Basi nyie ni wajanja na kichwani zimo, 2010 kurudi nyuma walikua wanajua kutumia Pc walikua wanahesabika
Mzee wa kudownload Yuko lupango
Hahahaha,JF since 2010 ,mpk Sasa TUPOBasi nyie ni wajanja na kichwani zimo, 2010 kurudi nyuma walikua wanajua kutumia Pc walikua wanahesabika
Sasa sawa, jambo forums nilikua naingia tu as guest, 2010 Kuna ishu Moja muhimu ikabidi nijiungeKwa Tanzania, matumizi ya PC yalikuwa common baada ya ujio wa internet cafè miaka ya 90 mwishoni kabla hata JF haijakuwepo...
Binafsi by then nilikuwa diaspora mashariki ya mbali, na nilikuwa na PC binafsi 2 (laptop na workstation), niliijua JamboForums sababu wakati huo nilikuwa naingia kusikiliza nyimbo za kibongo (kulikuwa na embedded player inapiga nyimbo hapa), lakini sikujiunga hadi 2010...
Km ni habari ya yeye kuwa jela ni kweliKuna habari mbaya nimesikia huko Instagram kuhusu huyo Ontario sijui za kweli au uzushi🤔😔
Sasa sawa, jambo forums nilikua naingia tu as guest, 2010 Kuna ishu Moja muhimu ikabidi nijiunge
Mimi sababu kubwa ilikua kutoa ufafanuzi Fulani hv khs Mzee wanguLikewise...
Sababu ya kujoin ilikuwa ni ya kibiashara, we wanted to push a certain biz idea, na mimi nilikuwa na act kama Media/Content/Graphics Manager...
mi binafsi nimeijua jf 2011 kupitia internet cafe, nilivutiwa nayo sana kwa sababu napenda kusoma mijadala.Kwa Tanzania, matumizi ya PC yalikuwa common baada ya ujio wa internet cafè miaka ya 90 mwishoni kabla hata JF haijakuwepo...
Binafsi by then nilikuwa diaspora mashariki ya mbali, na nilikuwa na PC binafsi 2 (laptop na workstation), niliijua JamboForums sababu wakati huo nilikuwa naingia kusikiliza nyimbo za kibongo (kulikuwa na embedded player inapiga nyimbo hapa), lakini sikujiunga hadi 2010...
Khaa unataka tutoboe siri kwamba wewe ndio last born wa jf
Yes dear...afu nasikia bonge moja la kitanzi,miaka bee 🙆🙆Mzee wa kudownload Yuko lupango
Mzee wa kudownload dolari, ameingia 18 za wastaafuKm ni habari ya yeye kuwa jela ni kweli
AiseeYes dear...afu nasikia bonge moja la kitanzi,miaka bee 🙆🙆
Hahahaha,dah pole yakeMzee wa kudownload dolari, ameingia 18 za wastaafu
Maisha yanabadiilka sana eti sasa hivi nasahau kama kuna kitu kinaitwa jf kweli usicheze na umri [emoji1787] ukishakuwa mtu mzima kila kitu kinabadilikaMimi kipindi najiunga 2014 kulikuwa na wadada wa dada hao ndo walikuwa si mchezo.
Karucee
Husninyo
Madame B
Heaven Sent
Evelyn Salt
Ilipofika 2017 ikawa zamu yetu sasa
Cc.
ukhuty
Joanah
Sakayo
Shunie
Tulikuwa walevi wa Jf hasaaa. Yaani mpaka kupika saa ingine tulikuwa tunapika huku tumeshika simu tusipitwe na ya Jf. Lol. [emoji23]
Sasa hivi umri ushaenda tena mambo yamekuwa mengi tunaonekana kwa nadra.
Hivi na sisi hapo kwenye ukongwe tupo eenh [emoji16]Nafurahia sana kuwa Mkongwe na mimi.
Ila nawaheshimu wakongwe zaidi yangu.
Tayana-wog
Shunie
Heaven Sent
Khantwe
Mzigua90
cute b
mama D
Dejane
carbamazepine
Nyani Ngabu
Lizarazu
Davet wewe ulichonizidi tu ni kuzaliwa mjini kwenye computer ,mimi kijijini kwenye taa za chemli[emoji23][emoji23]
Mshana Jr
andjul Anko Mkongwe Sana
RRONDO .
Nyie wa 2013 kurudi nyuma aisee
Heshima kwenu[emoji119]
Hapo kwenye kunywa hapooo nini ulikunywa etiYaani mi nakumbuka sisi tulishawahi kukutana members wanne kwa wakati mmoja.
Tulikula tukanywaa wee. Bila kuogopana hata na mpaka leo hatujawahi kukwazana na hatutegemei hata.
Tumekuwa Mwaswahiba forever.
Yaani we acha tu. Halafu ujue inatokea tu muda unakosekana na hata sio kutaka kwetu. 😂Maisha yanabadiilka sana eti sasa hivi nasahau kama kuna kitu kinaitwa jf kweli usicheze na umri [emoji1787] ukishakuwa mtu mzima kila kitu kinabadilika
Nakumbuka kuna siku ilikuwa mida ya jioni nikawa nimeandika 🤣 ukaniambia Dada muda huu sijui kama hauandiki huku unapika jikoni na ilikuwa hivyo kweli, mana tulikuwa mateja hasaa yaani tunapika na simu zetu mikononi tusipitwe na ya Jf.Zile interview za dj nani yule jamani chit-chat kila siku jioni mpaka kupika tunasahau
🙈 Dada hili tutazoza pembeni. 😂😂Hapo kwenye kunywa hapooo nini ulikunywa eti