Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

Ilo gorofa lina onekana usiku tu mchana lina potea ? Mme zidisha bangi
 
Kama ni kweli ajue hakuna biashara kichaa Arusha kama ya hotel za kitalii, aangalie hotel za hayati Mrema zimeishia wapi,angalie Mt Meru kila mara wanapunguza wafanyakazi.
Kwa uzoefu wangu hotel zinazo fanya vizuri ni mbili tuu, ile iliyokuwa Seventy Seven na Kibo Palace tuu
 
Ma injinia wa nyuma ya keyboard ila bongo raha sana
Hii sio kweli...
Huwezi kujenga gorofa 40 Maji ya Chai.. Ni almost landing area kwa Boeing zinazotua KIA..
Ni kama mtu ajenge gorofa 40 au 30 Vingunguti au Gongo la Mboto ambapo ni maeneo ya Boeing kujinafasi inapokaribia JNIA..

Na gorofa 40 haziwezi kujengwa kwa mwaka mmoja...

Kama kuna ujenzi basi ni gorofa 10 au 12 ila wewe nahisi hujahesabu vizuri
 
Ninavyojua Mimi jengo refu Tz Ni la TPA,Lina ghorofa 38.Hebu nitajie jengo lenye ghorofa 40 boss.
E90898FF-BA37-4287-91C5-748DA55204A6.png
 
Jamaa kila akipiga picha, ghorofa zinapungua idadi hadi kuwa 2
 
Back
Top Bottom