kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Hizo sio hela za umma tu ni pamoja na za sector bijafsi.
Stock ya dola ina maana wakichukua dola zote za serikali, na zile zinazomilikiwa na watu binafsi kwenye bank na bureau ndio unapata akiba ya fedha za kigeni. Kusema serikali ikazilipie deni sio sahihi maana sio hela zake
Mortgage ya mkopo ndo inafaa tuijue.Sio kwa dunia ya leo; wachina watakamata kwa nguvu idara zote nyeti.
Ikulu imejaa maafisa wenye uzoefu kiduchuIt is criminal kwa waraka wowote ule kutoka IKULU ya nchi kuwa na makosa ya kiundishi; ikitokea hivyo ni ishara ya lack of seriousness and mediocrity. Nchi isiruhusu uzembe wa namna hiyo!!!
Tukuamini wewe au mama aliyesoma? Yeye kasema dola bilion elfu sita.Hoja hapa sio tuu kiasi kilichotajwa bali lugha iliyotumika kuwasilisha ndio watu wanaona eti imekosewa wakati iko sahihi.
Kwa maana ya figure hiyo uki convert Unapata Tsh. 14,375,000,000,000,000 technically hii figure haipo ila hapo Mwandishi wa hotuba alimaanisha dola za Marekani milioni 6,250 sawa na Shilingi 14,375,000,000,000. Yaani Tilioni 14 na bilion 375..
Form Four failure anapopewa majukumu makubwa kumzidi lazima kuwe na vituko kma hivyoHizi hela ni zaidi ya trilioni 14,000 za kitanzania, yaani lile deni la trilioni 70 wanalogombania na Ndugai ingekuwa hela ya peremende na sio mboga.[emoji23]
Makosa yamebainika kwa hiyo amini figure yake but in us dola millions not billions.Tukuamini wewe au mama aliyesoma? Yeye kasema dola bilion elfu sita.
Unajua kweli ulichoandika?Umechemka.
Dola bilioni 6000 ni 6,000,000,000,000.
Kujua kusoma na kuandika,inatoshaNa hii pia atakuwa kadanganywa na wasaidizi wake au uwezo wake mdogo.
Kakosea au hajui ?Hayo mambo ya kuongopa alikuwa nayo Jiwe. Huyu mama itakuwa kakosea kusoma tarakimu bila shaka
Ni kweli inapawa kuwa dola million na sio dola billionMakosa yamebainika kwa hiyo amini figure yake but in us dola millions not billions.
Kumbuka Rais anapelekewa hotuba sio lazima aanze kuipitia,wasaidizi wanaweza kufanya makosaNi kweli inapawa kuwa dola million na sio dola billion
Ina maana anaposoma yeye haoni kama hapo Kuna makosa?
Ndivyo ilivyoandikwa bro! Jisomee mwenyewe.Hayo mambo ya kuongopa alikuwa nayo Jiwe. Huyu mama itakuwa kakosea kusoma tarakimu bila shaka
Ndiyo imesharuhusu mkuu, nothing else to say!It is criminal kwa waraka wowote ule kutoka IKULU ya nchi kuwa na makosa ya kiundishi; ikitokea hivyo ni ishara ya lack of seriousness and mediocrity. Nchi isiruhusu uzembe wa namna hiyo!!!
Bajeti ya Tz kwa 2021/22 si ni Tsh. 36 TAcha ujinga mkuu jifunze hesabu usiwe unakurupuka, hizo ni zaidi ya trilion 14 elfu.
Yaan 14,000 trilion.
Hiyo ni bajeti ya nchi yetu kwa zaidi ya miaka 400.
Nia yangu si ku calculate.Unajua kweli ulichoandika?
Dola bil 6000 unazidisha Mara 2300
Kwa maana dola moja ni sawa na Tsh 2300
Hivyo
Ni sawa na trillion 13800