Daah!! Kumbe?!! Ila wanasiasaHizo sio hela za umma tu ni pamoja na za sector bijafsi.
Stock ya dola ina maana wakichukua dola zote za serikali, na zile zinazomilikiwa na watu binafsi kwenye bank na bureau ndio unapata akiba ya fedha za kigeni. Kusema serikali ikazilipie deni sio sahihi maana sio hela zake