Hili tatizo la kukosa usingizi usiku, ninalo peke yangu au?

Kula kaugali kadogo na nyanya chungu nyingi plus bamia mixer zimeungwa vizuri za kupaka na sio michuzi!shushia na ka chai ya rangi vikombe viwili hivi!!mbona utalala sana !!?
 
Ugali usiku si ntasababisha matatizo mengine jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…