Mbalizi feedstuff
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 238
- 269
Ila mkiwa mafichoni mnakwangua mpaka ukokoAibu zingine zinaepukika kabla ya kwenda nakulaga kwanza njiani pale naenda kugusa tu na pia naweza nisile sipendi kupanga folen napenda shereh zile za chakula unaletewa kwa meza
Ukoko nakulaga kwangu na sio kwa watu wala kwenye sherehe najua kujishikilianIla mkiwa mafichoni mnakwangua mpaka ukoko
AibuMimi siwezi kuenda kurudia piga ua 😂😂😂
😆😆😆😆Habari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
jamani mdoli, umerudi tena?Ndiyo maana hata birthday siku hizi wanafanya bonge sherehe
bosi alikuwa mtu mzima ila hakunituma nikamchukulie chakula kwenye bufeeHuyo boss wako si angekuomba hata wewe ukamchukulie mbona kajiaibisha kama ni mtu mzima sana,lakini mimi naona hii mambo ya kwenda na foleni pia haipo poa wangeweka utaratibu wa kumpitishia kila mtu mezani kwake
ukitoa mchango ndio unatakiwa uone aibuKama nimetoa mchango basi siwezi ona aibu kuongeza sahani nyingine
Nakula pesa yangu, Sasa hapo aibu ya niniukitoa mchango ndio unatakiwa uone aibu
ni aibu pesa yako kwenda kuilia harusini. Nenda kwenye kijiwe cha kula bata ukaile huko bila aibuNakula pesa yangu, Sasa hapo aibu ya nini
Heri nipigwe njaa 😹😹unakuta mdada mrembo anaenda addition 🤣Aibu
Wee acha hizo nimechanga laki halafu nipite kwa mama ntilie kwanza!Aibu zingine zinaepukika kabla ya kwenda nakulaga kwanza njiani pale naenda kugusa tu na pia naweza nisile sipendi kupanga folen napenda shereh zile za chakula unaletewa kwa meza
Mbaya sana iyoooHeri nipigwe njaa 😹😹unakuta mdada mrembo anaenda addition 🤣
Kwahy chakula utakacho kula kinafikia na kias umetoa?Wee acha hizo nimechanga laki halafu nipite kwa mama ntilie kwanza!
Linda brand mkuuWee acha hizo nimechanga laki halafu nipite kwa mama ntilie kwanza!
Iyo kurudi kukaa ni aibu kubwa sanaLinda brand mkuu
Utaenda addition ikifikia kwako kinaisha😹😹😹
Sasa sijui utarudi kukaa?!
🤣🤣🤣Bora ata kuenda addition na upate kuliko kukosaIyo kurudi kukaa ni aibu kubwa sana