Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Mkuu at least nimeona umeongea point, kuwa suala mtu kuwa Muslim au christians ni Imani, hapa nakupa 100% lakini Imani zipo aina 2, inayo ingia akilini na isiyo ingia akilini, na ndio maana wale wahindi wanao abudu ngo'mbe, mbuzi, nyani, nk tunawashangaa, inawezekana vipi ng'ombe au mbuzi akupe baraka Eti una oga mkojo wa ng'ombe, hii haingii akilini hata kidogo,
Hivi
ukisoma bibilia kwa umakini mkubwa na ukisoma quraan utaona kipi ni sahihi, tena nakushauri soma Quran then fanya utafiti na sayansi ya leo utapata mwanga, kuwa muislamu hayo ni maamuzi yako hakuna anayekupangia
Ikiwa YESU aliishi ktk mila za kiyahudi na alisali na wayahudi na hakuubiri ukristo, sasa nyie ukristo mmeutoa wapi kama si kwa Paulo?,
Kuhusu Quran kushushwa (kuteremshwa) hyo mbona ipo wazi mkuu, okay nenda kwenye kamusi ya kiswahili kaangalia hayo maneno tafsiri yake, alafu rudi ktk Quran tukio la lenyewe, mtume Muhammad (s.w) alitokewa na malaika jibril (a.s) akaambiwa asome (iqra), na mtume akawa hajui asome nini, lakini kwa sababu ya shinikizo la jibril aka anza kusoma hiyo sura (iqra bismi rab bikal lazee khaaq........) , tuishie hapa kwanza, haya hebu tupate majibu
Jibril (a.s) Katumwa na ALLAH (s.w) ashuke duniani tena aje kwa mtu maalum na amshushie maneno maalum, in short dhana n maana ya kusema Quran kariim imeshushwa ipo hapo, na usisahu huyo jibril haishi duniani na ndio mwalimu wa mtume pia yale maneno mtume aliyatamka kwa uwezo wa ALLAH, nafikiri nimekujibu Kwa 100% ingawaje siyo topic yetu
 
Umesomeka mkuu.
 
Shida iko kwenye usomaji wa biblia weng wamefunzwa kusoma biblia kwa vifungu badala ya kusoma story nzima unasoma mwanzo 6-10 je 11-20 kuna maelezo gan nazan tujifunze kusoma bible story nzima ili kupata pic halisi ya nn kinazungumziwa
 
Lakin pia nazan tuishi tu km wale sokwe wa kwenye theory, ukiichunguza sana Biblia ni ngumu kuielewa na kujua inamaanisha nn ktk baadhi ya mambo.

Waswahili wanasema ukimchunguza sana bata au nguruwe huwezi kumla

Kwa mikate 5 na samaki 5 Yesu aliwalisha watu elf5 ukiwaza kwa akili ya kawaida ni ngumu kuelewa ila ukitoka nje ya box unaweza elewa
 
Shida iko kwenye usomaji wa biblia weng wamefunzwa kusoma biblia kwa vifungu badala ya kusoma story nzima unasoma mwanzo 6-10 je 11-20 kuna maelezo gan nazan tujifunze kusoma bible story nzima ili kupata pic halisi ya nn kinazungumziwa
Siyo hiyo tu, hata kabla ya kukariri Biblia na Quran inabidi Waafrika tusome historia ya hizi dini za michongo.....kwa kweli hazina maana yeyote kwetu, ni uzushi mtupu tu.
 
Siyo hiyo tu, hata kabla ya kukariri Biblia na Quran inabidi Waafrika tusome historia ya hizi dini za michongo.....kwa kweli hazina maana yeyote kwetu, ni uzushi mtupu tu.
Mkuu uislamu ni dini iliyokamilika, ktk nyanja zote ki uchumi, ki siasa, kijamii na ki itikadi, kama wewe una amini miti ni juu yako
 
Mkuu uislamu ni dini iliyokamilika, ktk nyanja zote ki uchumi, ki siasa, kijamii na ki itikadi, kama wewe una amini miti ni juu yako
Usijidanganye na ndiyo maana nimesema tusome historia ya hizi dini kabla ya kukariri vitabu vyao vya kizushi, hivi unazijuwa sifa za Mohammed kweli? Unafahamu kama jamaa alikuwa ni mbakaji na muongo? Unajuwa kuwa alishukiwa na shetani na kupewa Qur'an, unafahamu kuwa alikuwa kichaa na akawa anachekwa na watu kwa ukichaa wake?
 
Wewe ni mpumbavu tena toleo la mwisho, angalia unacho ongea, moyo wako umejaa chuki,husda na roho mbaya, kuna kitabu kitakacho izidi Quran?, ikiwa karne na karne wameshindwa tena kuleta japo aya moja ifanane na Quran uta weza wewe na matusi yako,
ikiwa wewe hujijui ulikuja vipi duniani na hakuna aliyesema hayo ispokua ALLAH (s.w),
Note: kama huamini Quran, basi nenda ka muingilie mama yako ili muendeleze kizazi chenu wewe si anthesis
 
Siyo hiyo tu, hata kabla ya kukariri Biblia na Quran inabidi Waafrika tusome historia ya hizi dini za michongo.....kwa kweli hazina maana yeyote kwetu, ni uzushi mtupu tu.
Na kama uta shindwa ku muingilia mama yako na ku waambia umma basi usini quote, huna hoja
 
Sasa hapa mpumbavu ni nani, usipende kukariri vitu usivyovijuwa. Hebu nitajie katika maisha yako umesoma vitabu gani na vingapi?
 
Sasa hapa mpumbavu ni nani, usipende kukariri vitu usivyovijuwa. Hebu nitajie katika maisha yako umesoma vitabu gani na vingapi?
Mpumbavu ni yule anaye igiziwa hekealuni kuwa bibi yake ana fufuliwa na yeye anatoa pesa kisha baada ya tukio ana anza kulia kulia, kidume amesema ka misi laki tano zenu
 
Mpumbavu ni yule anaye igiziwa hekealuni kuwa bibi yake ana fufuliwa na yeye anatoa pesa kisha baada ya tukio ana anza kulia kulia, kidume amesema ka misi laki tano zenu
Ona sasa mtu akaririye vitabu na kulishwa ujinga bila kujijuwa, lazima atachemka tu akiulizwa ukweli. Pole sana gaidi mtarajiwa.
 
Ona sasa mtu akaririye vitabu na kulishwa ujinga bila kujijuwa, lazima atachemka tu akiulizwa ukweli. Pole sana gaidi mtarajiwa.
Wewe ni mpumbavu, kiboko ya wachawi hakuwaibia kanisani?, si mchungaji wenu, mimi sika riri, kibwetere aliwafanya nini?, mchungaji macnzie kenya aliwafanya nini?, lusekelo kawaambia YESU hakusali kanisani bali ktk SINAGOGI, nyie mnaenda kanisani kwa amri ya nani, unaijua maana ya SINAGOGI?, nyie wakristo ndio mpo empty
 
Haya unayoyasema mimi hayanihusu na hao uliowataja ni wasanii wa dini, kuna nini cha hajabu hapo au ulitaka kumaanisha nini? Usiandike vitu kwa kukurupuka tu kama ufanyavyo siku zote unapoguswa.
 
Bibilia sio kitabu cha kawaida ukikisoma kawaida huambulii kitu zaidi ya kuvurugwa.. inahitaji hekima kubwa kuielewa Bibilia
 
Makanisa hadi leo hawajaweza kuifundisha bibilia kwa usahihi tokea kitabu cha mwanzo hadi ufunuo, kwahiyo wakristo wanasoma tuu kitabu wasichokielewa kinawachanganya lakini hawana namna.

Alieumba dunia na wanadamu yupo ila jina lake sio Mungu, ninaamini katika uwepo wa muumbaji ni kweli yupo ila jina lake sio Mungu japo ameshajua mnamuita Mungu, alie kinyume na Muumba na wanadamu yupo ila haitwi shetani ana jina lake ila hamlitumii na hapo ndipo anapofurahia..
Kwakifupi tuu ujue Mungu ni mwanadamu pia shetani ni mwanadamu ila alieumba yupo na aliekinyume na Muumba yupo
 
Bibilia sio kitabu cha kawaida ukikisoma kawaida huambulii kitu zaidi ya kuvurugwa.. inahitaji hekima kubwa kuielewa Bibilia
Na hicho ndio kichaka chenu, lakini hiyo hoja yenu haina ukweli kila siku humu huwa tuna sema,
 
H
Hayo maneno umeyatoa know ktk kitabu gani?
 
kaanze kusoma upya
utaelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…