Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

Mikoa ambayo Rais ameipa kisogo;
1. Kilimanjaro
2. Rukwa
3. Songwe
4. Tabora united
5. Shybush
6. Singida fountain gate united
Mingine nimeisahau
Raisi hajaupa kisogo mkoa hata mmoja. Anaelekeza maendeleo katika mikoa yote ya Tanzania.

Isipokuwa ni kama vile nlivyotolea mfano wa mzazi na wanae.

Kuna ile ambayo kaipa miradi mingi ya maendeleo kuliko mingine.
 
Mikoa ambayo Rais ameipa kisogo;
1. Kilimanjaro
2. Rukwa
3. Songwe
4. Tabora united
5. Shybush
6. Singida fountain gate united
Mingine nimeisahau
Kwani Mbowe si yupo ,acheni kupiga mayowe ,endeleeni kukumbatia peoples hadi hamjitambue πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Mwanza kwa lipi alilofanya Samia la maendeleo?
 
Kwani Mbowe si yupo ,acheni kupiga mayowe ,endeleeni kukumbatia peoples hadi hamjitambue πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Lisu huja Tanzania kuanzisha drama uchwara, baadae anaanzisha operational uchwara nchi zima huku akiomba wajinga wamchangie.

Akishapata kiwango cha nauli, hela ya ada za watoto wake na ya kutumia miezi miwili mitatu na familia yake huko Ulaya, basi huyo anatimka na kuwaacha wajinga waliomchangia wakiendelea kushindia uji na kipande cha muhogo.
 
Yaani sijui wanawapataje hawa wajinga wanaowanchangia aisee
 
Unatoa taarifa mpaka nakuchukia jinsi unavyolitawala jukwaa huku ukiwapoteza walalamishi na wenye gubu
Hawa watu wamezoea kudanganywa na kuchangishwa michango. Afu baadae anaewadanganya na kuwachangisha michango anakimbilia Ulaya kula michango na familia yake, huku akiwaacha wachangaji katika hali mbaya na njaa kali.
 
Bora nguvu kazi aelekezee Jiji la Mwanza, jiji pendwa, jiji la biashara na kuishi pia,, pamoja na Dom, Dar na Zanzibar nchi. Huko Kilimanjaro na arusha wasubiri kwanza.
Kwanini huko wasubiri mkuu na wakati ni mikoa ya Tanzania?
 
Umeshajijibu tayari kwamba anakamilisha maana yake hakuna mradi wa kutoka kwenye akilizake anaoufanya
Mkuu kubali kuwa mwendazake is no more, na Dr SSH ndiye Rais wa JMT. Ulitaka aiache ya Mwendazake ili aanzishe ya kwake? Je, mantiki ya kufanya hivyo ni nini, ilhali fedha zinazotumika ni Kodi za wananchi? Punguza chuki na upinzani usio na sababu
 
Nipo kigoma
1 meli hazitembei
2 soko mwanga limevunjwa ujenzaendelei mpaka sasa
Nini unakisema kigoma kinakupa imani hiyo
Alafu kutuambia kigoma tumeshikiwa akili nitusi kubwa. Kauli za zamani zaviongozi ndio zilitufanya kigoma tuwe vile mfano kigoma ilitulete maendeleo inatakiwa Burundi na Congo vita iishe sasa mtu unajiuliza kwani kgm nisehemu ya Burundi au Congo? Au Kigoma ndio inapeleka machafuko huko?ilituadhibiwe na umoja watanzania? Kauli nyingine sasa tunaionganisha kigomana tanzania
Lakini tumegundua watawala wa zamani walikuwa waoga vingine nivisingizio .
Walicho kiokopa kiongozi ukionekana unataka kuisaidia kigoma utaitwa mdini. Sasa Samoa hataki hayomambo nijasiri yeye ni maendeleo kwanza
Lakini kunasemu nazo upinzani ulikuwa kuzidi kgm arusha dar na mwanza. kigoma walishikiwa akili hao nao vipi?muandishi. Tulia samia apige kazi
 
Hivi ukipewa pesa ya ada ya shule na mzazi wako, alaf wewe ukaenda kumuhongwa mwanamke pesa yote, siku ukifukuzwa shule nani atakuwa na kosa kati ya mzazi na wewe?

Pesa za miradi zimetolewa, baadhi ya viongozi wenye tamaa mkoani hapo wamezikwepesha na kusababisha ucheleweshaji wa ukamilifu wa miradi, hadi waziri mkuu juzi alikuja Kigoma kawasimamisha viongozi waliokwepesha mamilioni ya miradi na kuagiza viongozi hao wachunguzwe na takukuru ili kubaini unadhirifu huo wa pesa, alaf wewe bado unamlaumu raisi!!
 
Mkuu kubali kuwa mwendazake is no more, na Dr SSH ndiye Rais wa JMT. Ulitaka aiache ya Mwendazake ili aanzishe ya kwake? Je, mantiki ya kufanya hivyo ni nini, ilhali fedha zinazotumika ni Kodi za wananchi? Punguza chuki na upinzani usio na sababu
Hili dongo ulilomtupia jamaa sizani kama atarudi tena kuandika utumbo wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…