Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

Ilo gorofa lina onekana usiku tu mchana lina potea ? Mme zidisha bangi
 
Kama ni kweli ajue hakuna biashara kichaa Arusha kama ya hotel za kitalii, aangalie hotel za hayati Mrema zimeishia wapi,angalie Mt Meru kila mara wanapunguza wafanyakazi.
Kwa uzoefu wangu hotel zinazo fanya vizuri ni mbili tuu, ile iliyokuwa Seventy Seven na Kibo Palace tuu
 
Ma injinia wa nyuma ya keyboard ila bongo raha sana
 
Jamaa kila akipiga picha, ghorofa zinapungua idadi hadi kuwa 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…