Rukwa haijatengwa sema Bado hajafika kufanya Ziara.
Hiyo miradi iliyofeli ni ya Mwendazake Mzee wa kukurupuka.
Hata hivyo Barabara uliyoitaja usanifu umekamilika ila haiwezi kujengwa miaka ya karibuni kwanza Kuna Chadema kule.Barabara ya Lyazumbi Kabwe itaanza kujengwa kwanza ndio itafuata hiyo ya Kirando.
Mwisho hakuna Mkoa Mama ameutenga na wewe unajua.Hapo Rukwa amekamilisha Stand kuu,amekamilisha Chuo Cha Walimu,amekamilosha Veta Mkoa.
Miradi aliyoianzisha ni ,ujenzi wa Sumbawanga Airport,ujenzi wa Barabara ya Ntendo-Muze- Kilyamatundu,ujenzi wa Matai-Kasesya,ujenzi wa Laela-Mwimbi-Kizombwe road baadae itaungana na ya kutoka Matai,amejenga Barabara za Mjini zaidi ya km 2 Sumbawanga,taa zinawaka na huko mawilayani mambo ni [emoji91][emoji91][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]