Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

al-Bukhari 6614
Narrated Abu Huraira:
The Prophet (ﷺ) said, "Adam and Moses argued with each other. Moses said to Adam. 'O Adam! You are our father who disappointed us and turned us out of Paradise.' Then Adam said to him, 'O Moses! Allah favored you with His talk (talked to you directly) and He wrote (the Torah) for you with His Own Hand. Do you blame me for action which Allah had written in my fate forty years before my creation?' So Adam confuted Moses, Adam confuted Moses," the Prophet (ﷺ) added, repeating the Statement three times.

Hapa Muhammad anatuonyesha Mussa na Adam wanalaumiana sasa sijui alikutana nao wapi.kichekesho ichi
Wewe Mtoto mdogo, wewe ni chizi na huna dawa kime kushinda kitabu chako cha matango pori (bibilia) unakuja kijificha ktk Quran ,
 
Hauna Hoja ukiwa na Hoja lazima uanze na kitabu chako kukubari biblia haina tatizo kama Mungu wako anakubali hivyo wewe ni nani hadi upinge wewe ukipinga maana yake Mungu wako kakosea hii ndio Logic wewe hujui nadhani hata Quran kuandikwa kiarabu kimefanya msijue kilichoandikwa mle mkabakia kukariri tuu
 
Mimi nilishamalizana na wewe si zungumzi na wakristo wapumbavu kama wewe , na zungumza na wakristo wenye akili timamu Kam mtoa mada alivyotakab kujua, hvo huna sababu ya kuni quote, ikiwa haujui kitabu chako cha. Kukutetea unataka huruma ya Quran,
please please either kafungue Uzi wa kipumbavu au usini quote mimi
 
Mbona umeniquote? Huko madrasa unaenda kukariri pumba tuu bila kujitambua nikikubalina nawewe Biblia ni feki basi Mungu wako Allah Muongo
 
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;

1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?

2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.

3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?

4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?

5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
Binafsi naishangaa story ya Ishmael
 
Si iamini bibilia hata chembe (3:15 wagalatia) isipokuwa pale ikisema ukweli (mifano yake ipo ila ni michache sn) , in shot
Bibilia siyo kitabu cha Mungu
Bibilia imejaa visa vya kutunga visivo ingia akilini ata usome usiku au mchana
Bibilia ni Paulo
Kuna vitabu ktk bibilia havijulikani nani aliye andika na ushahidi upo
Alafu hapo ni amini?
Hahahaha hatujakwambia uamini Biblia ukristo ulivyo haukulazimishi kuamini kama Islamic State kwamba ukikataa kuwa upande wao una uwawa,tuliambiwa wasipo amini kung'uteni mavumbi nendeni zenu
 
Angalau kwa biblia ila Kuna kitabu hiko Kuna Aya hadi leo inanifikirisha sana na sielewi kwanini wafuasi wake wanakaza shingo kukiamini

Qu'ran 2:97
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Nani ni adui wa Jibril? Jibu ni shetani
Kwanini shetani ateremshe Quran na tunaambiwa kuran ni tukufu?

Hili swali haitatakea nikapata jibu la kuridhika
Swali la nyongeza, hiyo Quran iliteremka kama mvua au mwanga wa jua kutoka huko juu ama ilifikia kichwani kwa mtu ndiyo akaiandika?
Kama ilishuka kama mvua nao utakuwa ni uongo mtakatifu maana inamaana kuna walioushuhudia mwandiko wa Mungu?
Kama ilishukia kichwani kwa mtu ikaandikwa, tuna uhakika gani iliandikwa kwa usahihi ikiwa aliyeshushiwa ndiyo hakuweza kusoma ama kuandika? Je, alimwambia mtu amuandikie kwa niaba yake ama ilikuwaje? Vipi kama huyo aliyeandika aliweka mawazo yake binafsi na yakawa hayawezi kukosolewa na aliyefunuliwa maana hajui kusoma wala kuandika?
By the way hizi dini tumepigwa pakubwa sana, maana ndani ya kitabu kimoja mafundisho yanakinzana inaleta ukakasi kwa hakika.
Wakoloni walituweka mbali sana na Mungu kwa hizi dini zao ila wakatupanga kuwa Mungu anajibu kwa wakati wake, yaani mwanao yupo darasa la kwanza anakuomba umnunulie viatu vimechakaa unakuja kumnunulia akiwa kidato cha pili.
Huenda Africa tulikuwa karibu zaidina Mungu maana wakati wa ukame wazee wakifanya matambiko mvua inakuja immediately, how comes huyo Mungu mwenye nguvu ambaye anadai sadaka kila uchao anashindwa kutatua changamoto za watu wake kwa wakati?
 
Hahahaha hatujakwambia uamini Biblia ukristo ulivyo haukulazimishi kuamini kama Islamic State kwamba ukikataa kuwa upande wao una uwawa,tuliambiwa wasipo amini kung'uteni mavumbi nendeni zenu
Nimejibu kama nilivyouliza, sasa wewe una kuja kudandia gari kwa mbele, muislamu hawezi kuamini uongo hata siku moja Kwa sababu ana muongozo sahihi, kama huna hoja usini quote, naongoea na waksto wanaojielewa
 
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;

1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?

2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.

3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?

4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?

5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;

1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?

2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.

3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?

4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?

5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
unataka kuyajua mambo ya rohoni kwa akili?

unatafuta logic kwenye mambo ya Mungu?

Mungu hayuko peke yake mbinguni, kuna hadi Jeshi. Hata katika nyakati za uumbaji, alikuwa katika hali ya utatu

AMUA KUMPA YESU MAISHA YAKO utafunuliwa yote, hata Yale ambayo ni mafumbo ya Mungu. 1Kor 2:10
 
Mkuu mkuu mkuu nimekuita mara tatu bibilia siyo kitabu cha ukweli (siyo cha Mungu) ndani ya bibilia kuna vitabu havijulikani muandishi ni nani na kama hio haitoshi bibilia ni maneno (utashi) wa Paulo,
3;15 wagalatia ,
Matendo ya mitume 11:25-26 , kubatizwa napo story zake ni utata mtupu, kifo cha yesu napo hvo hvo , kufufuka napo kila mtume anasema lake yaani kitabu kimejaa utata kila kona, atakaye bisha alete point according to bibilia only
NA MTUME PAUL MWENYEWE ANAJI CONTRADICT,UKISOMA MATENDO YA MITUME 16,32,NA ...........KUNA SEHEMU ANASEMA YEYE NI MYAHUDI WA UKOO WA BENJAMINI KUNA SEHEMU ANASEMA YEYE NI MRUMI NA PIA NILIWAHISOMA KWENYE ARTICLE MOJA WANASEMA THE BOOK OF ACTS HAVE WRITTEN BY SCHOLARS AND IS HIGHLY FICTIOUS
 
Swali la nyongeza, hiyo Quran iliteremka kama mvua au mwanga wa jua kutoka huko juu ama ilifikia kichwani kwa mtu ndiyo akaiandika?
Kama ilishuka kama mvua nao utakuwa ni uongo mtakatifu maana inamaana kuna walioushuhudia mwandiko wa Mungu?
Kama ilishukia kichwani kwa mtu ikaandikwa, tuna uhakika gani iliandikwa kwa usahihi ikiwa aliyeshushiwa ndiyo hakuweza kusoma ama kuandika? Je, alimwambia mtu amuandikie kwa niaba yake ama ilikuwaje? Vipi kama huyo aliyeandika aliweka mawazo yake binafsi na yakawa hayawezi kukosolewa na aliyefunuliwa maana hajui kusoma wala kuandika?
By the way hizi dini tumepigwa pakubwa sana, maana ndani ya kitabu kimoja mafundisho yanakinzana inaleta ukakasi kwa hakika.
Wakoloni walituweka mbali sana na Mungu kwa hizi dini zao ila wakatupanga kuwa Mungu anajibu kwa wakati wake, yaani mwanao yupo darasa la kwanza anakuomba umnunulie viatu vimechakaa unakuja kumnunulia akiwa kidato cha pili.
Huenda Africa tulikuwa karibu zaidina Mungu maana wakati wa ukame wazee wakifanya matambiko mvua inakuja immediately, how comes huyo Mungu mwenye nguvu ambaye anadai sadaka kila uchao anashindwa kutatua changamoto za watu wake kwa wakati?
Ndugu yangu Mungu Hana mipaka juu watu wake hata Babu zetu ambao hawakuwa wa dini hizi za Sasa Mungu mkuu aliwasikia kwa imani yao ni kwa sababu tu hizi dini hasa hii dini ya mnyaazi mungu na mudi wake wameamua tu kummiliki Mungu ila Mungu anasikia imani yoyote unayomtambua
Mungu ni asili yaani nature, asili siku zote Haina upande wa ubaya
 
NA MTUME PAUL MWENYEWE ANAJI CONTRADICT,UKISOMA MATENDO YA MITUME 16,32,NA ...........KUNA SEHEMU ANASEMA YEYE NI MYAHUDI WA UKOO WA BENJAMINI KUNA SEHEMU ANASEMA YEYE NI MRUMI NA PIA NILIWAHISOMA KWENYE ARTICLE MOJA WANASEMA THE BOOK OF ACTS HAVE WRITTEN BY SCHOLARS AND IS HIGHLY FICTIOUS
Ni kwa sababu tu umeamua kukaa upande wa ukosoaji yaani umeamua tu kuwa negative lakini Paulo mbona anaeleweka vyema! Alimwambia Agrippa kuwa yeye ni myahudi na ni kweli alikuwa myahudi na kuhani na msomi wa hali ya juu katika uyahudi lakini ni raia wa Roma

Sasa hapo contradiction iko wapi? Kwani hiko kitu siku hizi hakipo?

Hao scholars unaowasemea umeatumia kigezo kipi kuwaamini kuwa walichohitimisha kuwa book of acts is fictional? Yaani kwanini umewaamini wao na kitabu kina Karne na Karne?

Wengi wa wapinga ukristu ni wasomi Sasa kwanini tuamini mawazo yao?
 
unataka kuyajua mambo ya rohoni kwa akili?

unatafuta logic kwenye mambo ya Mungu?

Mungu hayuko peke yake mbinguni, kuna hadi Jeshi. Hata katika nyakati za uumbaji, alikuwa katika hali ya utatu

AMUA KUMPA YESU MAISHA YAKO utafunuliwa yote, hata Yale ambayo ni mafumbo ya Mungu. 1Kor 2:10
Acha upuuzi wewe. Hiyo akili ulipewa ufanyie nini?
 
Mithali 3 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁵ Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
⁶ Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.

1 Wakorintho 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi, ndugu zangu, mimi nilipokuja kwenu, sikuja niwahubiri siri ya Mungu kwa ufasaha wa maneno, wala kwa hekima.
² Maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu Kristo, naye amesulibiwa.
³ Nami nalikuwako kwenu katika hali ya udhaifu na hofu na matetemeko mengi.
⁴ Na neno langu na kuhubiri kwangu hakukuwa kwa maneno ya hekima yenye kushawishi akili za watu, bali kwa dalili za Roho na za nguvu,
⁵ ili imani yenu isiwe katika hekima ya wanadamu, bali katika nguvu za Mungu.
⁶ Walakini iko hekima tusemayo kati ya wakamilifu; ila si hekima ya dunia hii, wala ya hao wanaoitawala dunia hii, wanaobatilika;
 
al-Bukhari 6614
Narrated Abu Huraira:
The Prophet (ﷺ) said, "Adam and Moses argued with each other. Moses said to Adam. 'O Adam! You are our father who disappointed us and turned us out of Paradise.' Then Adam said to him, 'O Moses! Allah favored you with His talk (talked to you directly) and He wrote (the Torah) for you with His Own Hand. Do you blame me for action which Allah had written in my fate forty years before my creation?' So Adam confuted Moses, Adam confuted Moses," the Prophet (ﷺ) added, repeating the Statement three times.

Hapa Muhammad anatuonyesha Mussa na Adam wanalaumiana sasa sijui alikutana nao wapi.kichekesho ichi
Sote tunatakiwa tufahamu kuwa hakuna kitabu kilichoandikwa na Mungu. Bali Mungu aliongea na manabii wa kale kupitia malaika wake. Hapa tunaongelea Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo. Lakini nyakati hizo, kila Taifa lilikuwa na miungu wao. Mathalani, Wamisri walijua kuwa Mungu wa Waisrael ana nguvu kubwa, lakini walijua kuwa huyu Mungu siyo wa kwao pia.

Kwa upane wa Agano la kalr, manabii walipoupata ujumbe wa Mungu, kipaumbele chao kilikuwa ni kuufikisha ujumbe huo kwa jamii husika. Wanadamu waliousikia ujumbe ule kutoka kwa manabii, nao waliwasimlia wengine. Na habari ilienda hivyo kutoka kizazi kimoja hadi kingine, mpaka kuwafikia wanadamu walioamua kuziweka simulizi hizo katika maandishi.

Kwa Agano jipya, matukio yaliyotokea nyakati za Yesu Kristo, elimu ya kuandika ilikuwa tayari ipo, hivyo matukio yote muhimu yaliwekwa katika maandishi mapema, na ndiyo maana kuna consistence kubwa inayoshabihiani na kumbukumbu za kihistoria na Sayansi.

Kwa upande wa Quran, ifahamike kuwa Mohammad alikuwa mtumishi wa mfanyabiashara mama Khadija, safari zake za biashara zilimfikisha mpaka maeneo ya wayahudi. Inaaminika kuwa huko ndiko alikojifunza na kusiiia habari ya torah.

Quran haikuandikwa na Mungu wala haikuteremshwa toka kwa Mumgu, kama baadhi ya watu wanavyopotosha. Ndani ya quran yenyewe, imeandikwa kuwa Mohmmad aliandika quran kwa maelekezo ya Jabril.

Soma aya hizo utapata uhakika kuwa quran haikuandikwa na Mungu wala malaika:

  • In 64:44 - 47, God states that if Muhammad was to write any other teachings, He would have seized his right hand.

    • Kama Mohammad alimwomba Jabril pen ili aandike aliyoambiwa, utasemaje kuwa ni Mungu aliandika?
Lakini kumbukumbu nyingine zinathibitisha kuwa Mohammad hakujua kusoma wala kuamdika hivyo aliwatumia watu 45 kuandika simulizi zake ambazo baadaye zilikuja kukudanywa na kutengeneza quran:

Because he could not read and write himself, he was constantly served by a group of 45 scribes who wrote down his sayings, instructions, and his activities.

The first and undebated person to write the Noble Quran was Ali ibn Abī Ṭālib, and he was the first to compile the Noble Quran into a book form.
 
Ni kwa sababu tu umeamua kukaa upande wa ukosoaji yaani umeamua tu kuwa negative lakini Paulo mbona anaeleweka vyema! Alimwambia Agrippa kuwa yeye ni myahudi na ni kweli alikuwa myahudi na kuhani na msomi wa hali ya juu katika uyahudi lakini ni raia wa Roma

Sasa hapo contradiction iko wapi? Kwani hiko kitu siku hizi hakipo?

Hao scholars unaowasemea umeatumia kigezo kipi kuwaamini kuwa walichohitimisha kuwa book of acts is fictional? Yaani kwanini umewaamini wao na kitabu kina Karne na Karne?

Wengi wa wapinga ukristu ni wasomi Sasa kwanini tuamini mawazo yao?
Ndugu Yangu waislam ni kuwaonea huruma tuu kwakua labda
1.Quran lugha iliyoandikwa mle hawaelewi ujumbe unaotolewa au
2.Wanaamini wanazuoni wao ambao wanawadanganya kwa kuwekea Tafsiri ya maandiko kinyume na uhalisia nawao kukariri maneno ya wanazuoni wao mfano

UISLAM unaruhusu kuweka kimada mwanamke na kumlipa pesa baada ya shida zako na Hamna haya iliokuja kupiga marufuku ili swala kwenye Quran ndomana Shia wanatekeleza, ila hawa Wanaosikiliza wanazuoni bila kufatilia wanakuja kubishana humu JF .

Nikah mut'ah therefore means ''pleasure marriage. '' Mut'ah is a concept that appears in the Quran. Verse 24 of surah 4 explains that a man and a woman can enter a temporary marriage-like relationship. The relationship must be agreed upon in advance, and the woman must receive financial compensation.
 
NA MTUME PAUL MWENYEWE ANAJI CONTRADICT,UKISOMA MATENDO YA MITUME 16,32,NA ...........KUNA SEHEMU ANASEMA YEYE NI MYAHUDI WA UKOO WA BENJAMINI KUNA SEHEMU ANASEMA YEYE NI MRUMI NA PIA NILIWAHISOMA KWENYE ARTICLE MOJA WANASEMA THE BOOK OF ACTS HAVE WRITTEN BY SCHOLARS AND IS HIGHLY FICTIOUS
Yaani mkuu bibilia imejaa kujichanganya , tukio la kubatwiza yesu katika bibilia ni la mchongo kumbuka hao waandishi Eti waliongozwa na roho mtakatifu ,
tukio la kufa yesu napo ni utata ,
tukio la kufufuka napo daah hadi aibu , ila ninacho ona wengi hawa isomi bibilia yote kikamilifu badala yake wanachaguliwa cha kusoma
 
Ndugu Yangu waislam ni kuwaonea huruma tuu kwakua labda
1.Quran lugha iliyoandikwa mle hawaelewi ujumbe unaotolewa au
2.Wanaamini wanazuoni wao ambao wanawadanganya kwa kuwekea Tafsiri ya maandiko kinyume na uhalisia nawao kukariri maneno ya wanazuoni wao mfano

UISLAM unaruhusu kuweka kimada mwanamke na kumlipa pesa baada ya shida zako na Hamna haya iliokuja kupiga marufuku ili swala kwenye Quran ndomana Shia wanatekeleza, ila hawa Wanaosikiliza wanazuoni bila kufatilia wanakuja kubishana humu JF .

Nikah mut'ah therefore means ''pleasure marriage. '' Mut'ah is a concept that appears in the Quran. Verse 24 of surah 4 explains that a man and a woman can enter a temporary marriage-like relationship. The relationship must be agreed upon in advance, and the woman must receive financial compensation.
Tafsiri yake ni umalaya uliohalalishwa halafu baada ya hapo wanaruhusiwa kuwabutua wanawake wao
Quran 4:34
Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.

Yaani hii Imani ni ya hovyo sana
 
Back
Top Bottom