Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 2,021
- 2,462
Eva inaelekea umeajiriwa, tafuta hela za pembeni usijistress sanMa bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢
Natanguliza shukrani.
eva unajilipia vyote hivo hauna sponsaInatoboa??? Yani ukipanga hii mfano tarehe 1 inafika 30?? Au hapo 20 unatafutana???
Nilichangia mada kwa bahati mbaya, nimesema ya kusema.Hivi unadhani kama wewe ulibahatika kuwa na uwezo wa kuhudumia mwanamke wako ni wanaume wote wanapata hicho kipato ulichonacho?
Hivi unafikiri wanawake wote wameolewa mpaka useme wawategemee waume zao? Kwa hiyo unataka kama mwanamke hajaolewa na anafanya kazi basi atafute tu wanaume kisa wamuhudumie???
Nashukuru mikoani hatuna bajeti.Ma bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢
Natanguliza shukrani.
Watu wa aina yako mnapigika vizinga sana, kidogo mtu akikuomba unakuwa na huruma unampa.Kati ya watu wabovu kwa bajeti ni pamoja na mimi, siku nikianza kuishi ndani ya bajeti na utajiri utaanzia hapo...hapa ninahitaji shule ya ubahili.
Ndoa inakutia hasaraBila bajeti sitoboi.
1. Vyakula vya mwezi unga, Mchele, mafuta ya Kula, sukari, maharage.
2. King'amuzi, umeme, ela ya taka, ulinzi shirikishi na maji ( kwa mwezi).
3. Mahitaji ya watoto kama nauli za shule, pampas na maziwa (monthly).
4. Vitui kama mkaa na gesi ni kwa miezi mitatu mara moja.
5. Matumizi yangu yangu ya lazima kama vile nauli na Kula nikiwa job. (Monthly)
6. Pesa ya kuacha home week days kwa ajili ya matumizi ya home km mboga na vitafunwa au matunda. (Monthly)
7. Mishahara hususani dada wa kazi (monthly)
8. Matumizi mengineyo home ya mama mtu na watoto kama vile kusuka n.k
9. Dharura.
Huo ndio mwongozo wangu wa mwezi. Hiyo bajeti inakula karibu asilimia 90 ya ninachokipata kwa mwezi.
Asubuhi huwa unaamka saa ngapi?Ma bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha matumizi.
Baada ya hapo matumizi binafsi mwezi huu labda bajeti ya wanja, lipstic pochi ni kiasi flani na uishi humo. Hivi hii kitu inawezekana??? Kuna watu wanaishi na bajeti hivi labda hata mwezi???
Kama inawezekana nipo serious kabisa naomba mtu anifundishe hatua kwa hatua, ikibidi mtu aniandikie, kati ya vitu nnavyotamani sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu ni kuishi kwa bajeti ila sijafanikiwa 😢
Natanguliza shukrani.
Tunasema lile lenye unafuu toka enzi na enzi lile ambalo hata misahafu ya dini imeelekeza,tumezaliwa tumekuta mama zetu wanalelewa na waume kwa kila kitu na ndoa zilidumu bila malalamiko but familia za sasa zimekuwa kitendawili baada ya kuruhusu haki sawa mpk ktk utafutaji,wanawake wameingia ktk utafutaji kwa kukurupuka ndo maana hata kidogo wanachokipata kinaleta negative impacts ktk familia zao.Mimi nawapongeza sana ndugu zetu Waislam ,mpk sasa wanawake kuingia majukumuni kutafuta pesa bado ni wachache sana,wengi wao wapo majumbani wanatunza familia zao na ndoa zao nyingi zimedumu,suala la utafutaji ndo chimbuko kubwa la masingle mom's wengi kwani hujiona wanaweza kila kitu na hawababaishwi na lolote.Angalau wadada wengi waajiriwa au waliojiari mengi yameamua/yanajiamulia yazae na nani yaani yamekuwa yanafuta wanaume wa mbegu ili wazae na watoto sio kuolewa kisa wanajiweza.Ukimpa nafasi mwanamke ya uhuru kibiashara au kikazi umemuweka rehabilitation ndugu yangu,mimi kuna sehemu fulani hivi taasisi hivi najipatia riziki but watumishi karibu wote waliowanawake kutokana na kujaariwa kipato kila mmoja amejenga,ana safari but hakuna aliyeolewa but wamezalishwa hovyohovyo tena wanaume wa ajabu wa mtaani kisa wanataka tu mbegu hawababaishwi.Hivi unadhani kama wewe ulibahatika kuwa na uwezo wa kuhudumia mwanamke wako ni wanaume wote wanapata hicho kipato ulichonacho?
Hivi unafikiri wanawake wote wameolewa mpaka useme wawategemee waume zao? Kwa hiyo unataka kama mwanamke hajaolewa na anafanya kazi basi atafute tu wanaume kisa wamuhudumie???
Afu secretary ntakunasa makofi.Mkuu kumbe wewe ni K!
Aise samahani sana. Nilijua wewe ni dume kumbe BICHWA KOMWE - aliniingiza chaka.
I'm very sorry!!
Hasara ni kitu unàchopoteza. Mimi kupitia ndoa yangu nafaidika zaidi kuliko hicho kidogo nachohudumia mke. Usikariri.Ndoa inakutia hasara
Kataa ndoa
Unajitahidi sana kuyabeba majukum mkuu, hongera sana.Huwa najaribu naishia njiani. Kitu kimoja ambacho huwa sitetereki ni kuhakikisha ndani ya nyumba kuna chakula na mahitaji muhimu ya kutosha. Nanunua in bulk vitu kama vyakula (mchele, unga, maharage, samaki, nyama, kuku, mafuta ya kupikia) gas, mkaa, na makorokoro mengine ninayoweza kuhifadhi kwenye fridge. Nahakikisha umeme, maji, DSTv haikati. Vitu vingine vidogo vidogo kama vitafunwa, maji ya kunywa, mboga za majani budget yake haikosekani. Huwa naomba Mungu tu kusitokee emergency itakayonifanya kutumia pesa nyingi. Sijawahi kuwa na budget ya nguo, cosmetics wala nywele!!! Hivyo havinipi shida. Sijanunua nguo mwaka wa 6 huu!!! Sipaki cosmetic yoyote na nywele napata olive oil tu.
Hahaha 😁🤣, nasikia huyu blaza wako anapeleka miti ile mbaya.
Nisamehe mkuu nimeteleza nikaanguka.Nafahamu inawezekana na wako wanaoishi kwa kujikadiria matumizi ya pesa. Mimi si mmoja wao, japo ninapokuwa na jukumu fulani, hapo nalazimika kujikadiria. Unapojua kipato chako ni kiasi gani, na pia umekadiria kila aina ya mahitaji yako ni kiasi gani, basi katika hayo makadirio kama kutakuwa na cha ziada kinabaki, hicho ndio cha kuanza kukiweka mbali nawe, yaani akiba.
Unapoanza matumizi, kabla hujanunua chochote, unajiuliza, je nakihitaji? Maana huwa inatokea, unajinunulia kitu ambacho unacho tayari nyumbani kwako, kwa kuwa hukumbuki au hukuangalia kama umeishiwa au la wewe unanunua tu. Kama kweli unakihitaji, nunua.
Umeombwa ushauri wa jambo, unazua yako yasiyohusiana na shida ya mtu. Tubadili mtazamo isiyo na tija!
Basi BICHWA KOMWE - ni mwongo sana aise. Eti anamwita braza wakeHuyu ni mwanamke
Nina mfano mzuri sana ila siwezi kuuweka hapa. Lakini tujiulize ni wapi wanaume MLIKOSEA mpaka MKASABABISHA wanawake WAACHE kukaa nyumbani na kuanza kufanya kazi??? Kuhusu waislamu kuwa wanawake wako nyumbani inawezekana kwa zile familia ambazo hawasomeshi watoto wao wa kike lakini huko makazini wanawake waislamu wapo wengi tu!!!Tunasema lile lenye unafuu toka enzi na enzi lile ambalo hata misahafu ya dini imeelekeza,tumezaliwa tumekuta mama zetu wanalelewa na waume kwa kila kitu na ndoa zilidumu bila malalamiko but familia za sasa zimekuwa kitendawili baada ya kuruhusu haki sawa mpk ktk utafutaji,wanawake wameingia ktk utafutaji kwa kukurupuka ndo maana hata kidogo wanachokipata kinaleta negative impacts ktk familia zao.Mimi nawapongeza sana ndugu zetu Waislam ,mpk sasa wanawake kuingia majukumuni kutafuta pesa bado ni wachache sana,wengi wao wapo majumbani wanatunza familia zao na ndoa zao nyingi zimedumu,suala la utafutaji ndo chimbuko kubwa la masingle mom's wengi kwani hujiona wanaweza kila kitu na hawababaishwi na lolote.Angalau wadada wengi waajiriwa au waliojiari mengi yameamua/yanajiamulia yazae na nani yaani yamekuwa yanafuta wanaume wa mbegu ili wazae na watoto sio kuolewa kisa wanajiweza.Ukimpa nafasi mwanamke ya uhuru kibiashara au kikazi umemuweka rehabilitation ndugu yangu,mimi kuna sehemu fulani hivi taasisi hivi najipatia riziki but watumishi karibu wote waliowanawake kutokana na kujaariwa kipato kila mmoja amejenga,ana safari but hakuna aliyeolewa but wamezalishwa hovyohovyo tena wanaume wa ajabu wa mtaani kisa wanataka tu mbegu hawababaishwi.
Halafu toka lini mwanaume akalishwa na mwanamke na nyumba ikawa shwari?Uarabuni kwenyewe wanawake sheria ya kuendesha gari imeanza juzijuzi tu,wenzetu wanalijua hili mapema,wanawake ni selfish
Halafu pia haya mambo ya misahafu au biblia kwanza zote zilitungwa au kuandikwa kwa kiasi kikubwa na wanaume na mfumo dume. Kwa hiyo wala sishangai mpaka sasa kuna nchi hawaruhusu mwanamke kwenda darasani. Kila mtu aamue maisha anayoona ni better kwake.Tunasema lile lenye unafuu toka enzi na enzi lile ambalo hata misahafu ya dini imeelekeza,tumezaliwa tumekuta mama zetu wanalelewa na waume kwa kila kitu na ndoa zilidumu bila malalamiko but familia za sasa zimekuwa kitendawili baada ya kuruhusu haki sawa mpk ktk utafutaji,wanawake wameingia ktk utafutaji kwa kukurupuka ndo maana hata kidogo wanachokipata kinaleta negative impacts ktk familia zao.Mimi nawapongeza sana ndugu zetu Waislam ,mpk sasa wanawake kuingia majukumuni kutafuta pesa bado ni wachache sana,wengi wao wapo majumbani wanatunza familia zao na ndoa zao nyingi zimedumu,suala la utafutaji ndo chimbuko kubwa la masingle mom's wengi kwani hujiona wanaweza kila kitu na hawababaishwi na lolote.Angalau wadada wengi waajiriwa au waliojiari mengi yameamua/yanajiamulia yazae na nani yaani yamekuwa yanafuta wanaume wa mbegu ili wazae na watoto sio kuolewa kisa wanajiweza.Ukimpa nafasi mwanamke ya uhuru kibiashara au kikazi umemuweka rehabilitation ndugu yangu,mimi kuna sehemu fulani hivi taasisi hivi najipatia riziki but watumishi karibu wote waliowanawake kutokana na kujaariwa kipato kila mmoja amejenga,ana safari but hakuna aliyeolewa but wamezalishwa hovyohovyo tena wanaume wa ajabu wa mtaani kisa wanataka tu mbegu hawababaishwi.
Halafu toka lini mwanaume akalishwa na mwanamke na nyumba ikawa shwari?Uarabuni kwenyewe wanawake sheria ya kuendesha gari imeanza juzijuzi tu,wenzetu wanalijua hili mapema,wanawake ni selfish
Walahi Mungu aendelee kuwatunza nyie wazazi,. Mnajitahidi sanaBila bajeti sitoboi.