Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Ndoa ndoano bro, ishi nae kwa akili, ndoa ikiwa na utulivu ni baraka tosha, ndoa ikiwa na dosari ni jehanamu tosha ya hapa duniani.
Hivi wakuu hiz akili mnazozisema kila siku ni zipi? Ina maana hawa wote wanaolalamika huwa hawatumii akili?
 
Dah aisee. Kwa story hizi nitasubiri sana kwenye swala la kuoa
 
SHUKRANI SANA KWA USHAURI
 
Huu ni ukweli mtupu...!!!
 
Ndoa zai hivi, mkifika hatua hizi kuna dalili za hivi za machukizano, mifarakano, chuki maugomvi, kutoelewana na kuanza kudai talaka kwa usalama wenu mpo kwenye hatua mbaya na hatari mjiepushe hata kwa ukaribu maana lolote laweza tokea mapenzi yana nguvu sana asikuambie mtu
 
Ushauri wa hovyo huu, alaaniwe amtegemeae mwanadamu, waganga watakufikisha wapi
 
Sanamu lako likajengwe katikati ya bahari,liwe round about ya meli zote,umeongea point nzito sana..
 
Ushauri wa hovyo huu, alaaniwe amtegemeae mwanadamu, waganga watakufikisha wapi
mkuu ni sayansi tu ya jadi halafu unafanya mwenyewe huhitaji sijui mitishamba sijui nini, hapana... Ni maji yako kwenye jagi halafu na soda ama juisi uliyomuandalia unafanya kwa manuizi ukimpa hafurukuti tena! Kama huamini nguvu ya haya mambo tulia halafu sio kila suala unamshirikisha mganga utapoteza pesa zako ongea na wazee wako vzuri watakupa madini mambo madogo madogo hayatakupa shida utakuwa unasolve mwenyewe.
 
Nenda Baraza la Usuluhishi la Maswala ya ndoa kwanza, wamuite mwenza wako wawasuluhishe, ikishindikana ndio upele kesi Mahakamani. Sheria inataka uanzie Barazani kwanza isipokuwa kama mwenza wako hapatikani au hataki kwenda, Baraza litawaandalia barua ambayo utaiambatanisha ukipeleka kesi Mahakamani.

Mabaraza yapo kwenye kila Kata, lakini pia yapo Makanisani na Misikitini.

Karibu tukuhudumie mkuu.
 
Kumbe ndo mlivyooo ooh nimepata somo
 
Talaka inatolewa Kwa njia uliotumia kuolea km mliamua kuishi pamoja then achaneni hivyohivyo msikiti kuna utaratibu wake the same to church
 
Why umroge? Huoni utakuwa unalazimisha? Yaani why uishi na mtu kwa kumlazimisha?

Piga chini...chukua mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…