Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi


Kama unawaza uganga kupata kazi kwenye hizi taasisi basi jifikirie upya

Unapotea
 
Labda kama hauna uwezo na kichwani ni tia maji tia maji, ila kama you are the best hapo labda Immigration, DCEA na Hazina sababu michakato yake kupenya mtihani kidogo pia masuala ya kiusalama

Lakini huko kwingine kote tuna ndugu zetu wakina kajamba nani wamepenya na hawakuwa hata na connection kihivyo


Ila darasani sasa ndio 🔥🔥🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…