Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

Duh...!
Babako anazo pesa?
Je ukoo wenu wote wana hela?
 
Duh...!
Babako anazo pesa?
Je ukoo wenu wote wana hela?
 
Kwanza hata mia huna umekuja uone reaction ya watu watasemaje kapuku wewe 😂😂😂😂 jana tu ulikuwa unadowea mihogo kumbe umekuja kujikuna nakujichekesha huku. Pimbi wee
 
Usiombe uwe umeshzishika ghafla hauna....Ndyo utajua haujui....afu biashara imekufa....ajira hamna Hadi vibarua umekosa..madeni si madeni...Kodi una ...Shukuru ukiwa na wazazi wamekuachia kichumba chako kimoja ujisitiri ila ukiwa yatima kama mm utajua haujui...Hapo hauoni rafiki hata mmoja...ole uombe pesa utatangazwa Hadi kwenye magroup ya skonga...Kama Mungu amekubariki ridhiki tuendelee kumshukuru...Ila tutafute pesa...huna pesa then masimango kama yote lazima upelekwe milembe!!
 
oya songi lako hilo daz baba alishakuimbia. wanamwita kaka poa huyu jamaa,wanamwita mtoto wa watu huyu jamaa sijui nidhiki au ni laana huyu jamaa, nakuomba umsameh maulanaa, jamaa amekomaa amekubuh kwenye ukafir upuuzi huu.
Huo wimbo hawakuimba Daz baba ila hapo alishirikishwa Daz mwalimu
 
Nataka kuwa na mihela kama wewe nifanyeje Boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…