LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Taifa lililo fitinika. Kila mtu ataongea lugha ambazo hawata elewana. Huku Mama, kule Mgogo huku Slow slow kule Kasim yaani hadi raha. Ccm mtachelewa sana kufika mbinguniBinafsi naamini mheshimiwa Rais alighafirika tu kutamka kwamba tunayo akiba ya US $ 6253 Bl.
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu vitu vinginevyo ni muhimu kuvisemea mapema ili kuondoa sintofahamu zisizo na mashiko.