Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

Milembe akupeleke mama yako ambaye alipanua mapaja kukuzaa hatimaye unasifia wazururaji unaacha kumsifia yeye! Maku wewe
Ndio maana huna akili
20230917_151436.jpg
 
Bila kuainisha ni mambo gani yanafanyika katika hizo sehemu kuleta maendeleo utakuwa umepiga porojo za bar tu.
 
Kumbe unaongea Kwa maana ya miradi kwamba ndio kuwekeza nikajua wapi kuna Nguvu ya ccm.

Kwa taarifa Yako Rais hafanyi kazi kufurahisha Mikoa Bali Kwa faida ya Nchi.Mwanza Kuna miradi ambayo aliikuta ndio kwanza inaanza lazima imalizike kwanza ndio mengine yaanze ,stand zote 2 tayari,Daraja kinaisha desemba,Sgr labda 2026 ,mradi wa Maji Butimba olmost done ,uwanja wa ndege keshatoa pesa ujenzi unaanza maana ulisimama.Mwisho ameanza ujenzi wa Barabara ya lami kuanzia hapo Sengerema Hadi Nyehunge bila kusahau meli Mpya kibao huko,anajenga hospital kubwa ya Rufaa ya Mkoa Ukerewe na mengine mengi kama magorofa ya Watumishi hapo Ghana street nk.

Dodoma ni case Moja na Mwanza lazima miradi aliyoirithi ikamilike ambapo Sgr na station Tayari,Barabara za Mji Mkuu tayari, airport na ring road ndio zinaendelea, hospital ya Jeshi,Makao Makuu ya jeshi nk

Japo Kwa Dom Kuna miradi mipya imeanza ambayo ni ya Kitaifa na sio ya Dodoma mfano ujenzi wa Hospital kubwa ya kina Mama ,Ujenzi wa Bwawa la Farkwa,ujenzi wa Barabara za lami kuunganishwa na mvumi,kongwa nk bila kusahau ujenzi wa Makao Makuu ya Nchi unaendelea.

Kuhusu Mbeya naona unaongea pumba na kuleta chuki zako za kina Mwambukusi.Nchi haijawahi ishiwa mipango ,Kuna mipango Toka awamu ya Nyerere hata bwawa la umeme ni Mpango wa Mwalimu.Hivyo basi amekamilisha ujenzi wa uwanja wa Songwe Airport,kuanzia runway,taa Hadi passenger terminal na Sasa wanajenga cold room,amekamilisha hospital ya Rufaa-Meta.
Ujenzi Mpya ni Barabara ya Njia 4,Barabara ya igawa-Tunduma,Ujenzi wa mradi wa Maji wa mto kiwira na ujenzi wa jengo la magonjwa ya Moyo Rufaa Mbeya,ujenzi wa Barabara za lami Rungwe,Kyela na Busokelo nk.

Kuhusu Arusha ni kwamba mama amekamilosha ujenzi wa mradi wa Maji,amekamilisha ujenzi wa Barabara ya EAC ,ameanza ujenzi wa Barabara ya kijenge,Kilombero na ujenzi wa Barabara ya kutoka Arusha-Dodoma via Kiteto ila miradi ya size ya kati haihesabiki.

Kuhusu Dar hapo usiseme miradi haihesabiki, mengine chuki zinakusumbua [emoji16][emoji16]

Vitu hiv wapinzani hawavioni hata kidogo mbaya zaid wamewapa wananchi sumu nao wanajifanya hawaoni
Rais huyu tukimpa support nchi hii itabdlika chap
 
Ni vizuri waendelee kusambaza chuki Ili wampe Nguvu zaidi na Mungu awaaibishe siku alisema Sasa Samia inatosha
-1608194876.jpg
1955048729.jpg
-1698736012.jpg
 
Kumbe unaongea Kwa maana ya miradi kwamba ndio kuwekeza nikajua wapi kuna Nguvu ya ccm.

Kwa taarifa Yako Rais hafanyi kazi kufurahisha Mikoa Bali Kwa faida ya Nchi.Mwanza Kuna miradi ambayo aliikuta ndio kwanza inaanza lazima imalizike kwanza ndio mengine yaanze ,stand zote 2 tayari,Daraja kinaisha desemba,Sgr labda 2026 ,mradi wa Maji Butimba olmost done ,uwanja wa ndege keshatoa pesa ujenzi unaanza maana ulisimama.Mwisho ameanza ujenzi wa Barabara ya lami kuanzia hapo Sengerema Hadi Nyehunge bila kusahau meli Mpya kibao huko,anajenga hospital kubwa ya Rufaa ya Mkoa Ukerewe na mengine mengi kama magorofa ya Watumishi hapo Ghana street nk.

Dodoma ni case Moja na Mwanza lazima miradi aliyoirithi ikamilike ambapo Sgr na station Tayari,Barabara za Mji Mkuu tayari, airport na ring road ndio zinaendelea, hospital ya Jeshi,Makao Makuu ya jeshi nk

Japo Kwa Dom Kuna miradi mipya imeanza ambayo ni ya Kitaifa na sio ya Dodoma mfano ujenzi wa Hospital kubwa ya kina Mama ,Ujenzi wa Bwawa la Farkwa,ujenzi wa Barabara za lami kuunganishwa na mvumi,kongwa nk bila kusahau ujenzi wa Makao Makuu ya Nchi unaendelea.

Kuhusu Mbeya naona unaongea pumba na kuleta chuki zako za kina Mwambukusi.Nchi haijawahi ishiwa mipango ,Kuna mipango Toka awamu ya Nyerere hata bwawa la umeme ni Mpango wa Mwalimu.Hivyo basi amekamilisha ujenzi wa uwanja wa Songwe Airport,kuanzia runway,taa Hadi passenger terminal na Sasa wanajenga cold room,amekamilisha hospital ya Rufaa-Meta.
Ujenzi Mpya ni Barabara ya Njia 4,Barabara ya igawa-Tunduma,Ujenzi wa mradi wa Maji wa mto kiwira na ujenzi wa jengo la magonjwa ya Moyo Rufaa Mbeya,ujenzi wa Barabara za lami Rungwe,Kyela na Busokelo nk.

Kuhusu Arusha ni kwamba mama amekamilosha ujenzi wa mradi wa Maji,amekamilisha ujenzi wa Barabara ya EAC ,ameanza ujenzi wa Barabara ya kijenge,Kilombero na ujenzi wa Barabara ya kutoka Arusha-Dodoma via Kiteto ila miradi ya size ya kati haihesabiki.

Kuhusu Dar hapo usiseme miradi haihesabiki, mengine chuki zinakusumbua 😁😁
Umekijibu vizuri kweli hiko kiazi.
 
Back
Top Bottom