Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Kifupi kama sio bikira ni red flag tosha kwamba umeoa malaya

Muda wowote bomu linakuripukia
Bikira sio sababu mtu kuwa mke mzuri au mbaya, na mara nyingi vinavyoua ndoa sio umalaya, tunajua cheating nyingi zinaanza kama kuna matatizo tayari, umalaya ukianza especially mwanamke ni kama tayari anajua ndoa imeisha
 
Mimi mke wangu kila kukicha tu yupo busy na simu mpaka kitandani...nimeacha kabisa kumsemesha nimejipatia mtoto wa kiislamu full adabu. Soon namfukuza huyu hana adabu hata ndoa bado ananijazia ndugu zake na adabu hana.
 
Yani ni balaa kwakweli, wife unamwambia achana kuwasiliana na x wako, anakwambia na ww hujakatazwa kuongea na ma-x wako😭😭 unaangalia panga unalizoooom unaishia kusema Ee! Mungu niongoze🤣
Mpe talaka haraka huyo, utakuja kuishia gerezani. Huna mke hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…