secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa anaula wali kwa mikono miwili ili tu awashinde wenzake..... Walikuwa wanakula kwenye sinia.Kuna mwamba alishawahi kula wali hadi akashindwa kusimama kurudi kwao akaanza kurudi kwa kutambaa, maana wali haikua ni chakula cha kawaida kama siku hizi ilikua ukiona wali unakula hadi tumbo likaribie kupasuka maana hauna uhakika kama utawahi kuuona tena
Ila wali wa zamani ulikua unajua kunukia, aseee unakula kisha unazunguka mtaa mzima unawanusisha watu mkono, na mkono full kunukia ubwabwa maharage.Japo mimi nilikua napenda chapati za maharage ila wenzangu ilikua hauwaambii kitu kuhusu mchele😛
Kabisa bro huu wali wa sasa naona nao umeamua kulefti group tu🤔Ila wali wa zamani ulikua unajua kunukia, aseee unakula kisha unazunguka mtaa mzima unawanusisha watu mkono, na mkono full kunukia ubwabwa maharage.
Inategemea labdah kwenu ushuani....Pima 2 ni mbili maana lazima ipimwe tenahKuna ile una ambiwa kapime mchele vikombe 2 wewe unaweka 3 ili ubaki ule na kiporo kesho yake mchana au asubuhi ili tu usile ugali 😂😂 dah nimekumbuka mbali
Ubwabwa unapika hata aliekaa hapo pembeni ya jiko ha-hisi harufu, huu ubwabwa wa hashim rungwe hauna maajabu kabisaKabisa bro huu wali wa sasa naona nao umeamua kulefti group tu🤔
Ubwabwa wa kijinga sana , huu sio Ubwabwa ni ubwaboUbwabwa unapika hata aliekaa hapo pembeni ya jiko ha-hisi harufu, huu ubwabwa wa hashim rungwe hauna maajabu kabisa
Chap na ufipi wako uho inaelekea ulikuwa na kilanga 😂Siku hiyo ratiba zote tunamaliza mapema iwe kusomba majani au kuchota maji
Duh watu wametoka mbali 😂Mshua mwenyewe hakubali mtoto atumwe mchele,yupo radhi apime mwenyewe
Kabisa ila ukii upata wa mbeya og unanukia sanamchele wa siku hizi nao hauna ladha ulishavurugwa enzi zetu mchele ukipikwa unanukia unasikia harufu ukiwa mtaa wa pili.
Ahahah dahMkuu basi wewe wakishua - Sisi ngoma ilikua inapigwa filimbi tunakutana mda wa kukiwasha tu.
Ukitumwa sana sana kugusa chakula bhasi ni kuchota maharage ya kutenga na hayo unapunguza kipimo ili yawahi kuisha.
Pilau inapikwa watoto wametulia awaendi kwa jirani kuwapa taarifaWali unapikwa watoto ,hata hawashtuki,kweli kila Era na kitabu chake
Madawa mengiMambo yamebadilika sana naona hata wali wenyewe haunukiii vizuri kama kipindi kile sijui ni mchele hybrid, mapishi au tumeuzoea sana
Ahahah uho mchele wakitumbo ndio kiboko mchele unavimba ase nusu unaweza ukasema umepika kilo mojaNa mama yangu alikua dicteta unakula ubwabwa wa kitumbo huku unasimangwa
🤣🤣Chap na ufipi wako uho inaelekea ulikuwa na kilanga 😂
Sasa wewe unajua hadithi ya mama wakambo vzr sio hawa wasikuiziNa mama alikua ananitupia mimi zaidi majungu kwa sasabu tulikua watoto wa mama na wa mama mkubwa mke mkubwa wa mzee ambae alishafariki kitambo na karibu wote tulikua karibu marika🤣
Ni shujaaDah! Nikikumbuka kwetu tulikuwa tunaona wa kawaida mpk unachapwa hupendi kula. Umefanya nimuone mzee alikua shujaa sana..!!
Ndio mkuu tangu mwanzoKumbe hobby yako ya upishi haijaanzia uzeeni 🤣😂.
😂Duh watu wametoka mbali 😂
Sure broSasa wewe unajua hadithi ya mama wakambo vzr sio hawa wasikuizi