Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi

Anayemfata mwenzake anatakiwa kuwajibika.
 
After 10 years hii taasisi ya ndoa itakua taabani sana huruma ni kwa vijana wetu ambao wataoa miaka ya mbele
 
Anayemfata mwenzake anatakiwa kuwajibika.

Hakuna aliekataa kuwajibika, kinachoongelewa ni ile equation inayoleta balance. Anaewajibika kuna rewards lazima azipate ili equation iwepo mfano wa hizo rewards ni submission na loyalty. Hivyo basi anaewajibikiwa kabla hajapokea chochote lazima akubali kupoteza uhuru wake
 
Kwamba umaskini upo bongo tu? Wewe ni mwendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…