Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
You see, kumbe hiyo logic ipo applicable only when it favours you! π€
Athari zipi hizo unazozizungumzia ilhali wameruhusu bikra zao kutolewa kwa utashi wao?
Unakuta binti miaka 14, 15 kwa tamaa zake anakubali kuigawa bikra, hapo anatarajia nini?
Wangapi wamejitunza hadi 25+ muda wa kuolewa wakaja rubuniwa na 'waliotaka kuwaoa'?
Bikra nyingi zinatolewa miaka ya mwanzoni kabisa ya balehe, hivyo mwanamke kama gatekeeper wa sex haiwezekani asiwe accountable kwa hilo.
Na wewe muoaji body count ikiwa 5+ utakua na emotional attachment kwa huyo unaye muoa?Body count matters more... .. huwezi oa manze body count inasoma 5+ halafu unambie wewe muoaji ambaye una Nia ya kweli utegemee huyo mwanamke awe na strong Emotional attachment kwako...
Bora useme wewe.Kwahiyo hapo mwanamke ana chat na mwanamke mwenzie au mwanaume
Kwanini alaumiwe mwanamke tu ?
Baadhi ya wanaume ni ma faller kupita kawaida
Hivi mada za hivi nawe huwa unachangia?Na wewe muoaji body count ikiwa 5+ utakua na emotional attachment kwa huyo unaye muoa?
Na wewe muoaji body count ikiwa 5+ utakua na emotional attachment kwa huyo unaye muoa?
Ndoa zinawapa ukichaa watu, afu wanasema ni Mafanikio, nachoka mie.Wanandoa mna kazi haswa .....
Hujajibu Ulicho ulizwa, em jibu swali.Hivi mada za hivi nawe huwa unachangia?
Kwani nani alimfata mwenzake? Aliye mfuata mwenzake ndiye anapaswa kubeba majukumu yote ikiwemo na hilo la kujitunza.Wewe muoelewaji ambaye umepewa fursa zote sawa sawa na mwanaume. Kuanzia elimu, ajira,kumiliki mali n.k. Ukiolewa utataka kuhudumiwa na mwanaume?
WanashangazaBora useme wewe.
Popote jeiefu Kuna member nilishasema for Good sipendi kujibishana nao au hata kuwatag mahali popote pale ,,mojawapo ni wewe... Na sina sababu naweza kukueleza ni kwanini...Hujajibu Ulicho ulizwa, em jibu swali.
View attachment 3697492
NDOA IMEBAKIA TU KAMA TITLE NA SIO KITU KILICHO SACRED
Hilo tu? Na sikuona huo uzi uliyosema hayo, na sihitaji unieleze hizi sababu zako, sio shida zangu.Popote jeiefu Kuna member nilishasema for Good sipendi kujibishana nao au hata kuwatag mahali popote pale ,,mojawapo ni wewe... Na sina sababu naweza kukueleza ni kwanini...
Una ambiwa ni Mafanikio, huku tena ni mwendo wa milio na machozi ya Damu, basi ni Heka heka tupu.Wanashangaza
Unajua hatuelewani wapi kaka?Sio kweli kabisa. Logic yako ni inabagua. Mutually accountability unayoitaka unajaribu kuikwepesha pale ambapo logic yako inambana mwanamke.
Suala la kuwa na historia ya mahusiano mengi uko juu umeonekana kutetea mutually accountability, kwamba ni kitendo kinachofanywa na wote basi kama ni lawama zibebwe na wote.
Lakini kwanini mwanamke haukumiwe na past yake lakini past ya mwanaume isiangaliwe. Mimi na zorewa uko juu tumejaribu kukuelewesha kwamba hiyo ni nature. Kila jinsia ina uoande wake ambao inabeba lawama lakini jinsia nyingine haiguswi. Nikakupa mfano huo wa provision kwamba haimuathiri mwanamke. Anaweza kuingia kwenye mahusiano au ndoa akiwa masikini au jobless lakini haiwezi kuwa hivyo kwa mwanaume.
Kumbuka privision(ambayo ndio sababu ya kumpa mwanaume umiliki) inahusisha watu wawili. Kuna mtoaji na mpokeaji lakini mutually accountability umeikataa hapa. Kwa kisingizio kwamba mwanaume hajalazimishwa kutoa. Lakini kule kwenye past ya mahusiano mengi ndio unataka kuwe na mutually accountability wakati uko pia mwanamke hajalazamishwa kukunjua mapaja yake.
Unaona jinsi logic yako ilivyo biased?
Wanaume ni selfish hata kwenye mambo yasiohitaji ubinafsiUna ambiwa ni Mafanikio, huku tena ni mwendo wa milio na machozi ya Damu, basi ni Heka heka tupu.
Sasa usishoboke kwenye reply zangu....wapi ushaona nime reply comment yako?π€£π€£π Leo ndio umeshobokaHilo tu? Na sikuona huo uzi uliyosema hayo, na sihitaji unieleze hizi sababu zako, sio shida zangu.
ππππ
Kheeeh kumbeee?? Mabwakuuu πππSasa usishoboke kwenye reply zangu....wapi ushaona nime reply comment yako?π€£π€£π Leo ndio umeshoboka
Wanasema ni "NATURE"Wanaume ni selfish hata kwenye mambo yasiohitaji ubinafsi
Ndio yale yale et wameumbiwa kutamani π€£π€£Wanasema ni "NATURE"
ππππ
Nachoka mie, Alooo πππNdio yale yale et wameumbiwa kutamani π€£π€£
Sisi hatuna tamaa eti?π