Bora kipara kingekua kinaota na huku chini yaondoke banaMavz ndiyo CHUPI YA ASILI ...Siku hizi teknolojia imeendelea hivyo kuna mavazi mazuri ya kujisitiri ndiyo imekufanya usijue umuhimu wake kwa sasa Mavz hayana umuhimu wowote ila zama za kale yalikuwa ni sehemu ya kifuniko kama unakumbuka babu zetu walivaa hadi nyasi kuongezea mavz
Vumbi litazuiwa na vyupi mi bado sijaona kazi yake haya mastili wayaKisayansi, mavuzi ya sehemu za siri (nywele za kinena au nywele za sehemu za siri) yana kazi kadhaa muhimu:
- Ulinzi wa Ngozi na Mishipa Midogo
- Yanapunguza msuguano kati ya ngozi wakati wa kutembea, kukaa au wakati wa tendo la ndoa.
- Yanasaidia kulinda ngozi nyeti na mishipa midogo isikwaruzwe au kuumia.
- Kizuizi cha Vumbi na Vichafu
- Yanachuja chembe ndogo za vumbi, bakteria, au uchafu mwingine usiingie moja kwa moja kwenye sehemu za siri.
- Udhibiti wa Unyevunyevu na Joto
- Yanasaidia kuhifadhi kiwango fulani cha joto na unyevunyevu ili mazingira ya uke au ngozi ya kinena yabaki kwenye hali inayofaa kiafya.
- Kusambaza Feromoni
- Nywele za kinena husaidia kunasa na kusambaza feromoniβkemikali za asili za mwili zinazohusiana na mvuto wa kijinsia.
- Kuepusha Magonjwa Madogo ya Ngozi
- Kwa kupunguza msuguano na kulinda ngozi, mavuzi yanaweza kupunguza uwezekano wa kuwasha au maambukizi madogo madogo.
Kwa kifupi, mavuzi ya kinena sio mapambo tu; ni sehemu ya mfumo wa ulinzi wa mwili na huchangia afya ya ngozi na sehemu za siri.
Mwambie upo na watu mnaoheshimiana sana mnadiscuss kazi ya mvz πNimecheka sana, naulizwa nacheka nini, hata sijui nijibuje ππππ
Mkuu anaweza momonyoa na visivyohitajika kumomonyokaππbraza Evelyn anaweza kuwa Circumcised second timeππPaka ile dawa sisi wanaume tunaweka kwenye kidevu, halafu unafuta tu nywele zinamomonyoka...
Ulipata allergy? Au liliumuliwa na nini?Mimi ninayo yale ya kishombe shombe aisee km kichaka cha mbudu πΉπΉπΉ
Ukinyoa leo baada ya week yamejaa, nilijaribu waxing weeehh liliumuka km limetiwa amira..!! Km kuna dawa ya kusitisha yasiote hata mwaka wadau waeke yanakera..!! π₯πΉ
Siogopi maumivu naogopa kupanuaNaskia inauma lakini, we huogopi
Acha tu, hayo ya mferejini yanakera sana π πMferejiniπ€£π€£π€£π€£
Hawawezi kutufurumusha bwana, wanaipenda kazi yao πππMwanakwetu hamtishi watu πΉπΉ
Ni vile wanahitaji pesa ila wangewafurusha..!! π€£
Ila kwa asilimia kubwa wanawake hawana ya "mferejini"! Labda kama upo hairy sana. Zile bwana kwenye pruning ni changamoto sana sana....π€£π€£Acha tu, hayo ya mferejini yanakera sana π π
Kuchanua haina shida, shida ni hapo kunyonyolewa kama kukuSiogopi maumivu naogopa kupanua
Shaving cream ndo hiyo natumia braza, ila yakiota ni magumu balaa nadhani ni effect ya hiyo cream sijui.....agrrrPaka ile dawa sisi wanaume tunaweka kwenye kidevu, halafu unafuta tu nywele zinamomonyoka...
πππππππMkuu anaweza momonyoa na visivyohitajika kumomonyokaππbraza Evelyn anaweza kuwa Circumcised second timeππ
Babu toa code, nyie watu wa zamani hamkosi ujuzi wa kuyaondoa.Uko beer ya ngapi Mjukuu π
Mwambie waiter nyingine utamalizia kunywa kesho, leo imetosha
Inabidi nikanyonyolewe kama kuku, na itauma mara mbili make cream imefanya yawe magumu zaidiWaxing ya huko na kwapa inauma balaa ila ukimaliza utakaa muda mrefu sana bila kuziona. Na zikija kuota zinaota laini nzuriii
Hili pambo sio hata halipendeziKama ilivo misitu kua pambo la duniya vile vile Vuz ni pambo la Uchi
πππ tutoke tukapigwe virunguIfike tu tarehe 29