February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
- Thread starter
-
- #41
Hii umetoa wapi?Njia bora unayoifikiria wewe ni ipi??--- ubora wa kitu unalinganishwa na kitu kingine la sivyo kitu kikiwa kimoja bila mbadala hicho kitabaki incomparable milele.
Mimi kukosa ufumbuzi inamaanisha nayeye alikosa? Mbona kama unamshusha sana aseKama unaweza, na kamwe hutaweza bali utabakia kumlaumu bila kuleta ufumbuzi.
Kila kiumbe ni spesho, Tembo uspesho wake nk ukubwa wake kuliko wanyama wengine, Chui uspesho wake ni spidi kuliko wanyama wengine wa ardhini, Miti uspesho wake ni uwezo wa kubadilisha hewa na mwanga kuwa chakula, Sisimizi uspesho wake ni nguvu anaweza kubeba mara 10 ya uzito wake, Popo uspesho wake ni kuzaa na kupaa kama ndege nk. Nk.
Kwahyo hakuna eti huyu ni spesho kuliko wote, Kila kiumbe ni unique ukumbuke.
Mkuu unashauri angeleta ujumbe ili binadamu wote tuwe kitu kimoja kams malaika wake huko mbinguni??Mkuu kuna watu wana jitihada sana na wanasoma sana mpaka wanabobea kwenye usabato, upadri, uislam, ulokole nk. Nk.
Wote hawa wanasoma kwa nia njema kabisa ya kumjua Mungu na tena kwa juhudi sana lakini wanajikuta wanafikia conclusions tofauti tofauti kabisa kuhusu Mungu.
So kama binadamu wanajitoa kuelewa maandiko lakini wanafikia conclusions tofauti mpaka Wanaanza kuuana.
Hapo tatizo sio kwa binadamu bali ni mwandishi, hakufikisha ujumbe vizuri.
Alitumia njia mbovu kufikisha ujumbe wake.
Ndiyo , Na nadhani ndiyo lilikuwa lengo lake.Mkuu unashauri angeleta ujumbe ili binadamu wote tuwe kitu kimoja kams malaika wake huko mbinguni??
Mimi kukosa ufumbuzi inamaanisha nayeye alikosa? Mbona kama unamshusha sana ase
Sio vibaya ukimsaidia, anatusoma hapa anaweza akaleta solutionili nimsaidie Mungu?
Wewe mwenye hiyo akili ndio unaiona kuwa spesho, ila tembo yeye anakuona wewe ni spesho?Akili, akili, akili ya binadamu ndio inayomfanya aweze kutawala wanyama wote na mazingira yote.
Tembo na ukubwa wake wote na speciality yake inaweza kuzidi Speciality ya akili ya binadamu??, all animals around us are subjected for subjugation by humans. Binadamu intelligence yake ndio power yake muhimu kuliko viumbe wote.
Hii umetoa wapi?
Ingekuwa hivi watu mpaka leo tungekuwa tunaishi misituni uchi tukiwinda wanyama na kuokota matunda maana kulikuwa hamna kitu bora kulinganisha na yale maisha..
Lakini Watu walikuwa porini ila wakafikiria kuwa hii haitoshi wakatengeneza vitu bora zaidi na kuendelea kuviboresha mpaka leo wewe upo Namtumbo unaongea namimi nipo Nanjilinji kupitia kakifaa ulikoshikilia mkononi.
Mkuu hebu fungua kidogo uelewa wako..Wewe unakosea sana kumshutumu Mungu bila sababu, Kwa maoni yako yasiyokuwa na mashiko unafikiri njia aliyoileta ni failure, kama ni failure angefanyaje??-- hapo huna jibu!!
Wewe mwenye hiyo akili ndio unaiona kuwa spesho, ila tembo yeye anakuona wewe ni spesho?
Simba anakuona wewe ni spesho?
Kutawala wanyama una maana ipi? Unaweza kumuambia Mamba njoo akakutii akaja?
Kila kiumbe by the way kinatawala mazingira yake, simba anatawala pori swala wanamkimbia, Mamba anatawala mito, Bacteria na vimelea wengine wanautawala mwili wako mpaka wanaweza kukuua...Na ukifa bado kuna viumbe watakula mpaka utaoza.
1. Malaika wawe visible...si huwa wanasema kila mtu ana malaika wake?Sio vibaya ukimsaidia, anatusoma hapa anaweza akaleta solution
Mkuu hebu fungua kidogo uelewa wako..
Mimi majibu naweza kuwa nayo au nisiwe nayo lakini hii haibatilishi hoja yangu kuwa hii njia aliyotumia amefeli.
Sasa kama amefeli ina maana ametumia njia mbovu, kwahyo ili kufaulu angetumia njia bora.
Mimi niwe naijua au siijui hiyo njia haimati kwasababu yeye ni mungu muweza wa kila kitu...Hawezi kushindwa si ndio?
Zamani za kale hakukuwa na simu, kwahyo mawasiliano ilikuwa ni kwa mdomo tu.Hapo mbona umeshajijibu mwenyewe!!--- zamani watu walivaa magome leo tunavaa nguo za pamba, hariri nk, sasa hapo unaweza sema pamba ni bora kuliko magome, hebu niambie ni njia gani bora ambayo Mungu angeitumia kutufikishia ujumbe wake kuliko njia hiyo ya vitabu (manabii)??!
1. Malaika wawe visible...si huwa wanasema kila mtu ana malaika wake?
Sasa kila malaika anakuwa visible anakuwa anakufundisha Mambo ya Mungu kila saa ukiuliza.
Inakuwa haina haja ya kwenda kanisa hili au lile kupotoshwa na mwanadamu mwenzako maana utakuwa unapata directly from the source.
2.Aongeze uelewa wa binadamu ili wawe wanaelewa maandiko yake kama alivyokusudia ili kuepusha madhehebu kibao na mitafaruku.
3. Awabandike binadamu mafundisho yake akilini mwao, yani unazaliwa ukipata ufahamu tu automatically unakuwa unajua kila kitu kuhusu Mungu anataka nini, ila inakuwa choice yako tu..kunakuwa hakuna haja ya kwenda kusoma sehemu au kufundishana matangopori.
4.Nk. Nk.......
Anything is possible actually, yeye si Mungu bana.
Yani kuna infinite possibilities.
Kuwachinja na kuwala ndio inatufanya kuwa special?Tembo hana "conscious mind" speciality ya kitu chochote, wanyama wote wapo chini ya himaya ya binadamu na ndio maana tunaweza kuwachinja na kuwala bila wao kujitambua kwakuwa intelligencce yao ni ndogo na hivyo wanakuwa na low consciousness , wao wanakuwa driven by instincts, hapo ndipo superiority yetu inapokuja.
Zamani za kale hakukuwa na simu, kwahyo mawasiliano ilikuwa ni kwa mdomo tu.
Wakaja watu wakagundua simu.
Sasa kipindi kile hakuna simu kulikuwa na nini cha kulinganisha na mawasiliano ya mdomo?
Kwahyo kipindi kile mtu angesema kuwa "hii njia ya kuwasiliana kwa mdomo Ina mapungufu yake kwakuwa siwezi kuwasiliana na mtu aliye mbali"
na wao wangebisha kama wewe hivi kuwa kama hamna kitu bora cha kulinganisha na mdomo basi hiki kilichopo (mdomo) ni bora?
Mkuu em soma post ya kwanza nimeeleza failures za hii njia ya maandishi.Imefeli kwa kigezo kipi??-- kwani mtu anapofeli mtihani si kunakuwa na.marking scheme??, the marking scheme saves as a comparator for the correct answer, wewe comparator yako kwamba Mungu kafeli iko based wapi??, kwa kadiri huna njia mbadala basi njia Ya Mungu itabaki successful
Hili jibu langu litasaidia nini? Wewe nakupa uhuru wa kutumia kitabu chochote kile hata cha wahindu. Mimi nina dini zote.Kabla sijakujibu ningependa kujua wewe.ni dini gani??