
Jiwe alitamka wazi kuwa hawezi kuhutubia kwa hotuba za kuandikiwa... "saa zingine inakuwa kama unawasemea wao(walioandika)".... John Pombe Joseph Magufuli (RIP)
Katika uongozi wake alitumia mara chache hotuba za kuandikiwa huku " akichomekea" maneno yake mengi!
 
Bora usingechangia, unajiaibisha. $6,250B ($6,250,000,000,000) izidishe hiyo kwa pesa ya Tz (2,300) uone utapata tsh.ngapi?
Hatuwezi kuwa na pesa hizo, hata bajeti zote za nchi za afrika kwa mwaka haziwezi kufika huko.
Hoja hapa sio tuu kiasi kilichotajwa bali lugha iliyotumika kuwasilisha ndio watu wanaona eti imekosewa wakati iko sahihi.

Kwa maana ya figure hiyo uki convert Unapata Tsh. 14,375,000,000,000,000 technically hii figure haipo ila hapo Mwandishi wa hotuba alimaanisha dola za Marekani milioni 6,250 sawa na Shilingi 14,375,000,000,000. Yaani Tilioni 14 na bilion 375..
 
Achana na wapumbavu hao,machadema yamebeba mavichwa hamna kitu ndio maana yanashikiwa akili na mke wa Amsterdam na Mbowe..

Kwanza hawajua forex reserves ni kwa ajili gani yanajua bidhaa huwa zinajileta,,ndio maana niliwahi kuwaambia watu kwamba mwendazake angeendelea Nchi ingeanguka kwa sababu pesa ya kigeni kuagiza bidhaa ilianguka Sana.

Saizi Sri Lanka yenye uchumi mkubwa kuliko bongo inastruggle kuagiza bidhaa za kigeni na Serikali imezuia kuagiza baadhi ya bidhaa kwa sababu forex reserves imepunguza Sana..
Shida ya wabongo wanaamini wataalamu ni Doctors & engineers ambao wanaelimika katika vitabu lakini hakuna utaalamu wa uchumi. Ndiyo maana hata Magu alikuwa anaamua tu mambo ya uchumi wa nchi bila kupata ushauri wa wataalamu zaidi ya Mfugale. Akimeza namba wanasema huyu mkali sana. Hawa watu ukiwaambia mshahara wako kwa wiki ni fifteen hundred wataweka party na kufahamisha ukoo mzima kuwa mambo mazuri.
 
Natilia mashaka sana hizo hotuba,kuanzia UN, kila mahali ni ytumbo tu.maza ahakiki hizo hotuba kabla ya kusoma kwenye kadamnasi.
Kuna mahali unamwona kabisa anashtuka alichoandikiwa.
Wanamuandikia bora liende
Na mama nae hajishughulishi kabisa kujua lolote
 
Hizo sio hela za umma tu ni pamoja na za sector bijafsi.

Stock ya dola ina maana wakichukua dola zote za serikali, na zile zinazomilikiwa na watu binafsi kwenye bank na bureau ndio unapata akiba ya fedha za kigeni. Kusema serikali ikazilipie deni sio sahihi maana sio hela zake
Ni kwa tz pekeyake au ndo mfumo hata wenzetu wanatoa takwimu kwa kufuata ivo
 
Ni kwa tz pekeyake au ndo mfumo hata wenzetu wanatoa takwimu kwa kufuata ivo
Ni mfumo wa duniani kote. Kinachotofautiana hiyo reserve ipo kwenye currency gani wengine dola na wengine Euro n.k. kipimo ni je stock hiyo inaweza kuimport bidhaa za nchi husika kwa miezi mingapi?
 
Nilidhani sijasikia vyema ikabidi nimfuate kule tube kusikiliza Tena nikajirithisha kuwa masikio yangu ni mazima!
Huenda ni kweli BoT wanazo hizo dollar bilioni elfu sita. Basi walipe deni lote la taifa ili nchi isidaiwe Tena. Au mnasemaje ndugu zangu?
Kama hicho kiwango alichotaja hakipo basi huu ni mkwaju au bakora nyingine Tena tumechapwa nayo wananchi!
Hivi inawezekana kufanya editing kwenye hotuba iliyokwisha ruka hewani?
Nimshauri bi mkubwa kuwa, kabla ya kuisogelea mimbari yoyote asome alichokabidhiwa kwanza ajiridhishe vinginevyo Kuna siku atawekewa barua ya posa ya bintiye naye atatusomea Kama hotuba! Bi mkubwa ajiri waandishi na wanahabari wazalendo na watiifu kwako achana na hao waandishi michongo unaoletewa watakuangushia gari bovu!
Jamani, kama baba wa Taifa aliwahi kumpa mzugu kazi pale WH, sisi tunachelewa wapi? Maana imekuwa next to impossible kila siku kumlalamikia huyu bingwa wa hotuba za Raisi.
 
Duuh pole sana Samia.

Hapo ilipaswa iwe dola milioni elfu sita , wangemuandikia kwa maneno tu.

Duuh ila nchi yetu bado changa , akiba ya nchi ni trilioni 12 tu.

Pesa ambayo Dangote tu anayo na kutuzidi.
 
Ni sahihi kwani dola bil 6250 unajua ni shilingi ngapi? Si ni til.14 na huo ndio ukweli..

Acha ujinga mtoa mada ,forex reserves haitumiki kulipa madeni bali kuagiza bidhaa za nje na ku stabilize currency.Tatizo lenu ni mbumbumbu wa uchumi..

Ni mara kadhaa kama huwa mnasoma na kusikiliza bajeti utasikia lugha hiyo ya milioni 3467 nk nk ..

Mpende kujifunza sio kujaza ujinga vichwani
Acha ujinga mkuu jifunze hesabu usiwe unakurupuka, hizo ni zaidi ya trilion 14 elfu.
Yaan 14,000 trilion.
Hiyo ni bajeti ya nchi yetu kwa zaidi ya miaka 400.
 
Inaonekana rais wetu ni mvivu wa kusoma, ndio maana alisaini mkataba wa kujenga meli aliposhituka akasingizia ni makosa ya awamu iliyopita.
 
Kila mara hotuba wanakosea, mama afanye uteuzi wanafanya kusudi, haiwezekani wote wasione
 
Back
Top Bottom