LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Kwahio hao wanaume wa maana wenue pesa nyingi wamejaa tu kila kona kwa uchumi huu wa bongo? Au unaongelea wapi? Pia acha kufananisha maisha enzi za wazee wako na uchumi wa leo mkuu. Ni vitu tofauti sanaaa.Janamke zee linakuja kulalamika ujinga mnataka kuli entertain.
Angekuwa na mwanaume wa maana hayo sio malalamiko ya mwanamke anaejielewa.
Naishia hapa kwa sababu sio mada zinazo ni-interest
Mama yangu mie hakuwa na elimu kama huyu mleta mada anavyojinasibu; Lakini sidhani kama alikuwa anajuwa hata changamoto ya ada yangu ya shule.
Acheni huu upuuzi wa kujazana ujinga, yaani wewe sister duh halafu hata ukujua wa kumchanulia kuja kutuandikia ujinga hapa with your struggles,
We dume kwani? Huna skin kea😉Skin care Tena🥴
Mi nikipiga mgando imeisha cuteWe dume kwani? Huna skin kea😉
Bro Kuishi ndani ya budget sidhani kama kunahusiana nakuolewa na mwanaume wa maana ..haijalishi...kua na budget ni njema zaidi iwe una mume au hunaTafuta mwanaume wa maana hutojua hata bei ya luku.
Ndio shida yenu ilipo hamjui mwanaume wa maana anafanana vipi.
Kuna wanawake wenzenu hawajui gharama za maisha yao hata chembe kwa sababu wanaume zao wanamaliza kila kitu.
Kuja kuuliza hala budget sijui ya nini maana yake huna mwanaume wa maana.
Mimi wakati nina miaka 20 tu mwanamke wangu alikuwa anafanya kazi, akawa anamtumia hela baba yake mpaka anaogopa. Kwa sababu alikuwa hajui mshahara wake aufanyie nini.
Bills za nyumba zote nalipa mimi na shopping ya chakula nafanya mimi.
Sasa ukikuta limama lizima linahaha budget ya familia linauliza budget, hiyo maku umempa mpuuzi gani kwa umri huo uhahe budget ya familia.
Akili za wanawake zinawatosha wenyewe
Hongera..mimi mgando ntatoka chunusi aiseMi nikipiga mgando imeisha cute
NDio maana tunaugua. Mtu unakula chakula kimekaa kwenye fridge week nzimaKweli watu hatufanani, mimi kuishi bila bajeti siwezi. Kila kitu kinakwenda kwa hesabu hapa tu nipo kwenye mipango ya June huko.
Sikiliza, anza kwa kununua vitu kwa jumla hasa vyakula (Mchele, Mafuta, Maharage, Sukari n.k)
Kisha vinginevyo kama nyanya, vitunguu n.k nenda Ilala fungasha jaza friji na ukiona vyema nunua kuku na samaki weka kwenye friza utakuja kuniambia.
Hapa kinachonipa stress ni skin care yangu inaisha na bajeti yake imechangamka kidogo, basi.
Kuishi kwa bajeti inawezekana kabisa,japo ni lazima uelewe bajeti niMa bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢
Natanguliza shukrani.
Mwanaume wa maana utampata kwa malezi yake.Kwahio hao wanaume wa maana wenue pesa nyingi wamejaa tu kila kona kwa uchumi huu wa bongo? Au unaongelea wapi? Pia acha kufananisha maisha enzi za wazee wako na uchumi wa leo mkuu. Ni vitu tofauti sanaaa.
Lastly, si kila mwanamke anapenda kutegemea mwanaume. She is sfter personal descipline when it comes to the matter of her finances. Hili hakihusian hata kidogo na mtu kuwa au kutokua na mwanaume.
Unachomaanisha hapa ni kwamba watu waishi bora mradi kisa wategemee wanaume?? Not quiet right
Ma bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢
Natanguliza shukrani.
Kumbe Evelyn Salt ni Bro?!!!Bro hii ishu yako inaonekana serious sana manake kuna sehemu nilikuona unaomba hadi softcopy ya kitabu cha matumizi ya hela
Ukitaka kuishi within budget hatua ya mwanzo ambayo binafsi naona ni muhimu ni kutofautisha needs na wants
Mbona kama uko too personal mkuu na mtoa mada..mara umwite mzee mara katoka family ya hovyo? Yote hayo ya nini?? Sio poa hata kidogo.Mwanaume wa maana utampata kwa malezi yake.
Mtoto wa kiume hawezi kukubali hata siku moja kuishi kwenye nyumba iliyojengwa na mwanamke.
Mtoto wa kiume hawezi hata siku moja kukubali ada ya watoto wake ilipiwe na mkewe.
Mtoto wa kiume hawezi ata siku moja shopping ya chakula nyumbani kwakwe ifanywe na mwanamke.
Kukwama kupo kwa mtoto wa kiume, mama anaweza saidia nyakati za shida Iła hilo sio suluhisho la kudumu kwa mtoto wa kiume.
Mwanamke atakiwi kukulisha au kusomesha watoto wako kamwe.
Like how are you a man, unamtegemea mtoto wa kiume, lazima umetoka familia ya hovyo mno.
Unakuwaje comfortable mtoto wa kiume kula hela ya mtoto wa kike.
Ndio sampuli ya huyu dada kwenye maisha yake kazoea kutumiwa.
You are right Ila malalamiko kama vile ni fist person.Bro Kuishi ndani ya budget sidhani kama kunahusiana nakuolewa na mwanaume wa maana ..haijalishi...kua na budget ni njema zaidi iwe una mume au huna
Point taken, I don’t like people who act vulnerable.Mbona kama uko too personal mkuu na mtoa mada..mara umwite mzee mara katoka family ya hovyo? Yote hayo ya nini?? Sio poa hata kidogo.
Nafahamu inawezekana na wako wanaoishi kwa kujikadiria matumizi ya pesa. Mimi si mmoja wao, japo ninapokuwa na jukumu fulani, hapo nalazimika kujikadiria. Unapojua kipato chako ni kiasi gani, na pia umekadiria kila aina ya mahitaji yako ni kiasi gani, basi katika hayo makadirio kama kutakuwa na cha ziada kinabaki, hicho ndio cha kuanza kukiweka mbali nawe, yaani akiba.Ma bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢
Natanguliza shukrani.
Umeombwa ushauri wa jambo, unazua yako yasiyohusiana na shida ya mtu. Tubadili mtazamo isiyo na tija!Mkuu kumbe wewe ni K!
Aise samahani sana. Nilijua wewe ni dume kumbe BICHWA KOMWE - aliniingiza chaka.
I'm very sorry!!
Hata needs inaweza kuwa wants ndio maana hata nguo na simu kwa mfano zipo za bei tofauti. Kupanga bajeti kwa mtu mwenye kipato cha wastani kunapaswa kwenda sambamba na malengo na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Kama ni nguo unaweza nunua za bei chee tu.Ni wewe yule kwenye uzi wa vitabu 😂😂
Needs ni yale mambo muhimu ambayo huwezi kutoboa bila hayo mfano nguo,chakula,gharama za usafiri,kodi na mengine
Wants ni kama gym,skin care,salon na vitu vinavyofanna na hivyo ambavyo ni kama anasa
Ulishawahi kuwa na utaratibu wa kuandika matumizi yako ya mwezi mzima unaofuata na kuyatathmini?
Matumizi yako makubwa huwa yapo kwenye nini hadi unatoka nje ya budget?
Nielekeze ili nami nianze kutumia jamaniHongera..mimi mgando ntatoka chunusi aise
Huwa najaribu naishia njiani. Kitu kimoja ambacho huwa sitetereki ni kuhakikisha ndani ya nyumba kuna chakula na mahitaji muhimu ya kutosha. Nanunua in bulk vitu kama vyakula (mchele, unga, maharage, samaki, nyama, kuku, mafuta ya kupikia) gas, mkaa, na makorokoro mengine ninayoweza kuhifadhi kwenye fridge. Nahakikisha umeme, maji, DSTv haikati. Vitu vingine vidogo vidogo kama vitafunwa, maji ya kunywa, mboga za majani budget yake haikosekani. Huwa naomba Mungu tu kusitokee emergency itakayonifanya kutumia pesa nyingi. Sijawahi kuwa na budget ya nguo, cosmetics wala nywele!!! Hivyo havinipi shida. Sijanunua nguo mwaka wa 6 huu!!! Sipaki cosmetic yoyote na nywele napata olive oil tu.Ndio umeacha?
Poor financial planning, hiyo tunayo sana watu wengi hasa tukiwa na fedha. Nikushauri cha kufanya kwa ninaemuona anafanya na amefanikiwa kubadilika na kuendana na bajeti.
Yeye huwa anaandika mapato na matumizi yake, hata akiokota mia anaandika, mwsho wa mwezi anafunga hesabu zake na kuangalia wapi panatumia hela zaidi na kama si muhimu anapunguza kama si kuacha. Nataka nijaribu hii mbinu pia nione matokeo yake.
Wewe ni umbwa haswaaaa,hahahaha.Niliwahai kuwa km wewe sehemu ya maporini,nilikuwa nanunua carton 2 za konyagi ili angalau nipige wiki kadhaa kabla cjarudi town but nilijikuta mzigo unakata ndn ya 2days.So toka hapo sijawahi kufanya usenge huu hata creti ya bia siwezi kuileta home na km ni hivyo labda nina wageni wa siku hiyo ambpo lzm tumalize but tofauti na hapo nitakunywa mpk iishe na bado nitarudi bar nipate zile za keleleBajeti ngumu wewe nilinunua vyakula kwa bulk system vya mwez mzima, na matumizi yote. Shida nilinunua konyag kubwa nne kila wiki ninywe moja ila nilizinywa ndani ya siku nne tu
Hivi unadhani kama wewe ulibahatika kuwa na uwezo wa kuhudumia mwanamke wako ni wanaume wote wanapata hicho kipato ulichonacho?Ni hivi hakuna mwanaume wa maana ataacha mkewe alalamike mitandaoni kwa majukumu yake.
Kama wewe mwanamke elewa umepigwa na mwanaume yeyote anae ku-support ni wa hovyo.
Kwa miła zetu
Eva inaelekea umeajiriwa, tafuta hela za pembeni usijistress sanaMa bro hamjambo.......