G
Si tunaongea hapa km hiviMiaka yote hiyo na huna mtu wa kuongea nae, una shida gani Tayana😅😅 au mama wachungaji hawaruhusiwi kumingo?
HahahahaSi tunaongea hapa km hivi
Mbona inatosha sn 🤣🤣
Kumingo ndo kufanyaje ss??mi sijui mambo ya vijana
Acha kunipanga mtumishi 😅Si tunaongea hapa km hivi
Mbona inatosha sn 🤣🤣
Kumingo ndo kufanyaje ss??mi sijui mambo ya vijana
Malawi miyeyusho sanaDuh ila Malawi jau sn
Iweke hapa nasikia alikamatwaKuna habari mbaya nimesikia huko Instagram kuhusu huyo Ontario sijui za kweli au uzushi🤔😔
Kafanyaje mbona kesi yake haisikiki?Mzee wa kudownload Yuko lupango
We Mkuu upo
Nmeamini siwezi kuishi bila wewe tangu upotee nlikua mnyonge sanaNipo dear.....
Nimerudi baada ya kipindi kirefu....
Ugonile....ulinkafu
Kumbe hii pisi ipo activeHivi na sisi hapo kwenye ukongwe tupo eenh [emoji16]
Kwani jamaa ni star sana kiasi KESI yake isikike kwenye media? Kule X imesikika sana, ni muda tu Toka October hukoKafanyaje mbona kesi yake haisikiki?
Alifanyaje?utapel auKwani jamaa ni star sana kiasi KESI yake isikike kwenye media? Kule X imesikika sana, ni muda tu Toka October huko
Mkuu kama una akaunti X katafute kule,Mimi huwa siwezi kuelezea,ila najua hayo machacheAlifanyaje?utapel au
Uzee unakaribiaUmekua
Wewee tenaa? Hunitakii mema siku hizi.Bora umepitwa tu mlongo