Maana ya kuanguka kifudifudi haina uhusiano wowote na kuwekwa wakfu;Umeamua kutoona, lakini unafahamu maana ya "kuanguka kifudifudi?" Ni mara yako ya kwanza kulisikia?Umemezeshwa sumu vibaya na pasta wa kijita.
Soma hii link kwa utulivu ukawaambie wasabato wenzio kuwa Wakatoliki huwa hawakurupuki
33 Bible verses about Prostration
A topical Bible which shows the most relevant Bible verse for each topicbible.knowing-jesus.com
Una majibu yako kabisa tukuache uishi nayo?Au unahitaji uelimishwe?Abrahamu alimuangukia nani ?
Hao kwenye photo hapo juu wanamuangukia nani. ?
Huyo aliyepo hapo mbele ni nani ?
Anafanya nini hapo mbele. ?
Nilikuuliza utueleze maana yake,unapigapiga chenga tu.Eleza tuelewe.Maana ya kuanguka kifudifudi haina uhusiano wowote na kuwekwa wakfu;
Orthodox hawawajibiki kwa Pope wa Vatican bali kwa Masskofu wao wa majimbo, kwahiyo wao siyo wakatoliki.Walutheri, Anglican, Moravian, Orthodox, Coptic hao wote ni Wakatoliki lakini siyo Roman Catholic.
Orthodox ni kanisa katoliki la mashariki, hilo Roman Catholic ni kanisa Katoliki la magharibi.
Katoliki maana yake ni universe church.
Ukristo ni lifestyle sio madhehebu Yesu hakuacha dhehebu lolote dunianiHakuna dhehebu la Kikristo kuanzia Orthodox, Lutheran, Anglican, SDA na hawa ma Pentecostal churches ambao historia yao haina Roman Catholic Church. Unabisha kwa vile huelewi na hutaki kuelewa.
Naamini katika Kanisa Katoliki la Mitume, period. Siyo nyie mnaamini kwa akina Mwingira, akifa Mwingira na lanisa linakufa kama alivyokufa Moses Kulola.
Nenda kamuulize aliyekuingiza kwenye dhehebu ulilopo akueleze vizuri wewe mwana hizaya mwana mtoka pabaya
Unaweza kutudhibitishia kwa maandiko ni lini peter alikuwa papa wa roma?Orthodox hawawajibiki kwa Pope wa Vatican bali kwa Masskofu wao wa majimbo, kwahiyo wao siyo wakatoliki.
Catholic na Roman Catholic ni kitu kimoja. Cimeanza Karne ya kwanza na Kiongozi wa kanisa akiwa Mt Petro (Mathayo 16:18). Anahesabiwa kama first pope
Kulikuwa hakuna dhehebu jingine hadi mwaka 1054 wakati the Great schism ambapo kanisa la Mashariki (Orthodox) lilijitenga kutoka kwenye Ukatoliki. Roman Catholic ikabakia Vatican na Orthodox ikawa na makao yake makuu Constatinople (Istanbul ya sasa)
Then mwaka 1521 Martin Luther alijitenga na Ukatoliki.
Anglican ilitokea mwaka 1575 baada ya Mfalme Henry VIII naye akaanzisha Anglican church
Hellen White mwaka 1844 naye akaanzisha SDA
Nao mapentekoste wakatokea kipindi cha great depression mwanzoni mwa karne ya 19
Kashfa ya kunajisi watoto inawahusuNi ngumu sana kuelewa lengo la ukatoliki katika imani ya Kikristo
Nikajua wewe ni mvaa kobaziHawakawii kusema wanamuabudu padre.Pinduapindua kama voda.
Astaghifilullah!Kwa nini shemeji?Nikajua wewe ni mvaa kobazi
Umekaa hivyo! Halafu kule nimeshindwa kukujibu nina ban ndio maana umeona kimyaAstaghifilullah!Kwa nini shemeji?
Nimekuelewa.Mkuu faiza foxy ametufundisha kujipa fahari wa dini zetu.Siwezi kujificha katika hilo.Umekaa hivyo! Halafu kule nimeshindwa kukujibu nina ban ndio maana umeona kimya
Kwahiyo wewe ni mvaa makobaziNimekuelewa.Mkuu faiza foxy ametufundisha kujipa fahari wa dini zetu.Siwezi kujificha katika hilo.
Mbona huko mitaani wanafanya vituko visivyoendana na viapo vyao na mamlaka zao haziwapi adhabu au kuwatenga badala yake wao ndiyo wa kwanza kuwatenga wauminiIshara kubwa ya kujitoa rasmi kumtumikia Mungu mazima,Kuna jambo kubwa Sana linaendelea apo
Kwa mfano, katika kitabu cha Mwanzo 17:2-3, Abramu anaanguka kifudifudi baada ya kuambiwa na Mungu kwamba ataweka agano kati yake na Mungu.
Labda wakati wa kupunga upepo.Hapa nimejibebesha misalaba kama yote.Kwahiyo wewe ni mvaa makobazi
Sheria za kirumi hizoHiyo style ya kuwekana wakfu kifudifudi mmeitoa kwenye andiko gani mtumishi??
Wezi wanaoiba kwa niaba ya Mrumi hapo wakiapishwa.
Walikuibia nini?Una uhusiano nao kiimani?Waamini wao wamesemaje kuhusu wao?Inakusumbuaje hiyo?Wezi wanaoiba kwa niaba ya Mrumi hapo wakiapishwa.
Hapo unamjibu mtoa mada?Walikuibia nini?Una uhusiano nao kiimani?Waamini wao wamesemaje kuhusu wao?Inakusumbuaje hiyo?
Nimemuuliza ili atoe ushuhuda.Hapo unamjibu mtoa mada?
Sisi kama wana jamii,tulimchangia MJANE ambaye ni jirani yetu wakati alipofiwa mmewe na kuachiwa watoto watano,maajabu ni kwamba hizo fedha tulizochanga msibani zilichukuliwa na padre,kana kwamba haitoshi tukiwa makaburini tukifanya mazishi ilitangazwa kuwa fedha kwa ajiri ya kumuombea marehemu haitoshi achangiwe tena.Walikuibia nini?Una uhusiano nao kiimani?Waamini wao wamesemaje kuhusu wao?Inakusumbuaje hiyo?