Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Kwani si una hudumia? Shida inatoka wapi unamuwekea mfanyakazi maisha yanaenda si pesa ipoYaani uzae wewe alafu mtoto akalelewe na bibi.
Hivi mnazaa ili kumfurahisha nani.Kama huwezi kulea acha kusumbua watu baki kama serious bachelor!!!
Hizo ni defence mechanisms tu.So upumbavu kwani nilazima kuwa na mtoto . Ni swala la vipaumbele vya mtu .
Huo ndiyo uhalisia mkuu.Kama alivyosema Kingsmann
"Jitahidi" uwe na mtoto/watoto.. mengineyo ni extra...
KATAA NDOA LINDA AFYA YAKO YA AKILI...
Miaka 6 yote mnapimana oilUnakuta mtu unakuwa na mahusiano mnaweka malengo mfano mko 26..mnakuwa wote miaka sita mfululizo Kisha dakika za mwisho mwenzio anabadili gia angani.hapo kwanini usijikute uko single over 30.
Na wengine pia changamoto za Maisha zinachangia
Mwafrika kwenye ubora wake.Ni upumbavu kufika 30 hauna mtoto.
Hatusemi ndoa, bali mtoto au watoto.
Sijakataa umuhimu wa Pesa but kutanguliza mbele zaidi pesa ndio wasiwasi wangu,Bila kutoa unafki ice hujui kama pesa sabuni ya roho????
Hujui kama pesa inarahisisha mambo???
Hujui kma kuna wanaume ni wanyanyasaji sana wanapokuwa na pesa???
Umalaya ulipitiliza hujui???
Sawa.Huwa tunayaangalia yote hayo kwa sababu sisi wanawake ni watu wa visas huo ni muda wa kuangalia nikuchome wapi panapouma zaidi nikuachie historia
Lakini kama tuliishi vizuri walau kidogo sina sababu ya kukulipa ubaya kwa namna yoyote ile.
Hizo ni defence mechanisms tu.
Hakuna cha kipaumbele wala kipaunyuma.
Ni umbumbumbu!
Mbona hujachukua hatua mkuu?maana maisha ni ubatili mtupu
Padre John MwaipopoJe, nini husababisha watu kufikia hii Hali ..
Hana familia,mpenzi wala ndoa?
Ni ugumu wa maisha au Hali ya mahusiano mengi ya Sasa kutotabirika?View attachment 3683996
We acha tuu ndugu yangu, dkk ya 95 mtu anapaisha penaltyUmeachwa dakika za jioni?
Sina uhakika umefikiria hoja yako hii kwa mapana kiasi gani. Kwani wewe unaamini kwa dhati kwamba ni lazima mtu awe na mpenzi au watoto???Je, nini husababisha watu kufikia hii Hali ..
Hana familia,mpenzi wala ndoa?
Ni ugumu wa maisha au Hali ya mahusiano mengi ya Sasa kutotabirika?View attachment 3683996
Dah! Kwani ushahidi ni wa kutafuta? Mbona hata yule aliyejiteka inasemekana alikuwa sehemu?Una ushahidi?
Mchagua nazi hupata koroma.hayo umeyasema wew
Wazazi wako wangekuwa na akili kama zako usingekuwepo hapa duniani.Mwafrika kwenye ubora wake.
Unaweza kututajia faida za maana za kuwa na watoto ambazo mtu asiye nao anazikosa?
NB: Achana na zile za ohhh kuwa na watoto ni raha, ni heshima, unaacha uzao nk maana maisha ni ubatili mtupu. Toa faida zenye akili timamu.
Watoto wenyewe hawahawa wanaoua wenzao kwa kukata kiungo kimoja baada ya kingine!
Kataa ndoa bwana😀😀Sawa asante kwa jibu lako , wewe mwenye watoto umepata faida gan kuwa nao ?