johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Taasisi inaundwa na binadamu!Rais sio taasisi tena? Au huo utaasisi huwa mnautumia wakati wa propaganda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taasisi inaundwa na binadamu!Rais sio taasisi tena? Au huo utaasisi huwa mnautumia wakati wa propaganda?
Kwani akiba ya pesa ya nje halisi ni kiasi gani?
Nani kasema hayo?Umeshaambiwa tatizo ni ile comma badala ya nukta!
Dunia ikiamini kuna ubaya gani?Ndo mnayotumia kuaminisha Dunia kwamba mna akiba ya dola trilioni 6.253?
Rais aliyeteuliwa kwa. Katiba ya mwaja 1977 hajui.nenda BOT mkuu wakakudanganyeKwani akiba ya pesa ya nje halisi ni kiasi gani?
Mzee Mgaya!Nani kasema hayo?
Tatizo sio Ikulu , tatizo ni Katiba ya mwaka 1977 ndio sababu Ikulu imepiga kimya
Taasisi inaundwa na binadamu!
Nipe rate ya ZIM $ kwa sasa ukilinganisha na $1Pengine walikuwa wanamaanisha Zim $ badala ya US $.
Ya Chief Hagaya 😁😁😁Ya Tundu Lisu!
Mr wake yuko wapi?Ya Chief Hagaya 😁😁😁
Kama ugaidi unaweza kufanyika kwa sh.600,000/= walichosema ni sahihi tu.wakitoa hiyo press release kuweka sawa kadili tunavyoona bado hatutakosa neno la kuongea..
Wakikaa kimya bado pia tutaongea..huwa hatuna jema sisi..
Una maana taasisi yetu ya Rais imesheheni vilaza wasio na uwezo wa kufanya proof reading🤣🤣🤣Taasisi inaundwa na binadamu!
Kama ugaidi unaweza kufanyika kwa sh.600,000/= walichosema ni sahihi tu.
Kile kimama ni hovyo mnoo.
Kinapenda sana msesereko tu.
Hata kukariri hakiwezi sembuse kufikiri hivyo kinapewa kisome hotuba hivyo hivyo, na kutapika vitu vya ajabu.
Bwana mdogo naomba unifikishie ujumbe wangu kwa yule Mume wa Dada ako a.k.a Mzee Mgaya,Ya Tundu Lisu!