Hivi mtu mwenye akili timamu unasemaje ardhi ni mali wakati unafukia pesa huu ni ukichaa

nunua uwanja jenga mijumba kwa wingi ,iwe gest,frem nyumba za kupangisha utanishukuru baadae..maana utaishi kifalme uzeeni utakuwa kama wale wazee kutwa kwenye bao na kahawa ila uhakika wa kula upo,unaweza waita chuma ulete .ukiuliza habari zao utasikia huyo mzee anafrem za kupangisha kariakoo,mbagara n.k,kumbuka itafikia wakati mwili utazeeka so ulichokipanda ukiwa na nguvu ndo kitakulisha hata watoto na mamazao wakutenge....kutokujenga ni upuuzi,kama umefeli kufa kimpango wako.
 
Kila mtu azingatie anachoona kinamfaa.

Akiona hela zake ahonge sawa anunue gari sijui alewe pombe anunue malaya sawa muhimu tu likibuma usimsumbue mwenzako aliyefanya tofauti na wewe.
 
kuna sehemu nilinunua eka 40, miaka kumi iliyopita nililipa kila ekari kwa kwa tsh elfu arobaini, nilitumia milioni moja na laki sita. hivi sasa maeneo
hayo yanauzwa ekari moja laki 4.

kuna sehemu nilinunua kijibanda mjini kabisa kwa laki 9, sehemu ilikuwa na ukubwa wa kujenga nyumba tatu......ni miaka tisa nyuma naongelea, hivi sasa nawindwa na watu niwakatie kiwanja palepale kwa milioni.kumi na tano.

samahani mtoa mada, labda kama mfano wako unaongelea huko miami na frolida. sisi makabwela ardhi ndio mtaji na pesa zetu. ardhi inapanda thamani kila uchao, hata hao wa apartment nafikiri mmiliki wa hiyo ardhi ni mnufaika mkubwa.
 

Ulivo anza nilidhani umeelimika, mwishoni nimejua kua bado kuna tatizo.. katika pitapita zako hujawahi sikia kitu kinaitwa MISEMO?
Naomba unijibu NDIYO au HAPANA.
 
Sio kweli
 
Mbogo Ranch kuanzia mashamba mpaka kuliendeleza kwa miaka kadhaa, pamoja na majengo na mifugo.

Leo ameajiri watu zaidi ya 500
Thamani yake ni 60b
Ardhi ni mali
 
Hao wamarekan unaowaongelea waulize vizuri biashara ya real estate inavyowatajirisha halafu urudi hapa
 
Basi ni samehe mimi mkuu
Hapana, siwezi nikakusamehe hivi hivi.

Inabidi nikurekebishe ndio nikusamehe.

katika pitapita zako hujawahi sikia kitu kinaitwa MISEMO?.

soma kwa makini sentence yako halafu niambie inastahili jibu la ndio au hapana.

Mie nilijibu hapana baada ya kurudia kusoma kwa umakini hapo nilipopigia mstari.

Na mie nikuulize, video niliyokuwekea umeitazama na kuielewa? Jibu ndio au hapana.
 
Peleka ujinga wako huko acha kupotosha sifa moja wapo ya mji, ni nyumba wether zijengwe na serikali au watu binafsi
 

hapana
 
Uoga wa maisha unachangia. Nakuelewa sana mkuu.
Uoga wa maisha kivipi?
Nyumba ni moja wapo ya uwekezaji mzuri na unaolipa .
Hivi karibuni Floyd Mywther amefanya uwekezaji mkubwa sana wa nyumba akiamini ndio uwekezaji wake baada ya kuacha kupigana.
Donald Trump utajiri wake mkubwa upo kwenye majumba.
Jay z ananunua majumba kila siku.
Wachaga kibao wenye mahardware kariakoo ninaowafahamu mimi wanawekeza kwenye apartments za kupangisha .
Acheni kupotosha watu .
Kujenga nyumba ni uthubutu wala sio uoga
 
Huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…