Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

mm nimezoea kumuita mama mjomba, japo kwa kiswahili fasaha huitwa MKAZA MJOMBA. ndie anayehusika kwa 101% kumkaza uncle vizuri.
Neno "mkaza" kama linavyotumika katika neno "mkaza mjomba" linamaanisha "mke wa mjomba"

Mkaza= "mke wa" (kizigua/kisambaa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…