Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Ni lazima uanzie huko, hiyo ni sheria. Unajuaje kama Devis Mosha hakuanzia huko. Huko kanisani au baraza la kata hakuna mtu atakushawishi ubadili maamuzi yako. Huwezi kupokelewa shauri kama hujapitia huko
Mimi nimesema aende mahakamani moja kwa moja hawezi atafute Mwanasheria amsaidie hio ndoa inavunjwa bila kupitia Kata wala Kanisani, usisahau kuna 'exception' na 'exemption'

'Yeye ampatae mke amepata kitu chema....'
 
Mimi niliambiwa lazima upitie huko, then mahakama ya mwanzo. Kumbuka mahakama ya mwanzo huruhusiwe kuweka mwanasheria. Hizo exceptions ni zipi?
 
Soma hukumu ya Davis Mosha walianzia baraza la usuluhishi la kata na ikashindikana.
 
Yani ni balaa kwakweli, wife unamwambia achana kuwasiliana na x wako, anakwambia na ww hujakatazwa kuongea na ma-x wako[emoji24][emoji24] unaangalia panga unalizoooom unaishia kusema Ee! Mungu niongoze[emoji1787]
Ushakaliwa kichwani.
Kama hujalazimisha kumuona basi kwao mama ana sauti kuliko babake.
Pole najua unachopitia.
 
KATAA NDOA MNAITWA HUKU, KUNA MHANGA MJE MMPE USHAURI!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…