Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

KIGOMA angezidisha kwa kuwa imeachwa nyuma sana tena kwa maksudi.
 
Yani Kigoma ni miongoni mwa mikoa ambayo itaendelezwa sana chini ya uongozi wake.

Ndio maana alianza kwa kuwapa nafasi ya mkuu wa nchi namba 2, plus mawaziri na miradi yenye tija.
 
Kuna mawaziri wangapi kutoka KIGOMA katika cabinet ya mama ukiachanq na prof Ndali aliyemrithi?
 
Umepasahau Mchambawima,dole,kijitoupele,kidole mchomeke maana huko amewekeza vya kutosha. Lakini pia nilitaka kuuliza kama Dubai ni mkoa wa Tanzania
 
Mkuu niwekee fact hata mbili tatu zinazoonesha kuwa raisi Samia ametia saini mradi wowote katika maeneo hayo uliyoyataja ili kunifanya niamini ulichoandika.
 
Kwanza Kuna mahala popote ambapo Rais Huwa anatia Saini issue za Miradi? Hiyo hufanya Watendaji Kwa niaba yake.
 
Ok nahitaji saini za hao watendaji wakitia saini miradi ya hayo maeneo yaliotajwa huko Zanzibar.
 
Haha kwani radi imepanda bei ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…