Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
-
- #121
Kula. Punguza makasiriko dogo haya mambo hayataki hasira. Kula kwanza ukishiba uje ukiwa calm utakuta wanaume tupo hapa tukufundishe mpira.Acha ushamba kolo bin mbumbumbu.
Nilipo mimi huku ni saa moja usiku sio mchana.
Sasa nakulaje mchana?
Nna uhakika wa 100% wewe sio mwanaume kamili ni shoga.Kula. Punguza makasiriko dogo haya mambo hayataki hasira. Kula kwanza ukishiba uje ukiwa calm utakuta wanaume tupo hapa tukufundishe mpira.
Dogo umepaniki sana.haya mambo hayataki hasira. Pata ugali kwanza halafu ukae sawa kiakili. Mbona ni issues ndogo sana hizi.Nna uhakika wa 100% wewe sio mwanaume kamili ni shoga.
Hakuna aliyekuuliza jinsia yako cha ajabu unaisema.
Hii kisaikolojia inaonesha ulikuwa mwanaume kamili watu walikuharibu na sasa ni shoga ila upendi hiyo hali.
Kutoa huo uchungu moyoni ndio unai express jinsia yako bila kuulizwa hili upate psychological relief.
Who asked you about your sex?
Ni ndogo kweli.Dogo umepaniki sana.haya mambo hayataki hasira. Pata ugali kwanza halafu ukae sawa kiakili. Mbona ni issues ndogo sana hizi.
Waambie mbumbumbu waache kutuuzia mechisababu huwa mnaona wenye akili ni mikia tu ila yanga ni hoya hoya na kama alivyosema msema kweli manara wenye akili ni wawili tu kwetu.
Kama kwenye vyama vya siasa Kuna vichomi sembuse kwenye vilabu vya soka, ndiomaana kipindi kile ikielekea derby wachezaji walikuwa wanawekwa lockdown wanyimwa na mawasiliano ya nje sababu ya mambo kama haya ya nilegezee chukua bahashaMkipigwa mnapigwa kihalali sema ni ugumu wa kukubali kwamba mlizidiwa. Timu ikiingia kwenye mfumo inapigwa vizuri tu bila kujali ubora wake.
Ww ni familia kbs sema upo kimkakatiNyie mikia mmewafukuza wachezaji ambao tulikuwa na mahusiano nao mazuri. Akina chama, baleke, inonga na manura mmeamua kumsotesha bench. Hawa jamaa walitusaidia sana ile match. Na tungeongezewa muda ilikuwa tuwapige hata 10 mbwa nyie. Lakini pia kuna viongozi wa simba tunakula nao bado.....
Dogo umepaniki sana.haya mambo hayataki hasira. Pata ugali kwanza halafu ukae sawa kiakili. Mbona ni issues ndogo sana hizi.Ni ndogo kweli.
Lakini yanaonesha ukubwa wa tatizo linalokusumbua nyuma ya pazia.
Kabisa nao huwa wanauza siyo siri.Waambie mbumbumbu waache kutuuzia mechi
Enzi hizo njaa zilikuwa zinawasumbua. Siku hizi kuna eneo mashabiki na viongozi hawaliangalii kwa kina ila naliona kama kwa Tanzania linaanza kukita mizizi ni vile hakuna vyombo vya uchunguzi.Kama kwenye vyama vya siasa Kuna vichomi sembuse kwenye vilabu vya soka, ndiomaana kipindi kile ikielekea derby wachezaji walikuwa wanawekwa lockdown wanyimwa na mawasiliano ya nje sababu ya mambo kama haya ya nilegezee chukua bahasha
Kama hakutaka kusema hadharani anayeweza kujua umalizio wake alimaanisha nini ni Mungu na mke wake au wake zake tuKocha mzungu wa klabu moja ya ligi kuu tz aliwahi kusema ligi ya bongo ni dhaifu. Hakumaliza kusema kila kitu.
Acha kujitoa ufahamu yanga hawajawahi kuacha kukamia mechi na simba na ofcourse mechi yenu na azam lazima iwe ngumu, sababu azam nao huwa wanawakamia hadi msemaji wenu akaanza kulialia kwamba azam wanapenda kuwakamia yanga tu, yani uchezaji wenu na wa azam hauna tofauti wote mnaikamia simba na wote mkikutana mnakamianaKwa sasa Yanga hakamii mechi ya Simba maana ni zamani sana tangu mikia wamepata ushindi. Mechi ngumu kwa Yanga ni ya dada zenu Azam. Hiki kikosi kinachopata shida kwa timu ya sita Afrika kusini Yanga ndio ikiogope? Ambacho forward anampiga chenga hadi kipa anatoa nje? Ambacho Fondo anapiga one two na forward za timu pinzani? Kikosi ambacho kinatafuta sababu ya mechi kuahirishwa? Tusubiri mechi ikipangiwa tarehe.
Eti Simba ikifungwa na Yanga inakuwa imekamiwa ila ikishinda ni kwa sababu ya ubora. Derby yoyote ni kwa ajili ya wanaume sio wavulana wavaa nepi wanaolialia. Na kama mnaendelea kuiona Yanga sio bora mtafungwa sana.Acha kujitoa ufahamu yanga hawajawahi kuacha kukamia mechi na simba na ofcourse mechi yenu na azam lazima iwe ngumu, sababu azam nao huwa wanawakamia hadi msemaji wenu akaanza kulialia kwamba azam wanapenda kuwakamia yanga tu, yani uchezaji wenu na wa azam hauna tofauti wote mnaikamia simba na wote mkikutana mnakamiana
Siku simba wakiwafunga yanga ujue ni kwa sababu simba ni bora na si kwamba wamekamia ila ukiona yanga wamewafunga simba ujue yanga wamekamia na si kwamba wana kikosi bora, na ndio maana si ajabu yanga mbovu kuwafunga simba bora yani si ajabu kuona simba wanaofika mbali kimataifa wanafungwa na yanga, ambao kimataifa wanaishia makundi kwahiyo hapo unaona kinachoamua siyo ubora ila ni yanga kukamia mechi tu
Tatizo siyo timu kuwa ya sita tatizo ni ubora wa ligi sasa wewe unataka kufananisha ushindani wa ligi ya sauzi na ya bongo, haya mbona ninyi mlifungwa na tabora ambayo haipo hata top four kwenye ligi yetu, suala la mastriker kukosa magoli hilo wala siyo ajabu mfano mzuri ni kwenye timu yenu wenyewe striker wenu Dube alikuwa anakosa magoli ya wazi hadi mashabiki mkaanza kumkatia tamaa na kumsema vibaya
Na wengine hadi mkasingizia amerogwa mara mkasema yanga walikosea kumsajili msimu ujao anatakiwa aondoke, hadi msemaji wenu akaamua kushusha gazeti kuwaambia msimseme bali mumpe moyo, ila baada ya kuanza kufunga magoli yake ya mchongo na ya offside sasa hivi ndio mnabadili maneno mnajifanya kumsifia na kujiona mna striker bora
Nakukumbusha tu jana wachezaji wenu wamelia machozi, kwa kufuzu fainali ya kombe la muungano, baada ya kuponea chupuchupu kutolewa na wale watoto
Badoo idad haiwezi badilika kwa chapsho la skumojaa idadi ipo palepalee mpaka afanyiwe intrvew na haji😂😂😂
Sasa Mbali wapi huko mlipo fika ambapo Yanga haija fika?Acha kujitoa ufahamu yanga hawajawahi kuacha kukamia mechi na simba na ofcourse mechi yenu na azam lazima iwe ngumu, sababu azam nao huwa wanawakamia hadi msemaji wenu akaanza kulialia kwamba azam wanapenda kuwakamia yanga tu, yani uchezaji wenu na wa azam hauna tofauti wote mnaikamia simba na wote mkikutana mnakamiana
Siku simba wakiwafunga yanga ujue ni kwa sababu simba ni bora na si kwamba wamekamia ila ukiona yanga wamewafunga simba ujue yanga wamekamia na si kwamba wana kikosi bora, na ndio maana si ajabu yanga mbovu kuwafunga simba bora yani si ajabu kuona simba wanaofika mbali kimataifa wanafungwa na yanga, ambao kimataifa wanaishia makundi kwahiyo hapo unaona kinachoamua siyo ubora ila ni yanga kukamia mechi tu
Tatizo siyo timu kuwa ya sita tatizo ni ubora wa ligi sasa wewe unataka kufananisha ushindani wa ligi ya sauzi na ya bongo, haya mbona ninyi mlifungwa na tabora ambayo haipo hata top four kwenye ligi yetu, suala la mastriker kukosa magoli hilo wala siyo ajabu mfano mzuri ni kwenye timu yenu wenyewe striker wenu Dube alikuwa anakosa magoli ya wazi hadi mashabiki mkaanza kumkatia tamaa na kumsema vibaya
Na wengine hadi mkasingizia amerogwa mara mkasema yanga walikosea kumsajili msimu ujao anatakiwa aondoke, hadi msemaji wenu akaamua kushusha gazeti kuwaambia msimseme bali mumpe moyo, ila baada ya kuanza kufunga magoli yake ya mchongo na ya offside sasa hivi ndio mnabadili maneno mnajifanya kumsifia na kujiona mna striker bora
Nakukumbusha tu jana wachezaji wenu wamelia machozi, kwa kufuzu fainali ya kombe la muungano, baada ya kuponea chupuchupu kutolewa na wale watoto
Unataka kusema chizi haponi🤣😂🤣🤣Ba
Badoo idad haiwezi badilika kwa chapsho la skumojaa idadi ipo palepalee mpaka afanyiwe intrvew na haji😂😂😂
Oohh sorry nilisahau kumbe malengo yenu yalikuwa kuingia makundi, maana huko kwingine ninyi hampataki bali napataka mimi sasa, halafu kwa hali hiyo ndio mnajifananisha na simba aiseSo ulitaka kila mwaka tufike unapo taka wewe?
Yani mabeki wenu kina Bacca wanacheza jihad halafu mnasema eti timu bora haina wasiwasi wa kuingia vitani, lengo lenu wachezaji wa simba waumie ili washindwe kusonga mbele, halafu mjitoe ufahamu mseme simba ni wabovu kumbe ukweli mnaufahamuTangu lini timu bora ina wasiwasi kuingia vitani, mbona Yanga ilipambana ikiwakosa Aucho, Pacome na Yao Yao na iliupiga mwingi tu kule South Africa hadi Makolokolo mlibaki mmeduwaa kama mapaka shume yanayokata roho?
Makolokolo mshukuru mmekutana na vitimu visivyoeleweka ndiyomaana mmefika hapo.
Makolokolo = Kamdomo
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sasa mbona unarudia yale yale niliyotoka kukuambia kweli eymael ajengewe sanamu lake, si nimetoka kukuambia hapo kwamba simba msimu uliopita walikuwa na kikosi kibovu ndio maana wakaishia nafasi ya tatu na kuangukia shirikisho msimu huu, lakini pamoja na huo ubovu wa simba bado wakaishia robo fainali cafcl kama yanga tu ambao walidai wana kikosi boraMwaka jana ulimaliza nafasi ya tatu ukashindwa kushiriki klabu bingwa mwaka huu matokeo yake ukadondokea shirikisho kati ya wewe na Yanga iliyoshiriki klabu bingwa nani mbovu?
Wewe kupita robo fainali sio maajabu kundi lako halikuwa na timu ngumu kuliko yanga pia hata uko robo fainali ulitoka kwa aibu kwa kuliwa nje ndani na al akhly.
Yanga katolewa kwa penati huku akidhulumiwa goli lake halali kabisa yes ni goli halali kabisa.
Sasa hapo hipi ni timu bora?
Yanga kakufunga mara 4 mfululizo na mara ya tano ukakimbia mechi!
Yanga ndio bingwa mtetezi wa ligi akiwa amechukua mara 3 mfululizo.
Sasa kwa facts hizo simba anaanzaje kuwa bora kuliko yanga?
Ofcourse haya mashindano ya cafcc wakati mnacheza ninyi yalistahili kuitwa loosers cup sababu yalikuwa ni mashindano ya walioshindwa klabu bingwa na kudondokea shirikisho, ila kwa sasa siyo ya loosers kwa sababu timu zinashiriki moja kwa moja kutoka kwenye ligi zao na siyo baada ya kufeli klabu bingwa, nashangaa wengine wanasema eti ni mashindano ya malooser toka kwenye ligi zao kama ni hivyo huko cafcl si wangekuwa wanachukua mabingwa wa ligi pekee mbona wanachukua hadi walioko kwenye nafasi za piliEti Simba ikifungwa na Yanga inakuwa imekamiwa ila ikishinda ni kwa sababu ya ubora. Derby yoyote ni kwa ajili ya wanaume sio wavulana wavaa nepi wanaolialia. Na kama mnaendelea kuiona Yanga sio bora mtafungwa sana.
Kuhusu Dube mimi nikiwa shabiki na mpenda mpira niliamini kila kocha aliyempanga hakuwa mjinga aliona umuhimu wake lilikuwa swala la muda tu Ukiona foward hakuna clear chances anazozipata na kukosa huyo sio forward. Huenda anajificha nyuma ya mabeki wa timu pinzani kukwepa lawama endapo atakosa. Positioning ya Dube uwanjani inawapa tabu sana mabeki na ndio maana ana assist nyingi pia. Ni sawa na hata kwenye timu yenu ninavyoamini Ateba ana uwezo mkubwa kuliko striker refu. Ateba hana tofauti sana na Mugalu. Anachohitaji ni number 10 wazuri na wale winga ambao watafuatilia anapopokea pasi na kuwahold mabeki wawili wamsaidie. Dube is my man sijawahi kuwa na wasiwasi naye.
Kusema ana magoli ya offside ni utetezi wa striker wenu na magoli ya penati kwa kuwa dube hana. Unaweza kutaja kuna magoli mangapi ya offside ya Dube kama macho yako yanafanya kazi?
Hayo mashindano mnayoenda fainali Yanga ndio timu ya kwanza kwenda fainali kwa timu za Tanzania. Sasa unaposema timu inaishia makundi sijui unazungumzia mashinadano gani.
Haya mashindano mnayojivunia sasa kufika fainali ndio mliyoyaponda Yanga alipofika fainali mkisema nyinyi sio level za kufurahia mashindano ya shirikisho. Leo mnayaona kama mafanikio. Mzee Aden hakukosea kuusema uwezo wenu wa kufikiri.
Kwenye caf ranking timu lako linashika nafasi ya ngapi au kama hamjui umuhimu wa timu kupanda rank muulizeni msemaji wenu, yanga mna consistency gani kimataifa hadi mjifananishe na simba mmeingia robo fainali cafcl msimu mmoja tu msimu uliofuata mkatema bungo, simba wamecheza hiyo robo mara tano mfululizo walau wamevuna pesa za kutosha toka kwa caf baada ya kufika kwenye hatua hiyoSasa Mbali wapi huko mlipo fika ambapo Yanga haija fika?
Mbumbumbu kwa akili yako unajua huyo ni Yanga?Mkipatikana watu kumi yanga wenye akili kama yako yanga anacheza fainal Africa na ubingwa bara asahau...