Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Salamaleko mkuu
 
Hahaha hivi Bado Kuna vijana Bado mnapenda wanawake!


Mwanamke mpige Mashine akizingua fukuzia mbali au ishi nae kimkakati!
 
Mnaona! Mzee Taikon uje huku!
 
Ukikosa mwanamke bikra usioe broh.
 
Yani ni balaa kwakweli, wife unamwambia achana kuwasiliana na x wako, anakwambia na ww hujakatazwa kuongea na ma-x wako[emoji24][emoji24] unaangalia panga unalizoooom unaishia kusema Ee! Mungu niongoze[emoji1787]
Mhmh inaonekana mke anakudharau mnoo kupita kiasi. Mnilunulie simu mpya na umsajilie lain nyingine but make sure hiyo lain ya zamani unaiharibu kabisa. Akikataa na hilo basi ujue kuna shida kubwa kuliko kawaida
 
Wachache watakuelewa Ndg
 
Talaka ni Mahakama yoyote unaweza ukafanya maombi ila nakushauri kafungue Mahakama ya Mwanzo.

Ila talaka haitolewi bila sababu kwa hiyo uwe na sababu na sheria imezitaja sababu ikiwa ni pamoja na ukatili, uzinzi, ugonjwa wa akili, kifungo cha muda mrefu, kunyimwa tendo la ndoa n.k

Tembea na ukatili maana ni sababu pana sana.

Ila nakushauri tafuta wakili akuongoze mimi nimekupa ABC tu ila wakili utakayekutana naye atakuuliza mambo kadhaa na kukusikiliza katika mambo ambayo hauwezi kuyataja hapa hivyo utapata unachokitaka.

NB: Huyo mtu hakikisha ni wakili sio kishoka mjanja mjanja, utajuaje ni wakili?, mwambie akutajie Roll Namba yake kisha ingia google andika Mjue Wakili itakuja link ya Mahakama utaona sehemu ya kuandika jina au Roll Namba ya Wakili husika, andika kisha subiri majibu. Kma ni wakili utamuona picha yake na kama anaruhusiwa kufanya kazi za uwakili utaona pia.

Haya kila la heri.
Kama upo Arusha au Moshi nipe kazi hiyo Mkuu.
 
Hivi wakuu hiz akili mnazozisema kila siku ni zipi? Ina maana hawa wote wanaolalamika huwa hawatumii akili?
Hapa hapaongelewi akili ya kua na Masters Bro, Ndoa ni chuo kingine kabisa
 
Mimi nakataa hiyo. Wewe unaona jamaa atakutafuta umpire pesa.

Kwenye mapenzi mchawi ni wewe mwenyewe. Kama ni wewe mwanaume mkeo anatakiwa akuheshimu na ulazimishe afanye hivyo ila kwa akili na tahadhari. Kutishia kumpiga mkeo haimaanishi utampiga ila utaka uone atakuwa juu au ataaga asepe.

Kwa mm mwanamke nutaangalia focus yako je ni ya kiume?? Kama sio natafuta sababu kabla hujanibebesha mtoto. Nitakutafutia visa tu. Kama umeona hayo mapema ni visa? Beba na kaa kwenye nafasi yake. Anaweza akanyooka akasubmit kwako.
 
Pole sanaa kakaa jamani hizi ndoa zina nn?me nionavyo n wanawake wachache sanaa wanakuwa wakaidi kwa waume zao wanaowapenda kweli na kuwajali.mmefikaje hapo?je ulkuwa mume mzuur kwa mkeo?jamani wanaume hakuna miujizaaa ww kama unamuendea mwenzio kinyume then utegemee yeye awe mwema kwako unaotaaa tena aamka kwenye huo usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…