Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

Hata wanaoshabikia bidhaa za kiwango cha chini za Kichina ni hivyo hivyo hivyo. Tukubali maisha hayana chaguo moja. Kila mtu na ashinde mechi zake.
Kuna bidhaa za kichina huwa naziona. Akili yangu inaniambia kuna viongozi wanapokea rushwa ili bidhaa za kichina ziingie
Memory card na flash drive feki zipo nyingi sana mpaka ukiona dukani wanakuambia wazi kabisa unahitaji orijino au feki
 
Status sehemu pekee huwa na fake life, sjawah post chochote concerns me au my life, nnachopost pale huwa uwongo tupu
Msema kweli mpenzi wa Mungu wachache watakuelewa​
 
HII KITU UMEANDIKA NI UJINGA ASILIMIA 10000000
SEHEMU WATU WANAONYESHA BIDHAA,NA MAFUNZO UNASEMA MATURE ENOUGH UNAISHI KIJIJI GANI??
 
Unajua kazi inaitwa Content creating?
Tatzo we have LOW IQ YA TECHNOLOGY
unaona whatsapp ni sehem ya kwend kupiga Story na marafiki wengine wanafanya Kazi kwenye hio App
 
Hapa Mnaonyesha PRIDE ya kuwa Mwanaume Let me Tell Yall KUWA MWANAUME HAIMAANISHI KUTOKUWEKA STATUS AU KUBADILI PROFILE PICTURE HIO NI PERIOD POINT BLANK..
 
Hata mimi whatsapp siwekagi status
 
Mada kama hizi nirahisi kujua uwezo wa watu katika kufikiri.
 
Sasa unapomention group mimi hizo status zinanihusu nini?
 
Mawazo yako yako ni ya enzi za kijima! Dunia ya sasa kiteknolojia sii ile ya karne ya 16. Kinachokukwaza si mwanaume kuweka status bali ni contents za status husika, usichanganye vitu hivi.
Unakuta unatokea katika kakabila kakipumbavu hakajai hata wilaya ya ngudu
 
Acheni kufanya kila kitu kuwa kigumu. Acha watu waishi maisha yao ili mradi hawavunji sheria wala maadili. Kama halikupendezi wew sio lazima lisimpendeze mwingine. Watoto wa kiume tuache kufuatilia mambo ya watu wew ndio umezingua
 
Hapo kilichobaki ni KUSANIDUA (uninstall) hiyo Whatsapp yako😀
 
Kuna status na status, sasa mtu anamposti janabi kashinda uchaguzi, ukiangalia maish yake ya kila siku hayana mahusiano na janabitu anaweka jux kaoa mixer na viemoji vya kulia 🤣😂
Kuna watu wanapost bidhaa zao kuna watu wanaweka vichekesho japo mara moja moja etc.
Kinachokufanya uonekane wa ajabu ni aina ya status lakini sio kupost status
 
Kwa Wafanyabiashara ni hela hiyo unafanya matangazo bila hata kulipia sema wazee wa nongwa mna tabu sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…