Hili tatizo la kukosa usingizi usiku, ninalo peke yangu au?

Asante kwa taarifa mkuu
 
Bhasi ni rahisi, weka simu pembeni na ujitahidi kwa muda flani kuizuia ile kiu ya kutaka kuitumia. Najua sio rahisi kama upo addicted Ila kama ukiweza hata kwa wiki kadhaa tu utaanza kujenga mazoea
Hapo siwezi kutoboa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…