Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Umeelewa nini kilichondikwa kwenye hiyo aya?

Au ulitaka kujuwa nini zaidi?
Nielewe nin sasa tumia ufahamu wako kunielewesha sio maandiko,nikikwambia nipe uthibitisho kuwa hayo maneno ni ya Mungu unaweza kunipa?
 
Waumini wa dini ni watu waliofungiwa fikra zao ndani ya box,kuna mambo ukitumia akili za kawaida tuu lakin wao mpaka waelekezwe na hivyo vitabu
 
Subhanallah subhanallah

Kwahiyo waislamu msimamo wai ni upi, ule wa shia au wa sunni?

Na kama wa sunni ina maana wanampinga mitume wao?
Na kama ni wa shia "haki" dini yao iko wapi?

Dini ya laana sana hii
 
Hii ni kufuru Neno la Mungu limejaribiwa kwa moto huwezi kusema kuna makosa ya kibinadamu kwasababu neno hili liliandikwa na wanadamu wakiongozwa na Mungu mwenyewe kwa njia ya Roho Mtakatifu.
 
Biblia siyo kitabu cha dini, usilinganishe na Qur'an.

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya watu.
Biblia sio kitabu cha dini✔️ ( ni neno la Mungu maana Mungu Hana dini)

Quran ni kitabu cha dini ✔️ (ya shetani, Quran 2:97)
 
Subhanallah subhanallah

Kwahiyo waislamu msimamo wai ni upi, ule wa shia au wa sunni?

Na kama wa sunni ina maana wanampinga mitume wao?
Na kama ni wa shia "haki" dini yao iko wapi?

Dini ya laana sana hii
Ndio wametengana madhehebu hapo, Shia hawaamini sana katika hadith ,Sunni wanaziamini kwa ku grade kuanzia Sahih,Hassan,Dhaifu
 
Biblia sio kitabu cha dini✔️ ( ni neno la Mungu maana Mungu Hana dini)

Quran ni kitabu cha dini ✔️ (ya shetani, Quran 2:97)
Upo sahihi kitabu cha Mungu akiwezi kushuka Kwa kumbana Mtu mbavu mapangoni na kuhararisha Mtume wake kukabaka katoto kamiaka 6
 
😂😂😂😂
Kaka nimecheka kwamba mtu kabananishwa mapangoni
Usicheke mshukuru Mungu upo katika neema haujakaririshwa pumba kwa viboko madrasa kuja kuamini mtu asiyejua kusoma na kuandika wa karne ya 7 kwa kitabu kilichojaa uongo na uzushi.
 
Umekaririrshwa ujinga na wewe ukaubeba kama ulivyo,halafu huns hoja ya kutetea hiyo dini yako 🚮
 
Hayo maswali yalkuwepo kitambo.Hata Nicodem aliposkia Yesu akisema suala la kuzaliw mara ya pili ilibid atafte extra time.Hivyo kama vile physics,Maths,Chemistry zilvyo complex kwa baadhi yetu pamoja nakwamb matokeo yake yako waz ktk jamii,hivohivo nadhan hata bible pia.
Hivyo bas me nnaona kila ktu ktk bible hakiwez kueleweka kwa kila mtu kwa kila hatua ya ujifunzaji bibilia.
 
Halafu uelewe mambo ya dini na akili timamu hazikai chumba kimoja
 
Kwaio Muhammad ndio alikua anashuhudia hayo majibizano?
Mwalimu wako alikuwa anapata shida sana kukufundisha ila nitajaribu tena here we go_;
Kuna kitu kinaitwa 'wahyi' ambayo unaweza kuita ufunuo au revelation Mwenyezi Mungu SW humfunulia Mtume wake, kwa njia gani hilo ni somo pana for your comprehension.
 
Umeandika
Umeandika maandishi mengi yasiyokua na maana🚮,hizo jamii mbalimbali unazosema zimezungumziwa kwenye bible kuna waafrika humo?,wewe ni myahudi
 
Sawa,kwaio Muhammad alifunuliwa kuona Adam na Mussa wakilaumiana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…