Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

Nakuambia sasa hao jamaa pesa ipo sana...Tumekaa na jamaa alifanya kazi mikoa kama 6 ndani ya miaka 10 tu...Ana pesa kinoma ila ni kada.
Mikao 6 ndan ya miaka kumi wakt tamisemi unakaa miaka 10 /20 unahamishiw kijiji kinachofata *****[emoji850][emoji850][emoji1781][emoji1781][emoji55][emoji55][emoji2][emoji2]
 
Hmna ukweli wowote hapo.
Huenda wengi wanapata kazi kwenye hizo taasisi Kwa connection au nguvu za Giza kama unavyodai, lakini pia wapo wanaopata Kwa kudra za Mwenyezi Mungu.
5000000000:1 probability ,

Tatzo hizo kaz zamn tunamalz shulen unakuta hata hatuzijui kbsa kwahyo waliokuw ndan wanavuta tuu
 
nimekupata ndugu yangu
 
Labda unaishia kuwaona immigration wakiwa maofisini huko ila hujajua wanaajiri vipi, kweli ajira ni za shida lakini hamna watoto wa vigogo immigration wengi ni watoto tu kutoka familia za kawaida na familia maskini watoto vigogo ni wachache sana
nisiseme sana chief,yawezekana uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…