Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

Hakuna upinzani Tanzania, kisha ikifika uchaguzi wizi wa kura ndio Kinga pekee ya ccm! Kwa taarifa yako nchi hii hakuna chama tawala, bali Kuna kundi la majizi kwenye koti la chama Cha siasa.
 
Hakuna Mkoa ambao Samia hajapeleka mradi,juzi tuu hapa kina Mwigulu walikuwa wanamkabidhi mkandarasi ujenzi wa lami,anajenga Barabara ya kutoka Singida kwenda Mbeya,Singida kwenda Tanga na miradi Mingine ya size ya kati hiyo haihesabiki.
Samia anapeleka mradi ana pesa gani? Chawa mnaendekeza sifa za siasa za bei rahisi. Pesa ni za umma sio za Samia.
 
Samia anapeleka mradi ana pesa gani? Chawa mnaendekeza sifa za siasa za bei rahisi. Pesa ni za umma sio za Samia.
Harufu ya wivu 🀣🀣🀣🀣

Na Bado mtapelekewa moto sana.Taja Mkoa wako nikutajie maelfu ya miradi iliyopoo hata Kwa Lema Samia anamimina Upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…