Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,907
- 3,895
Oyaaa bila picha ni uongoo bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bosheni imekuwepo miaka na miaka mkuu.Halafu hii staili ya "bosheni" imeibuka sana sasa hivi , hata kule Lindi kuna hotel kabambe inajengwa lakini kapewa mwarabu !
Acha uwongo mkuu, lindi sehem ganiHalafu hii staili ya "bosheni" imeibuka sana sasa hivi , hata kule Lindi kuna hotel kabambe inajengwa lakini kapewa mwarabu !
Aiseeee !!! sina lengo la kuleta mjadala mpya ndani ya mjadala wa watu , tuishie hapaAcha uwongo mkuu, lindi sehem gani
Hii sio kweli...
Huwezi kujenga gorofa 40 Maji ya Chai.. Ni almost landing area kwa Boeing zinazotua KIA..
Ni kama mtu ajenge gorofa 40 au 30 Vingunguti au Gongo la Mboto ambapo ni maeneo ya Boeing kujinafasi inapokaribia JNIA..
Na gorofa 40 haziwezi kujengwa kwa mwaka mmoja...
Kama kuna ujenzi basi ni gorofa 10 au 12 ila wewe nahisi hujahesabu vizuri
Ni mwenyekiti wa UVCCM mkoa nadhani,Ila sikumbuki Ni mkoa ganiHivi yule jamaa Kisandu alipotelea wapi? Au ndio yuko huko Dodoma?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
uko njema kiafya kweli?068 200 5128
Uliza kwa kupiga namba hii
Wewe unajua nini? Ulishawahi kuona gorofa 40 karibu na airport? Au unatatizo la afya ya akili.?Ma injinia wa nyuma ya keyboard ila bongo raha sana
Umemaliza. Kwa mawazo haya yawezekana hata 10 hazijatimia.Ili muone kazi ya Riziwani
Ninavyojua Mimi jengo refu Tz Ni la TPA,Lina ghorofa 38.Hebu nitajie jengo lenye ghorofa 40 boss.
Ya Mbilinyi aka sugu ,ni yanani?Halafu hii staili ya "bosheni" imeibuka sana sasa hivi , hata kule Lindi kuna hotel kabambe inajengwa lakini kapewa mwarabu !
Watanzania ni wabishi. Nendeni USA river mkaangalie ninayoyasemaUmemaliza. Kwa mawazo haya yawezekana hata 10 hazijatimia.
Ili kuhalalisha Wizi huoSasa unataka samia aje kuzindua ni mali yako?