Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Hizo sio hela za umma tu ni pamoja na za sector bijafsi.

Stock ya dola ina maana wakichukua dola zote za serikali, na zile zinazomilikiwa na watu binafsi kwenye bank na bureau ndio unapata akiba ya fedha za kigeni. Kusema serikali ikazilipie deni sio sahihi maana sio hela zake

Upo serious??
 
Sio kwa dunia ya leo; wachina watakamata kwa nguvu idara zote nyeti.
Mortgage ya mkopo ndo inafaa tuijue.

Lakini huwezi kujifanya haukopi kwani uwezo wa kukopa ndo fasheni ya uchumi.

Tukifika huko juu ndo tutaamua kama.tunakopa au la
 
Hoja hapa sio tuu kiasi kilichotajwa bali lugha iliyotumika kuwasilisha ndio watu wanaona eti imekosewa wakati iko sahihi.

Kwa maana ya figure hiyo uki convert Unapata Tsh. 14,375,000,000,000,000 technically hii figure haipo ila hapo Mwandishi wa hotuba alimaanisha dola za Marekani milioni 6,250 sawa na Shilingi 14,375,000,000,000. Yaani Tilioni 14 na bilion 375..
Tukuamini wewe au mama aliyesoma? Yeye kasema dola bilion elfu sita.
 
Umechemka.
Dola bilioni 6000 ni 6,000,000,000,000.
Unajua kweli ulichoandika?
Dola bil 6000 unazidisha Mara 2300
Kwa maana dola moja ni sawa na Tsh 2300
Hivyo
Ni sawa na trillion 13800
 
Hayo mambo ya kuongopa alikuwa nayo Jiwe. Huyu mama itakuwa kakosea kusoma tarakimu bila shaka
Ndivyo ilivyoandikwa bro! Jisomee mwenyewe.
Na ikitokea tukajaambiwa ni pungufu sana, wasaidizi wawe tayari kuandaa majibu sahihi.
Deni la US ni around$ 10 T, sisi tuna akiba ya 6.253 T. Tupo uchumi wa katikakati.
 
It is criminal kwa waraka wowote ule kutoka IKULU ya nchi kuwa na makosa ya kiundishi; ikitokea hivyo ni ishara ya lack of seriousness and mediocrity. Nchi isiruhusu uzembe wa namna hiyo!!!
Ndiyo imesharuhusu mkuu, nothing else to say!
 
Acha ujinga mkuu jifunze hesabu usiwe unakurupuka, hizo ni zaidi ya trilion 14 elfu.
Yaan 14,000 trilion.
Hiyo ni bajeti ya nchi yetu kwa zaidi ya miaka 400.
Bajeti ya Tz kwa 2021/22 si ni Tsh. 36 T
 
Unajua kweli ulichoandika?
Dola bil 6000 unazidisha Mara 2300
Kwa maana dola moja ni sawa na Tsh 2300
Hivyo
Ni sawa na trillion 13800
Nia yangu si ku calculate.
Nia yangu ni kumuonyesha huyo jamaa kuwa bilioni 6000 inaandikwaje.
Usikurupuke.
 
Kwa mujibu hotuba ya kuaga mwaka 2021 na kukaribisha mwaka mpya 2022, rais kaujulisha umma wa Watanzania kuwa akiba yetu ya fedha za kigeni ni dola za Marekani bilioni 6,253 yaani 6,253,000,000,000 hivyo nchi hii ni tajiri sana na ni dona kantre kama alivyowahi tueleza hayati Magufuli.
Dola bilioni elfu sita unaijua wewe?? In Kiroboto voice!
Kama rais hakuteleza kwenye figures basi Watanzania tuko vizuri, tunakopesheka na tuna uwezo wa kulipa madeni bila shida.
Hao wanaotudai trioni 70 sijui 82 tuna uwezo wa kuwapa dola bilioni 36 tu kati ya dola bilioni 6,253 tulizonazo deni likaisha halafu chenji tunawaachia. Baki yetu inaendelea kusoma dola bilioni 6,217 .
Aliyesema hatukopeshiki mara nchi itauzwa nahisi haijui dola bilioni elfu sita (6,253,000,000,000) kuwa ni pesa ndefu ukibadili kwenda pesa yetu ya mboga.
Screenshot_20220101-165706.png
 
Mwacheni Rais wetu yupo mapumziko ya mwisho wa mwaka.
 
Back
Top Bottom