Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Binafsi naamini mheshimiwa Rais alighafirika tu kutamka kwamba tunayo akiba ya US $ 6253 Bl.

Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu vitu vinginevyo ni muhimu kuvisemea mapema ili kuondoa sintofahamu zisizo na mashiko.
Taifa lililo fitinika. Kila mtu ataongea lugha ambazo hawata elewana. Huku Mama, kule Mgogo huku Slow slow kule Kasim yaani hadi raha. Ccm mtachelewa sana kufika mbinguni
 
Binafsi naamini mheshimiwa Rais alighafirika tu kutamka kwamba tunayo akiba ya US $ 6253 Bl.

Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu vitu vinginevyo ni muhimu kuvisemea mapema ili kuondoa sintofahamu zisizo na mashiko.
Tatizo sio Ikulu , tatizo ni Katiba ya mwaka 1977 ndio sababu Ikulu imepiga kimya
 
wakitoa hiyo press release kuweka sawa kadili tunavyoona bado hatutakosa neno la kuongea..
Wakikaa kimya bado pia tutaongea..huwa hatuna jema sisi..

Si kweli. Wamezoea kuongea uongo ndio maana tunapata shida kujua kama ni kuteleza au ni sehemu ya uongo ule ule.
 
Binafsi naamini mheshimiwa Rais alighafirika tu kutamka kwamba tunayo akiba ya US $ 6253 Bl.

Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu vitu vinginevyo ni muhimu kuvisemea mapema ili kuondoa sintofahamu zisizo na mashiko.
Waache kuchafua vyoo ikulu waje kuwapatia fafanuzi wananchi [emoji849][emoji849]wewe itakuwa ujui maana ya nchi kuwa chini ya WAHUNI
 
Si kweli. Wamezoea kuongea uongo ndio maana tunapata shida kujua kama ni kuteleza au ni sehemu ya uongo ule ule.

E569EABF-4E80-4542-9F37-0C22DAE8FEDE.jpeg
 
Binafsi naamini mheshimiwa Rais alighafirika tu kutamka kwamba tunayo akiba ya US $ 6253 Bl.

Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu vitu vinginevyo ni muhimu kuvisemea mapema ili kuondoa sintofahamu zisizo na mashiko.
Pengine walikuwa wanamaanisha Zim $ badala ya US $. Kwa kuwa wanavyopenda kujificha nyuma ya takwimu ili kutafuta kiki, labda walifanya marejeo kwa dola za Zimbabwe.
 
wakitoa hiyo press release kuweka sawa kadili tunavyoona bado hatutakosa neno la kuongea..
Wakikaa kimya bado pia tutaongea..huwa hatuna jema sisi..
Jema ni kusema ukweli tu na sio kutoa taarifa za michongo.
 
wakitoa hiyo press release kuweka sawa kadili tunavyoona bado hatutakosa neno la kuongea..
Wakikaa kimya bado pia tutaongea..huwa hatuna jema sisi..
Ni kweli tutaongea lakini tutajadili tumefikaje hapo badala ya sasa tunajadili ukilaza wa mtu!
 
Back
Top Bottom