Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

Mkuu kishuleshule mara nyingi ilikuwa ni Vibwengo, hii ilivuma sana, kuna kipindi tulikuwa kwenye Hall moja tunasoma usiku ka saa 9 hivi, mwamba mmoja akapayuka "kibwengo" tulipoteana vibaya mno, mixer wengine kuumia kwa kujigonga kwenye madawati. Yaani nilivofika dom ndo nikajua nimejigonga na mlango kwenye paji la uso.
 
Mimi nilikuwa na jini langu limenipenda nalizagamua mara 3 Kila siku na sitoi hata mia mbovu,sijui nilikosea wapi likaniacha
Yale hayataki kuchitiwa na huwezi kumuongopea,ukiwa naye ni yeye tu ukichepuka anakudhibu vibaya hata kama alikuwa amekupa viwalo anakuvua anakuacha uchi masharti yao magumu lakini mimi nikimpata nitayeweza kwani nimechoka na haya mambo nataka nitulie sasa
 
Yapo haya,
Ila niliowaskia wengi kukutana na hawa viumbe ni muslims (me) dar na mdada mi mmoja wa moshi
Makutano makubwa huwa ni beach,
Inasemekana hayapendi/yanaogopa kitimoto, so kama unakula umelikosa hilo jini ke,
 
Ndiyo hayahaya! Sikuhizi yapo live.
 
You may be right, with these daughters of Eve you may loose your soul. But as for Majini, are you really prepared to sell your soul to the Devil himself? I do not think it's a better alternative to your predicament.
 
Hahaa hiyo ni kweli kwa boarding schools. Story ni nyingi na wengine waliosoma usukumani ndani ndani. Walitutisha na story za misukule ya gambushi
 
Kisha nikaona mwanga mweupe na kiumbe mrefu ambaye ukitazama juu humuoni kichwa wala mwisho wake
 
Daah umenikumbusha kile kitabu nimesahau jina kava lake kuna sijui ndio jini linanyonyesha mtoto🀣ila kuna wahusika humo sijui Ally kinasa, sakina halafu wakajidai kusema ni story ya kweli ya ujinini..
 
Nishawahi kujinyea kisa huo upuuzi yaani nilikuwa naogopa kwenda chooni nimeacha kuogopa kwenda mwenyewe chooni nikiwa chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…