Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
What about emotional needs za huyo mtoto nani atatimiza au mnataka kutuletea mijitu isiyo na hisia ambayo haijui kupenda kwasababu haijawahi kupendwa na kuenjoy upendo wa wazazi.Kwani si una hudumia? Shida inatoka wapi unamuwekea mfanyakazi maisha yanaenda si pesa ipo
Hao wazazi hawakulazimishwa kuzaa ni utashi wao.Acheni uoga na kuishi kwa script.Wazazi wako wangekuwa na akili kama zako usingekuwepo hapa duniani.
Acheni kuleta defence mechanism, zaeni watoto.
Acha uongo na kuogopesha watu.Humu JF wengi wanadanganyana ujinga na afu unakuta wao wanayafanya. Mtu anakuambia usioe,usizae tafuta pesa tu afu humjui maisha yake halisi nje ya hapa. Ukweli ni kua wengi wameoa au wana watoto
mh!ikiwezekana pata mtoto ukiwa kwenye 25 hivi ikibidi wafululizane utanishukuru badae
Ama kweli tunda halidondoki mbali na mti😒Mi binti yangu hawezi na hana uzoevu wa kukutoa kwenye kipindi kigumu cha mahusiano sijazaa kwa kazi hiyo..
binti zqngu wamefuata Slogan yangu pesa mbele mapenzi nyuma. utaweza?? au ndo stanza kujiita yatima wa mapenzi??
Sometimes tunafilisika mazimaAkifilisika hatutafuti mwingine tunaangalia kwanza kabla ya kufirisika halia ilikuwaje?
Tabia
Heshima
Maelewano
Jinsi ya kujali familia.
kama vyote hivyo vilikuwa vipo sawa tunakaa na kuvumilia.
Uzuri mwanaume akifirsika ni ndani ya miaka mitatu au mitano anarudi katika bora wake
Mashoga mna kazi sanaAcha uongo na kuogopesha watu.
Hakuna ulazima wa kuzaa kama huna mpango huo.Stop spreading lise and terror.
Hivi mnajua maana ya kuzaa nyie vichogo.Thats a burden ambayo usipokuwa makini inageuka kuwa laana.Ukitaka kuzaa hakikisha umejipanga kukihudumia kitoto mpaka kijitegemee acheni kutesa watoto ili tu mkubalike na kufit kwenye jamii.
Ndugu muandishi huyu ndiye kweka?
Jibu hoja usitafute kutumanwa kwa lazima.Mashoga mna kazi sana
Kama Baba yake Yamal asingejitosa kuvuka Bahari na kwenda Uhispania kusaka maisha, Leo hii Yamal angekua anakula msoto Morocco.Unakuta mtu ana taka kupata mtoto mapema ili amsaidie, alikua siku hizi mtoto kusaidia familia sio mpaka akuue na awe msomi angalia yamal, angalia justin Bieber walitoka wakiwa wadogo sana
Ushaona chini ya mchungwa ukaokota stafeliAma kweli tunda halidondoki mbali na mti😒
HaijawahiSometimes tunafilisika mazima
nini
Ni kweli,,
Sasa kweka na mkewe ji mifano michache mno katika jamii!! kweka na mkewe wasikufanye ushindwe kuoa au kuzaa na kutafuta mali.
kabisaWatu wenye mitazamo hasi hutafuta walioshindwa
Hasa gen z ndio wamekuja kasi sana na hiyo tabia. Yaani kwao umri mkubwa ni kama aina mpya ya ulemavu.huwa nashindwa kuelewa hii obsession ya watanzania na umri wa watu inatokana na nini hasa.
Acha uvivu kuja chapa ilale