Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
- Thread starter
-
- #121
Ni kweli inaenda kinyume na tamaduni zenu kama jinsi ambayo inaenda kinyume na taratibu zao kuona mtu anafukiwa chini ya ardhi
Maturity ni kuheshimu imani za watu
Wamasai wana sehemu yao peponi kwa kunufaisha fisi kujilia minofu.Utamaduni tuu wamasai mtu akifa wana acha hapo wanasepa aliwe na fisi
Ecosystem haijawai kukosea hata kidogo, inajiendesha vizuri kabisa kwa kuacha nafasi za viumbe hai kuishi na kunufaika, kurutubisha ardhi kwa kuzalisha fossils na kuwapatia viumbe hai vya ardhini vyakula.Kwa nini asili yenu iwe ndiyo ya kufuatwa na kila mtu, kila siku?
Wewe unavyoishi kwa kutumia vitu vingi ambavyo Africa imevipata kutoka kwa wageni, sayansi na teknolojia, utaacha kuvitumia kwa sababu si vya asili yenu Africa tu?
Huu mtandao ni wa asili yenu Africa?
Ukiambiwa urudi kufanya mawasiliano ya asili yenu Africa, ya kuwasiliana kwa sauti za ngoma na moshi, uache internet kwa sababu si ya asili yenu Africa, utakubali?
Mfano, ikionekana kuwa kuchoma maiti ni bora kuliko kuzika na kunatunza vizuri zaidi ardhi kwa vizazi vijavyo, watu wakiendelea kuzikana tu dunia nzima itakuwa makaburi, au makaburi yatachukua sehemu kubwa sana na kunyima watu sehemu ya kuishi, bado utaona kuchoma maiti moto ni jambo baya?
Kutokubali mambo mapya hata kama hamkubali, ni muhimu kuangalia kama sababu zina mantiki.Tunashukuru kwa historia nzuri hatukuwa tunaijua
Ila tamaduni nilizosema ni zile nzuri ndio tuziendeleze.
Jua kuna watu ambao ni Wahafidhina/ traditionalist na wengine ni Liberal kwa hiyo huo utaratibu wa kuchoma hata kama una manufaa bado kwenye jamii yetu hatuukubali.
Hata Ulaya kuna misitu na nafasi za kutosha tu kama Urusi, Greenland.Afrika mapori kibao hayawezi kujaa leo wala kesho.
Ozone layer inaharibika na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi hata kukosekana kwa mvua kimtiririko wa misimu.Tamaduni ni nyingi hata katika afrika. But all in all mtu akichomwa inaathiri nini katika imani
Wamasai wana sehemu yao peponi kwa kunufaisha fisi kujilia minofu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Ecosystem haijawai kukosea hata kidogo, inajiendesha vizuri kabisa kwa kuacha nafasi za viumbe hai kuishi na kunufaika, kurutubisha ardhi kwa kuzalisha fossils na kuwapatia viumbe hai vya ardhini vyakula.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
subjectiveIla tamaduni nilizosema ni zile nzuri ndio tuziendeleze.
Kutokubali mambo mapya hata kama hamkubali, ni muhimu kuangalia kama sababu zina mantiki.
Hutakiwi kukataa au kujubali jambo kwa sababu ni la zamani au jipya tu, unatakiwa kuangalia mantiki. Bila kujali jambo ni jipya au la zamani.
Kwa sababu mnaweza kutokubali kitu kipya kwa logical fallacy tu, ya "argument from tradition".
Mkakataa kusoma shule na kuchanganyika na wageni, kwa sababu katika utamaduni wenu kulikuwa hakuna kusoma shule wala wageni hao.
Kumbe dunia inayokuja kuwakabili ni dunia ya kusoma shule na kuchanganyika na watu mbalimbali.
Mkaachwa.
Jamii nyingi zilizoachwa ni zile ambazo zilikataa kubadilika.
Hata huo utamaduni unaousema nao unabadilika.
Sasa, uking'ang'ania kitu kimoja na kusema huu ndio utamaduni wetu, bila ya kuweza kubadilika, utapitwa na dunia.
Utabaki kwenye toroli la kuvutwa na mtu, farasi au ng'ombe ukikataa motorcar kwa sababu si utamaduni wako.
Sasa unapokataa kitu, una sababu za kimantiki?
Au unashikilia utamaduni tu?
Tatizo si ecosystem, tatizo ni tamaduni.Wamasai wana sehemu yao peponi kwa kunufaisha fisi kujilia minofu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Ecosystem haijawai kukosea hata kidogo, inajiendesha vizuri kabisa kwa kuacha nafasi za viumbe hai kuishi na kunufaika, kurutubisha ardhi kwa kuzalisha fossils na kuwapatia viumbe hai vya ardhini vyakula.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hata Ulaya kuna misitu na nafasi za kutosha tu kama Urusi, Greenland.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
subjective
Hahahaaaaa .....unahitaji maombi mkuuInjili ni ubatili mtupu
pale tokyo ukisema watu wazike kwa kufukia , miili itatupwa barabaraniDunia inajaa vipi, miaka bilioni 4 iliyopita haikujaa ije kujaa leo?
Unajuaje kuzaliwa kwa viumbe hai na vifo vinavyobalansi nafasi ya dunia kutojaa?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Unajipa umuhimu usio nao.Tunakubadili ya wengine ambayo ni mazuri kama jinsi pia tunavyoachana na tamaduni zetu nyingine.ambazo ni mbaya.
Mabadiliko tunayakubali ila ni yale yanayo badilika kwa namna yetu sio yawe infiltrated kutoka huko nje tena kwa kudhamiria kabisa.
sheria zipiNi subjective kulingana na jamii husika kikubwa ni zile ambazo hazivunji sheria au kutweza utu wa mtu.
Angalia hata bahari ambavyo huwa inasafisha kila aina ya wafu na uchafu wowote kisha kuwa safi kila siku, Mungu ni fundi sana mkuu.Upo vizuri kaka. Nature ina balance yenyewe. Mungu fundi sana.
Ni Kikundi cha watu wenye mtazamo na imani kali ambapo miongoni mwa waamini hatakiwi kukiuka imani.Ni imani ambayo ipo kinyume na imani ya Mungu au Tamaduni husika
tofauti kubwa ni ipi hasaMimi kuchomwa sioni shida ila mzazi au ndugu yangu kuchomwa? Over my dead body