Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Tatizo sio Ikulu , tatizo ni Katiba ya mwaka 1977 ndio sababu Ikulu imepiga kimya
Mataga!
 
wakitoa hiyo press release kuweka sawa kadili tunavyoona bado hatutakosa neno la kuongea..
Wakikaa kimya bado pia tutaongea..huwa hatuna jema sisi..
Kama ugaidi unaweza kufanyika kwa sh.600,000/= walichosema ni sahihi tu.
 
Kama ugaidi unaweza kufanyika kwa sh.600,000/= walichosema ni sahihi tu.

F36973E3-D28D-4CA2-9D12-AAD60C3875B2.jpeg
 
Kile kimama ni hovyo mnoo.
Kinapenda sana msesereko tu.
Hata kukariri hakiwezi sembuse kufikiri hivyo kinapewa kisome hotuba hivyo hivyo, na kutapika vitu vya ajabu.

Maoni huru yaheshimiwe lakini tuepuke maneno yenye ukakasi wana JF.
 
Ikulu imejitombashisho kwa sababu ina Rais mbumbumbu na wasaidizi wa Rais ni mbumbumbu😁😁😁

Hotuba inapoandaliwa Rais anapaswa aihariri yeye mwenyewe kwanza kabla hajaisoma kwa sababu ni hotuba yake.

Rais hakuihariri hotuba ile kwa sababu ni mbumbumbu au aliihariri lakini hakuona lile kosa au aliihariri ila namba zikamchanganya akasema ngoja iende hewani hivyo hivyo.

Haya yote yanathibitisha kuwa Rais tulienae ni Rais mbumbumbu.

Ikulu imejaa matahira.
 
Watoe au wasitoe haiwezi kubadilisha maisha yako, pambana kutafuta ugali wako achana na porojo za wanasiasa
 
Ya Tundu Lisu!
Bwana mdogo naomba unifikishie ujumbe wangu kwa yule Mume wa Dada ako a.k.a Mzee Mgaya,

Naomba umtaarifu Mzee Mgaya kuwa lile ombi na ushauri wake wa kumuongeza Advocate Tundu Lissu kwenye jopo la mawakili wa Mbowe tumelifanyia kazi na hivi punde Lissu atakuwa mahakamani na kina Kibatala kwenye shauri la Mbowe.
 
nchi ya kusadikika, viongozi wa kusadikika hadi na takwimu ni za kufikirika.
 
Matatizo yanayo ikumba CCM na ikulu kwa ujumla wake kila mtu amlaani JK
 
Back
Top Bottom