Best wishes in your new chapter.💯 Kabisa. Na ndio sababu leo hii yan muda hii nimetoka kupakia furniture zangu za ofisi na kuhamishia mkoan ambako nilihamia baada ya huu mgogoro.
Ulisoma nyuzi za mwanzo wa hili sakata mkuu?Mkuu afya ya akili imeingiaje?
Mazee huu uzi mmeanza kuufatilia sasa hivi, jamaa yuko humble sana.Na mimi nimegundua hilo, halafu huyu jamaa hachomoi nakwambia. Asingekubali hizo hugs
Nilisoma nikaona kama simuelewi huyu nikaachana nazoUlisoma nyuzi za mwanzo wa hili sakata mkuu?
Laiti ungejua harakati za jamaa na chanzo cha ugomvi mpaka kupelekana mahakamani ungewaza tofauti na ulivyowaza mkuu...jaribu kuzipitia pitia labda utapata kituNilisoma nikaona kama simuelewi huyu nikaachana nazo
Upo sahihi mkuu, hakuna sababu ya kuonesha wazi chuki zako kwake, ni utoto na ni battle za kike hizo.Mbona sijaona udhaifu hapo tofauti na ustaarabu tu. Sasa was i supposed kua mshari shari mkuu??
Ujue kuna suala hili..
For the sake of me meeting my kids, mama yao ameshika makali, na aki report any aort of abuse inakula kwangu. Ndio maana hata kuwaona watoto, nilitaka ajulishwe nisije na nilifanya hivyo kwa makusudi ambayo yeye hakujua. Ila nilikua natengeneza defence yenye ushahid kwangu incase atapata idea ya kutumia mwanya huu ku twist mambo jui ya mimi kuwaona watoto..
Wife atarudi na inawezekana atampokeaKuhusu mahakamani sijui wajuzi wake!!!,, .
Kwa maelezo yako wife anakujua vizuri mnooo!! Halafu alitingisha kiberiti bila kuwa na msimamo muda si mrefu unarudi ulikotoka.....
Mzee ulitaka jamaa amtie mabisu au amkataze huyo ex wake kupanda hiyo gari?Madam, mwanaume kama hana changamoto ya kiuchumi, anayo nafasi kubwa sana ya kudhibiti ama kudeal na situation yoyote inayotengenezwa na mwanamke yenye kuathiri familia..when it gets to the point of ruining the family, basi lazima Kuna mahala mwanaume hakuact smart mapema
Akimpokea pia sawa tu,,, Walee watotoWife atarudi na inawezekana atampokea
Tuwaachie wenyewe!!!Watoto wataumia ndio, ila wataumia zaidi kuishi kwenye familia yenye migogoro. Kwa walipofikia ni heri maana wanaweza kuuana na kuacha watoto yatima.
Umeongea ukweli mtupu.Naam siku zote anguko la ndoa athari kubwa huenda kwa watoto. Wanawake hudhani watapata furaha Sana baada ya kuachana na waume Zao(hapa ni kwa wale waliokuwa manipulated na ufeminism wakaanzisha movement za kuachana) ila in return wanaambulia majuto na furaha za kufake na ndio maana utawaona kutwa kucha kupost namna wanavyopendeza na Kula bata (wanapelekeshwa na hisia za kujihami) lakini behind wanasaga meno kwa majuto
Kwa alichofanyiwa unaona ni sawa arudiane nae?Akimpokea pia sawa tu,,, Walee watoto
Kwa mtingishiko ule wa kibiriti inahitajika sana mtu awe na moyo wa ajabu kutorejea alikotoka.....ukizingatia huruma tulizonazo wanaume kwa family....Kuhusu mahakamani sijui wajuzi wake!!!,, .
Kwa maelezo yako wife anakujua vizuri mnooo!! Halafu alitingisha kiberiti bila kuwa na msimamo muda si mrefu unarudi ulikotoka.....
Ha ha ha ha na jinsi mwamba anavyowakea watoto ...sijui kama hawatatumika vyema na mama yao kumfanya arudi alikotoka ....*Ameshaachwa huko sasa anarudi kwako
Msamehe mlee watoto..!🏃
Si sawa kurudiana nae.....Kwa alichofanyiwa unaona ni sawa arudiane nae?
Ha ha haLazima ex wife achangamke kwa namna ile navara inavyovutia.
Unajua sisi wanawake baadhi akili fupi ukirubuniwa kidogo tu unaona mume wako hafai.Kwa mtingishiko ule wa kibiriti inahitajika sana mtu awe na moyo wa ajabu kutorejea alikotoka.....ukizingatia huruma tulizonazo wanaume kwa family....
🤣🤣🤣Jamaa Bado anatamani kupata ushauri hapa warudiane... Jamaa lazma arudishe majeshi nyuma kama Yale ya SADCKuhusu mahakamani sijui wajuzi wake!!!,, .
Kwa maelezo yako wife anakujua vizuri mnooo!! Halafu alitingisha kiberiti bila kuwa na msimamo muda si mrefu unarudi ulikotoka.....
Hakuna cha kufunika kombe.Hahaha!
Mkuu, ninaiombea NDOA yenu irudi.
Hivyo mama watoto alivyosema “Tunaondoka wote” nawe ukamkubalia nimejikuta naikenulia meno screen ya simu yangu😁.
Fukieni mashimo, rudisheni ndoa yenu kabla upendo baina yenu haujayeyuka.